Imamu afariki mikononi mwa polisi Arusha

Imamu afariki mikononi mwa polisi Arusha

Status
Not open for further replies.
.........Aha ha ha ha!! Umepanic wee big_in!!. Kwani hapa nahitaji elimu gani au nahitaji dini ya namna gani ili niweze kuandika comments zangu?.
Huna akili tatizo unene rudi shule ukasome
Wewe mwenye elimu badala ya kutumia elimu yako kunielekeza jinsi ya kufanya vitu katika njia sahihi, unaanza kuandika vitu visivyojenga kiasi kwamba akija mwenye akili atakuona wewe ndo zinga la Boya kuliko mimi unayeniona sina elimu wala dini.

Kwani ukiniita kubwa jinga itasaidia kunifanya niwe na akili na dini? Nchi yetu imejaa mijitu ya aina yako ambayo mingi hujihisi kama vile ipo vizuri kichwani kumbe ukijifananisha na Nguruwe ni heri hata ya Nguruwe kuliko wewe.

Siku hizi JF wameweka system ambayo ukitazama maandishi ya mtu anavyoandika unajua kuwa huyu ni mnene au mwembamba? Good innovations!!!

Umesema nipo kama jini? Jini yupi, yule anayewapuliza makalioni mnaposujudu halafu mkishamaliza kusali mnageuka kushoto na kulia ambapo mnaamini anakuwa anawalinda kisha mnasema "Bismillah shetwaan rahiiimu".

Teh teh teh teh!! Imani nyingine hata mimi ningekuwa Mbwa nisingekubali kujiunga nazo, duuuh, yaani mnapulizwa lol!!
Huna akili rudi shule
 
.....Mkuu, usimshangae ndo upeo wao wa kufikiria unapoishia hapo. Wamemezeshwa kila kitu ni Marekani ndo anasababisha.

Siku akiona demu wake au mke wake anamsaliti ataanza kulia kuwa Marekani kasababisha hivyo.

Mnaingiliwa na baba zenu pumbavu nyie!
 
Umefika kwa waislam wa Tanzania kwa dhati kabisa kuanza kuitekeleza Fatwa ya Ustaadh Ilunga.
Huu mchezo hauto isha na ukisoma marejeo ya Comments za wakristo humu ndani hakuna hata moja inayo inesha ubinadamu haki ya kiraia wote wakristo wamefurahi sana kuona viongozi wa dini wa kiislam wakiuliwa .
Hii inathubitisha kitu kimoja kwamba kanisa lina husika moja kwa moja na unyama huu alofanyiwa huyu Imam pamoja na Sensei alie uawa mwezi ulopita na yule mwislam mwengine alo uliwa Na polisi temeke.
Sheikh Ilunga alitoa Fatwa ya ukweli ambayo ndio pekee itayo rejesha heshima yetu na kukoma visa hivi vya kuwaua viingozi wetu.
Ni jino kwa jino tu ndio dawa.

Ok nenda kanye ukalale
 
Mnaingiliwa na baba zenu pumbavu nyie!
........Aha ha ha ha! Usihamaki Mahamumah! Matusi ya keyboard na maandishi wala hayaumizi, isitoshe hakuna hata tusi moja ambalo jipya utakalotukana zaidi zaidi utatumia maneno yale yale yaliyozoeleka. You have nothing new!

Wale Masheikh wa Zanzibar nao kule jela wanaingiliwa na Ma.ma zao au?
 
Ubinadamu unatangulia dini. Hivyo watu wote tuko sawa kama binadamu. Dini ni uamuzi wa mtu. Mimi kama ni muislamu huo ni uamuzi wangu binafsi, labda na familia yangu. Na mkristo ni uamuzi wake binafsi labda na familia yake. Hivyo ninarudia, kama kuna mkristo au muislamu amevunja sheria za nchi, ambazo zinatuunganisha bila kuzingatia itikadi za kidini, ni lazima sheria ichukue mkondo. Kama polisi wamefanya makosa katika utekelezaji wa sheria, huyo muadhirika ni lazima atetewe, lakini sio kwa kuingiza udini ndani. Ninasisitiza kama huyo mtuhumiwa wa ugaidi ameteswa na kusababisha kifo hilo ni kosa la hao polisi na hakuna mpango wa kuuwa waislamu. Acheni kuleta uchochezi wa kidini hapa jamvini. Tujadili maendeleo na kila mtu ana haki ya kufuata dini anayotaka na hakuna sababu ya kuita binadamu wenzio makafiri.

:thumbup:
 
Mbona tayari yameua na kuteka hovyo watu wengi tu wasio na hatia! Au we hujasikia BOKOHARAM, ALSHABAAB, ALKAIDA n.k?

Wale wa ESCROW ndio watajwe maana wao madawa hakuna maji ni shida kwa wananchi au kwa vile ni sadaka?
 
