Imamu afariki mikononi mwa polisi Arusha

Status
Not open for further replies.
Bado mnategemea Hospitali za makanisa sasa tafuteni pakwenda kutibiwa tutawadunga misindano yasumu tu
Wazunguka mawe wote
Huo sasa ndo uoga tunaousema,kwanini usipigane nae man to man,mpaka usubiri apate malaria ndo umuue kwa sumu?
 
Umefika kwa waislam wa Tanzania kwa dhati kabisa kuanza kuitekeleza Fatwa ya Ustaadh Ilunga.
Huu mchezo hauto isha na ukisoma marejeo ya Comments za wakristo humu ndani hakuna hata moja inayo inesha ubinadamu haki ya kiraia wote wakristo wamefurahi sana kuona viongozi wa dini wa kiislam wakiuliwa .
Hii inathubitisha kitu kimoja kwamba kanisa lina husika moja kwa moja na unyama huu alofanyiwa huyu Imam pamoja na Sensei alie uawa mwezi ulopita na yule mwislam mwengine alo uliwa Na polisi temeke.
Sheikh Ilunga alitoa Fatwa ya ukweli ambayo ndio pekee itayo rejesha heshima yetu na kukoma visa hivi vya kuwaua viingozi wetu.
Ni jino kwa jino tu ndio dawa.
 
Nadhani huu ndo wakati mwafaka kweli.
 
Muache ushenzi wenu lasivyo mtaendelea kupotea mmoja baada ya mwingine.
 
Habari imedraftiwa kingese sio mikononi mwa polisi kafia hosptali we mbulula
 
HUO ni mkakati wa kuwauwa waislam ugaidi ni kisingizio tu
Usemi wako huu ni hatari kwa usalama wa watanzania. Criminals should be called a criminals regardless of their faith. Kule somalia, Iraq, Afghanistan, Pakistani mbona wanauwana waislamu kila siku na hakuna wakristo?
 
Usemi waka huu ni hatari kwa usalama wa watanzania. Criminals should be called a criminals regardless of their faith. Kwa nini unafikiria hivyo.

ni ukweli mtupu..aliteswa akavunjika migii yote miwili na hakufikishwa mahakamani ...ni mkakati maalum..mbona mkristo alielipua kanisa arusha hata kuguswa hakuguswa??
 
Wewe usituletee udini hapa labda ni mkakati wa kukuua ww tu sio sisi waislam
Umeshindwa kumuelewa yeye kasema mkakati wa kuuwa WAISLAM hiyo sahihi kwa hiyo mnafiki asijiesabu yeye hayumo kwa hiyo usijihesabu ww haumo kwa sababu waislam wanatabaka mbili waislam WANAFIKI qur'an inasema dalili yao kubwa ni kuwapenda mkafiri zaidi ya waislam wenzao na hawataki kutawaliwa na sheria za ALLAH lakini wawo hujinadi kwa imani ya kiislam
 
Ubinadamu unatangulia dini. Hivyo watu wote tuko sawa kama binadamu. Dini ni uamuzi wa mtu. Mimi kama ni muislamu huo ni uamuzi wangu binafsi, labda na familia yangu. Na mkristo ni uamuzi wake binafsi labda na familia yake. Hivyo ninarudia, kama kuna mkristo au muislamu amevunja sheria za nchi, ambazo zinatuunganisha bila kuzingatia itikadi za kidini, ni lazima sheria ichukue mkondo. Kama polisi wamefanya makosa katika utekelezaji wa sheria, huyo muadhirika ni lazima atetewe, lakini sio kwa kuingiza udini ndani. Ninasisitiza kama huyo mtuhumiwa wa ugaidi ameteswa na kusababisha kifo hilo ni kosa la hao polisi na hakuna mpango wa kuuwa waislamu. Acheni kuleta uchochezi wa kidini hapa jamvini. Tujadili maendeleo na kila mtu ana haki ya kufuata dini anayotaka na hakuna sababu ya kuita binadamu wenzio makafiri.
 
