Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

Please go for prayers, I advise you ask God to give you HIS Holy Spirit. And believe me, someday you'll be preaching and spreading the gospel! I will also mention your name in my prayers. Should I mention KIRANGA or you think God will have to validate this name?

I dont accept there is a god, I have asked you to show me that there is a god.

You are asking me to pray to god.

Who is tze comic one now?

Talking about putting the cart before the horse.
 
The questions presumes the universe was made. How do you know that?

Kiranga you are logical positivism scholar ... and you want to make everybody assert to your philosophical basis...

the philosophical basis for logical positivism, automatically excludes the possibility of a deity without proof
but some might urge differently ....

"whatever we come up with, you will dispute such a hypothesis because it is not logical"
 
Hebu tulia Roho Mtakatifu anatuombea kwa nani mkuu..???? Hapa ukikutana na wale wasioamini kuwa Roho Mtakatifu ni Mungu utakwama....Maana utaulizwa anatuombea kwa nani angali yeye ni Mungu..

Wewe umeelewaje kuhusu hilo andiko...

Ndio maana nikakuuliza unaamini Roho Mtakatifu ni Mungu...
Mhhmmmmm!!!!
 
I dont accept there is a god, I have asked you to show me that there is a god.

You are asking me to pray to god.

Who is tze comic one now?

Talking about putting the cart before the horse.

You not accepting the existnce of God does not mean He does not exist... and you are going to demand i prove to you He exists.
 
Ndugu yangu itakua ngumu kuelewa kama nafsi yako imeshakua hasi juu ya uwepo wa MUNGU, ila naamini taratibu utaelewa maana mwisho wa siku utaamini na kukiri imani ya kristu
Lazima iwe hiyo,je hakuna zaidi? Mpe choice usimlazimishe huenda nawe ukahitaji kuombewa.
 
Naona Kiranga unaogopa Ebola saaana, kuna magonjwa mengi tu. Na vilevile una dalili zote za kufa, ndio maana unataka kum-challenge Mungu. Endelea........
Anachoringia Kiranga ni kuwa huyu jamaa amaelewa vizuri Mungu hafanyi jambo kwa shinikizo.
 
Nawa challenge wanaosema yupo wathibitishe kwamba yupo.

How is that illogical?
Kwa vile u mwerevu ndani ya kundi la wajinga ingekuwa logic kwa wewe kuwaonyesha kuwa hicho wanachokiamini hakipo.
Unaonaje sasa ukabadili mfumo ili kututhibitishia kuwa hicho tunachokiamini hakipo?
 
Hujajibu swali.

You are totally beside my point.

You are launching an "ad hominem" attack. Badala ya kujibu hoja unanitukana mimi.

Kwa sababu huwezi kujibu hoja.

Mimi nimekuwa nataka sana kujuzwa na nimesikiliza maoni hapa, ndiyo maana nauliza mpaka sasa, kwa hiyo huwezi kusema nang'ang'ania kona moja.

Tatizo huna majibu ya kuridhisha, utategemeaje nitoke nilipo bila kunijibu? Nitoke kwa nini?

Kwa mitusi unayonitukana?

Ndivyo mungu wako alivyokufundisha hivyo?


Ni kitu gani hicho? Kumbe after all unaamini kipo kitu hicho halafu unawachezea akili wenzako.
 
Sijui, lakini si kwa mungu huyu mnayemsema.

Kwa sababu yuko logically inconsistent. Anafeli mitihani midogo tu ya kibinadamu.
Yupi mmojawapo? Chukulia mimi sijawasikia kuhusu huyo mungu wao naomba nifamishe wanamtajataja vipi?
Siridhiki uniulize swali kwani nimeshakwambia sijamsikia huyo mungu unaemtaja kuwa wao wanamtaja.
 
Hujaelewa swali.

Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao vichwa vibovu vinawezekanika kuwapo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao vichwa vibovu haviwezekaniki?
Simple ni matakwa yake? Who are we to question him?
 
Cool down brodah, uvimilivu na kuweza control ur hanger itakufanya huwe na image nzuri na kukufanya good leader kwa wale wanao kufatilia.
Hata mtoto wako ukimchekea sana atakutemea mate. Tumeumbwa na tabasamu na hasira na kila kimoja kinahitajika kwa wakati wake nae namsifu kuwa anajuwa kuvitumia.
 
Simple ni matakwa yake? Who are we to question him?

Hujaweza kuthibitisha kwamba yupo.

How can you say who are we to question him before proving he actually exists?

You are putting the cart before the horse.
 
Yupi mmojawapo? Chukulia mimi sijawasikia kuhusu huyo mungu wao naomba nifamishe wanamtajataja vipi?
Siridhiki uniulize swali kwani nimeshakwambia sijamsikia huyo mungu unaemtaja kuwa wao wanamtaja.

Wewe mungu wako yupi?
 
Anachoringia Kiranga ni kuwa huyu jamaa amaelewa vizuri Mungu hafanyi jambo kwa shinikizo.

Hujathibitisha mungu yupo. Chochote utakachosema kuhusu mungu ni moot, hogwash, malarkey.
 
Back
Top Bottom