Huna akili rudi shule
........Ushasema sina akili, niende shule nikafanye nini? Labda niende Madrasat wanaweza kunipokea maana ni sehemu pekee hapa duniani ambapo wanapokea wanafunzi wasio na akili.

Unavyosema nirudi shule, kwani nilishawahi kwenda huko shule hata mara moja? Shule sio kila kitu katika maisha, wewe unayeona kuwa lazima mtu aende shule kawashauri ndugu zako wanaolalamika kila siku wanaonewa na kudai serikali inaendeshwa kwa mfumo kristo.
 
Maelezo yako ni marefu lakini hayana any substantial data ku-support idea yako kuwa wanaoteswa na polisi ni waislamu tu. Je, Mwangosi alikuwa muislamu? Hapa inaonekana unajaribu kujustify muendelezo wa uvunjifu wa sheria kwa kisingizio kuwa waislamu wanauliwa. Ndugu wa hao wanaoteswa au kuuwawa na polisi wana njia muafaka za kufuata ili haki itendeke na si hizo unazozitaja wewe za kulipiza kisasi kama Kenya au somalia.

Kifo cha mwangosi ni tofauti kabisa.nacho hakikunaliki lakini kilitokea katika vurugu za kisiasa kwenye vurugu . Hakihusiani na dini yake.
Kuwa mkweli jamaa gani hao wa walio uliwa wanaweza kudai haki yao?
Sana sana watatishwa maisha yao tu.
Ukiwa mkweli kwa nini usikemee mtindo huu unao shuka kasi kuenea ?
Hebu fukiria padri leo akamatwe na afanyiwe haya itakuaje ? Utazumgumza kama unavosema?
Auawe padri wa kwanza wa lili na watatu na polisi ...munge react vipi ?
Tuseme ukweli nchii hii ni yetu wote waislam wakristo na wengine chuki yoyote kutoka kwa watendaji walo pewa dhamana ya kulinda raia sio jambo la kufurahia hata kidogo.
Sheria zipo wazi
Penal code ipo wazi
Haki za polisi na prosecutors zipo wazi
Haki za mtuhumiwa zipo wazi na katika hizo ni kushtskiwa na haki ya kupewa wakili na katika haki hizo hakuna ya kuuliwa.
 
Wewe mpumba vu hakuna gaidi tz usitulete ujinga wako

Ni kweli mkuu maana ugaidi wao ni mwepesi kwa sababu majini yao yamepungua nguvu kwa ajili ya kula kitimoto japo kwa kujificha
1417900497200.jpg
 
Ubinadamu unatangulia dini. Hivyo watu wote tuko sawa kama binadamu. Dini ni uamuzi wa mtu. Mimi kama ni muislamu huo ni uamuzi wangu binafsi, labda na familia yangu. Na mkristo ni uamuzi wake binafsi labda na familia yake. Hivyo ninarudia, kama kuna mkristo au muislamu amevunja sheria za nchi, ambazo zinatuunganisha bila kuzingatia itikadi za kidini, ni lazima sheria ichukue mkondo. Kama polisi wamefanya makosa katika utekelezaji wa sheria, huyo muadhirika ni lazima atetewe, lakini sio kwa kuingiza udini ndani. Ninasisitiza kama huyo mtuhumiwa wa ugaidi ameteswa na kusababisha kifo hilo ni kosa la hao polisi na hakuna mpango wa kuuwa waislamu. Acheni kuleta uchochezi wa kidini hapa jamvini. Tujadili maendeleo na kila mtu ana haki ya kufuata dini anayotaka na hakuna sababu ya kuita binadamu wenzio makafiri.

umejitahidi kiasi kutengeneza alinacha lakini huna historia hujui hata hilo neno UDINI maanayake nn ww umetungiwa nyimbo ya uduni. halafu ni mpungufu wa kufahamu aliempa mamlaka binaadamu ya kutungasheria juu ya binaadam mwenziwe ninani ? ruhusa hiyo katowa wapi ? sawa nakubaliana nawe nikosa la polisi, atakayewahukumu na kumpa huyo walie muuwa hakiyake ni nani? ok imani ya kiislam inasema NI YEYE MUNGU ALIETUUMBA SOTE MIONGONI MWETU WAMO MAKAFIRI NA WAMO WAISLAM.MAKAFIRI HUPAMBANA KATIKA NJIA YA SHETANI(kutawalisha sheria zilizo tengenezwa na mikono yao) NA WAISLAM HUPAMBANA KATIKA NJIA YA MUNGU) kutawalisha sheria zilizo tengenezwa na MUNGU)na ieleweke hoja si kujinasibu kwa imani ya Kiislam la hoja ni kukubali sheria ya MUNGU kama ilivyo ndani ya TAURATI ZABURI INJILI NA QURAN ituhukumu ktk maisha yetu hapa duniani.hata bwana yesu alipotangaza injili alionekana GAIDI wakamkimbiza wakamkata wakamtesa wakamuuwa kwa mujibu wa biblia unajua kwanini? yesu alitaka injili ihukumu maisha ya watu
hakuna tofauti na alivyo fanyiwa huyo Shekh
nakama wale waliomuuwa yesu walikamatwa na kuhukumiwa basi nahawa waliomuuwa Shekh huyo kwa tuhuma watakamatwa. N:B
neno KAFIRI ni neno la kiarabu na maana yake ni MPINGAJI WA SHERIA ZA ALLAH
neno hili kwa kiingereza ni PROSTANT.
wala si TUSI waarabu wa madhehebu ya ROMAN CATHOLIC kwa lugha yao huwaita PROSTANTS = KAFIR
haya ni masala ya kilugha tu nduguyangu
KAFIR = noun
KUFRU = verb
 