We utakuwa sio mzima! Unatetea UGAIDI!
Yaachee yaje , most of the time wanawauwa Waisilamu wenzao , Nigeria, Somalia wanaokufa ni Waisilamu wenzao, I am not worried with them more or less itatulazimishe tujitenge Kwa makundi ya dini
 
Usemi wako huu ni hatari kwa usalama wa watanzania. Criminals should be called a criminals regardless of their faith. Kule somalia, Iraq, Afghanistan, Pakistani mbona wanauwana waislamu kila siku na hakuna wakristo?
Ukiuua muisilamu mwenziyo unakwenda mbinguni na unapewa mabikira 60
 
Umefika kwa waislam wa Tanzania kwa dhati kabisa kuanza kuitekeleza Fatwa ya Ustaadh Ilunga.
Huu mchezo hauto isha na ukisoma marejeo ya Comments za wakristo humu ndani hakuna hata moja inayo inesha ubinadamu haki ya kiraia wote wakristo wamefurahi sana kuona viongozi wa dini wa kiislam wakiuliwa .
Hii inathubitisha kitu kimoja kwamba kanisa lina husika moja kwa moja na unyama huu alofanyiwa huyu Imam pamoja na Sensei alie uawa mwezi ulopita na yule mwislam mwengine alo uliwa Na polisi temeke.
Sheikh Ilunga alitoa Fatwa ya ukweli ambayo ndio pekee itayo rejesha heshima yetu na kukoma visa hivi vya kuwaua viingozi wetu.
Ni jino kwa jino tu ndio dawa.
Wakristu wanahusika vipi hapa ww zumbukuku? Muislam akifa mnasingizia Wakristu. Acha udini ww mkosa fikira
 
Ubinadamu unatangulia dini. Hivyo watu wote tuko sawa kama binadamu. Dini ni uamuzi wa mtu. Mimi kama ni muislamu huo ni uamuzi wangu binafsi, labda na familia yangu. Na mkristo ni uamuzi wake binafsi labda na familia yake. Hivyo ninarudia, kama kuna mkristo au muislamu amevunja sheria za nchi, ambazo zinatuunganisha bila kuzingatia itikadi za kidini, ni lazima sheria ichukue mkondo. Kama polisi wamefanya makosa katika utekelezaji wa sheria, huyo muadhirika ni lazima atetewe, lakini sio kwa kuingiza udini ndani. Ninasisitiza kama huyo mtuhumiwa wa ugaidi ameteswa na kusababisha kifo hilo ni kosa la hao polisi na hakuna mpango wa kuuwa waislamu. Acheni kuleta uchochezi wa kidini hapa jamvini. Tujadili maendeleo na kila mtu ana haki ya kufuata dini anayotaka na hakuna sababu ya kuita binadamu wenzio makafiri.

Nijibu kama sio mkakati kwanini wanao uliwa na kuteswa na kulawitiwa wawe waislam tu ? Kwa nini yule mkristo aliekamatwa red hand wakati kanisa lilipo ripoliwa arusha hakuteswa wala kuuliwa ?
Kwa nini ponda ananyimwa dhamana kwa kesi za madai bakwata?
Kwanini masheikh wale wa zanzubar wakamatwe znz waje kuteswa bongo na kufanyiwa ushenzi ?
Kwanini yule Sensei apigwe risasi za tumbo akiwa chini ya ulinzi wa polisi?
Waislam ni watanzania wana haki sawa kama mtanzania mwengine. Mtuhumiwa wowote ni innocent mpaka atapotiwa hatiani hii ni kwa mujibu wa katiba yetu na ni haki ya kila Mtanzania.
Lakini kwa nini watuhumiwa hawa waislam wa ugaidi polisi wanawahukumu kifo kabla ya kutiwa hatiani ?
Wwislan ni binaadamu tuna hisia na pia kila muislam inamuuma kuona haya mambo yanaendelea na kuna wakristo wengi wanafurahia polisi wanapo vunja haki za msingi za raia wa waislam.
Hali hii sio ya kujivunia katika nchi yenye tabaka mbili kubwa za dini.
Ni vitendo vya kukemewa .
Raia yoyote akiuliwa na polisi akiwa chini ya uamgalizi wao ni lazima ifanyike inquest kujua chanzo cha kifo chake.
Na inawezekana kuwa serikali haina sera hii chafu dhidi ya raia wake lakini tunatilia shaka na vikosi vya kupambana na waislam a.k.a ugaidi kuwa vimeingiliwa na mataifa yenye chuki za kuupiga vita uislam.hawa wamepewa mafunzo marekani au na instructors wa huko na hawa hawana nia nzuri na hawapendi nchi hizi zitulie hivyo kuna shaka vikosi hivi baadhi ni moles na ni double agents . Wanafanya kazi ya kuwagombanisha watanzania kutumia dini kwa kuua waislam japo low targets ili kupandisha hasira.
Tuangalie kenya leo imefika wapi hawana raha wako sawa na somali tu.
Marekani walishindwa kuzuia ugaidi mkubwa kufanywa ndani ya nchi yao sio mara moja wala mbili leo wao ndio wawe walimu ? Tafakari
 
[Q UOTE=meningitis;11328997]Habari imekaa kichochezi[/QUOTE]
Ichakachue iwe vizuri kisha utuletee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom