Mi ntamsaidia kujibu.
Jibu lake ni kuwa.
Mpumbavu ni Yule ambae anakubali kuwa hapo mwanzo kabisa kilitokea kitu kutoka KUSIKO JULIKANA! kitu hicho kwa SABABU ISIOJULIKANA kikapasuka Na Ghafla baada ya miaka Bilion kadhaa Akatokea kiumbe mmoja aitwae
Kiranga mwenye tabia ya kuhara hovyo bila sababu maalum kwenye Jukwaa Moja liitwalo Jamii Forum kwa sababu ambazo PIA HAZIJULIKANI.
Kiumbe huyu akajiita
Kiranga Kwa maana ya "manyege"! Kila anapojaribu Kuelekezwa vitu na viumbe wengine kile kiungo Kiitwacho Busara Mara zote huwa anakikalia na kiungo kingine kiitwa MAKALIO na kila Anapojaribu kuelekezwa anazidi KUHARA JUKWAANI.
Sasa viumbe wengine km kina
kahtaan Wakaona ni Bora Waache Kumuelekeza kwa sababu lile jina
Kiranga huenda likawa Limemuathiri sana Kile kiungo Kiitwacho UBONGO!
Kitu ambacho Huyu bwana Manyege anacho sahau Kutambua ni Kuwa ni Kanuni ya kawaida kabisa ya Binaadamu kama anahitaji kufahamu kitu chochote basi lzm awe na weledi na kukubali Kutazama kila Kona ya maelezo ya jambo/kitu hicho na sio Kung'ang'ania kona moja tu ka sindano ya santuri imenasa.!!!!
Lkn bahati mbaya Kichwa kinachohifadhi kile Kiungo Kiitwacho Ubongo cha huyu mzee manyege aka
Kiranga Kimeathirika sana na kazi ngumu anazozifanya za kubeba mizigo mizito kutokana na Elimu yake ndogo. Hivyo kikosa ajira za Kutumia Huo UBONGO!
USHAURI/HITISHO.
Ni kawaida kwa Binaadamu kila siku ziendazo mbele na weledi wake kuongezeka lkn kuna binaadamu km asilimia 2% ambao kwa sababu Ya bongo zao zilivyo Badala ya wao Kuongezeka weledi basi siku hadi siku wanazidi kuwa Wapumbavu! Na bahati mbaya mimi au Yyt aliyemo humu Jf Hawezi Kuligeuza Hilo.
Na nina hakika 100% wewe bwana
Kiranga bahati mbaya UMO KTK HIO ASILIMIA 2%.
That is very Unfortunate.