Bhanunu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 792
- 244
wewe hutakufa?au unapenda pepo lakini kufa hutaki
Waulize magaidi hilo swali wanauwa wezao wao hawataki kufa
wewe hutakufa?au unapenda pepo lakini kufa hutaki
Habari imekaa kichochezi
HUO ni mkakati wa kuwauwa waislam ugaidi ni kisingizio tu
Safi sana Mungu mkubwa wacha yafeeee
Hata kenya walikua wanafurahi sana akina rogo wanapouliwa lakini kibao kilipogeuka wamerudi na kupunguza ushabiki wa kijinga.Siku hao magaidi wakianza kulipa visasi tusisikie vijambio vyenu kupiga kelele
Imamu wa msikiti aliyekuwa anashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi huko Arusha amefariki baada ya kuugua kwa muda wa miezi sita akitibiwa katika hospitali ya mount Meru akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Source: Gazeti MWANANCHI leo.
haya magaidi yafe kabisa maana wameua wengi sana hapa arusha tangu yakamatwe arusha swariiimamu wa msikiti aliyekuwa anashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi huko arusha amefariki baada ya kuugua kwa muda wa miezi sita akitibiwa katika hospitali ya mount meru akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Source: Gazeti mwananchi leo.
wewe hutakufa?au unapenda pepo lakini kufa hutaki
......Anzeni na hapa tuwafanye ule mchezo wanaofanyiwa masheikh wa Zanzibar kule jela.Hata kenya walikua wanafurahi sana akina rogo wanapouliwa lakini kibao kilipogeuka wamerudi na kupunguza ushabiki wa kijinga.
Kifo kwa mwanadamu ni jambo la lazima,hata wewe utakufa.Good job
"Sitawaonea haya hata kidogo ni magaidi tu".
Nyinyi pia mtakufa,hakuna atakaebaki milele dunianiSafi sana Mungu mkubwa wacha yafeeee
Hata wewe si mtu wa maana na utakufa,afadhali yeye kafa kifo cha heshima,wewe utakuja kufa kama paka mwizi........Nilidhani amekufa mtu wa maana, kumbe Imamu wa msikiti! Acha wafe tu.