Kifo cha mwangosi ni tofauti kabisa.nacho hakikunaliki lakini kilitokea katika vurugu za kisiasa kwenye vurugu . Hakihusiani na dini yake.
Kuwa mkweli jamaa gani hao wa walio uliwa wanaweza kudai haki yao?
Sana sana watatishwa maisha yao tu.
Ukiwa mkweli kwa nini usikemee mtindo huu unao shuka kasi kuenea ?
Hebu fukiria padri leo akamatwe na afanyiwe haya itakuaje ? Utazumgumza kama unavosema?
Auawe padri wa kwanza wa lili na watatu na polisi ...munge react vipi ?
Tuseme ukweli nchii hii ni yetu wote waislam wakristo na wengine chuki yoyote kutoka kwa watendaji walo pewa dhamana ya kulinda raia sio jambo la kufurahia hata kidogo.
Sheria zipo wazi
Penal code ipo wazi
Haki za polisi na prosecutors zipo wazi
Haki za mtuhumiwa zipo wazi na katika hizo ni kushtskiwa na haki ya kupewa wakili na katika haki hizo hakuna ya kuuliwa.

Nikujibu kwa kifupi: Padre akikamatwa leo akafia mikononi mwa polisi sitosema polisi wanauwa wakristo bali polisi wameuwa padre na ndugu zake itabidi wafuate njia zilizowekwa kupata haki. Umenielewa? Sio kuanza kutoa vitisho vya kulipiza kisasi na kuanza kutoa mifano ya yanayotekea Kenya. Hilo ndio mimi siungi mkono kabisa.
 
umejitahidi kiasi kutengeneza alinacha lakini huna historia hujui hata hilo neno UDINI maanayake nn ww umetungiwa nyimbo ya uduni. halafu ni mpungufu wa kufahamu aliempa mamlaka binaadamu ya kutungasheria juu ya binaadam mwenziwe ninani ? ruhusa hiyo katowa wapi ? sawa nakubaliana nawe nikosa la polisi, atakayewahukumu na kumpa huyo walie muuwa hakiyake ni nani? ok imani ya kiislam inasema NI YEYE MUNGU ALIETUUMBA SOTE MIONGONI MWETU WAMO MAKAFIRI NA WAMO WAISLAM.MAKAFIRI HUPAMBANA KATIKA NJIA YA SHETANI(kutawalisha sheria zilizo tengenezwa na mikono yao) NA WAISLAM HUPAMBANA KATIKA NJIA YA MUNGU) kutawalisha sheria zilizo tengenezwa na MUNGU)na ieleweke hoja si kujinasibu kwa imani ya Kiislam la hoja ni kukubali sheria ya MUNGU kama ilivyo ndani ya TAURATI ZABURI INJILI NA QURAN ituhukumu ktk maisha yetu hapa duniani.hata bwana yesu alipotangaza injili alionekana GAIDI wakamkimbiza wakamkata wakamtesa wakamuuwa kwa mujibu wa biblia unajua kwanini? yesu alitaka injili ihukumu maisha ya watu
hakuna tofauti na alivyo fanyiwa huyo Shekh
nakama wale waliomuuwa yesu walikamatwa na kuhukumiwa basi nahawa waliomuuwa Shekh huyo kwa tuhuma watakamatwa. N:B
neno KAFIRI ni neno la kiarabu na maana yake ni MPINGAJI WA SHERIA ZA ALLAH
neno hili kwa kiingereza ni PROSTANT.
wala si TUSI waarabu wa madhehebu ya ROMAN CATHOLIC kwa lugha yao huwaita PROSTANTS = KAFIR
haya ni masala ya kilugha tu nduguyangu
KAFIR = noun
KUFRU = verb

Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society. Nikufahamishe tu "protestant" haina maana ya ukafiri kama ulivyosema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom