Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
.....Mchezo wetu kwani sisi Masheikh au unajifanya hujui wanachoanywa Masheikh? Kitimoto kitamu Sheikh wangu ndo maana juzi juzi kule Shinyanga Sheikh mmoja kakamatwa kwa kuiba Nguruwe.
Halafu nyie mnasababisha hata bei ipande, mnakula ila kisiri siri. Sister wako huwa tunakula nae pamoja ila kasema nisikuambie. teh teh teh teh!
Ha ha ha,makoye getegete mami,huyu jamaa ndo mchezo wake ule.