Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

Unajua sikuzote mtoto akililia wembe wee mpe panga na siwembe

Huu msemo unahusikaje hapa?

Mimi nimetaka kujuzwa, kwa kuuliza maswali.

Maswali ambayo mpaka sasa sijajibiwa.

Sasa utasemaje mtoto akililia wembe mpe panga wakati hata wembe wa toy hujanipa?

Ungekuwa umenijibu kitu cha kueleweka ungeweza kusema umenipa nilicholilia, hujanijibu kitu cha kueleweka.

Huwezi kusema mtoto akililia wembe mpe panga.

Maneno yako na matendo yako tofauti.
 
Tena si ndogo.

Watu wanakwambia mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Halafu hapo hapo anaachia kinamama na vitoto vichanga vinakufa na Ebola, ndugu zao wakiwalilia msibani na kuwagusa na wao wanapata Ebola wanakufa.

Inabidi watu walazimishwe hakuna kuzikana, maiti zinazikwa na team maalum.

Watu wanakufa kwa mafungu kama nzi.

Mungu yupo, dawa anaijua, uwezo wa kuwasaidia anao, mnasema upendo wa kuwasaidia anao.

Sasa kwa nini hawasaidii awaondolee tatizo hili?

Huyu mungu mbona mkatili hivi?

Hahahaaa😊 eti katili hivi!

Sikiliza, kama huamini Mungu yupo basi nadhani huamini pia kuwa shetaji yupo. Lakini shetani ndio hupenda kuuliza maswali ya aina hii, kuwa mbona Mungu katili watu wanakufa ametulia tu? Upendo gani sasa? Shetani husema hata upendo inatakiwa kumpa anayestahili tu sio kila mtu, shetani pia husema haiwezekani kumpenda na kumbariki adui yako, au kugeuza shavu la upande wa pili libatuliwe pia baada ya kupigwa la kwanza au kutotaka mdeni wako akurudishie. Haya ni maswali au maneno shatani huwapotezea mbali waaamini walio lege lege. Maana majibu ya maswali yote haya hakika anayo Roho Mtakatifu anayeishi kwa waaminio. Yeye ni mwalimu na mfariji ila kwa wanaoamini tu.

Usiseme Mungu ni katili. Mungu hutimiza alichopanga. Na ana hasira pia, ila usiombe ikikute!! Shukuru umezaliwa kizazi ambacho Mungu haleti tena gharika. Wewe unaongelea ebola wanakufa hao watu sita saba tu, hujui zamani za kale ilikuwa Mungu akichukia anafuta kizazi chote tena kwa kuangamiza? Hujasoma habari ya Sodoma au Nuhu na Safina eeh! Hapana chezea hasira yake! Au hujasoma alivyowayosa askari wote wa misri waliokuwa wanamfuata Musa bahari ya shamu? Hao watu sita saba wa ebola unasema huyu Mungu vipi?

Kumbukq Mungu anatisha! Usichukulie simple tu hii habari aisee😀
 
Mkuu,mbona huyo aliyemquote ametoa maelezo ambayo yanaridhisha kabisa?

Lakini pia hilo swali tayari lilishajibiwa,kama alishajibiwa na hakuelewa ni kitu gani kitamfanya aelewe sasa?

Jamaa anaonekana ana bifu na Mungu balaa ....!!

Mtu hawezi kuwa na bifu na mungu ambaye hakubali uwepo wake.

That is a logically inconsistent position. To even entertain that shows us how jumbled your thought process is.
 
uzuri wa imani ni kwamba hata uwe na madegree, mabachelor, na msomi wa kila kitu cha duniani ukija kwenye dini hapo unakuwa 0! lazima upate nguvu ya ziada kuielewa na kuijua imani....imani ni kitu cha pekee sana, na usikubali mtu akulundikie imani anayotaka yeye bali uwe na imani itokanayo na wewe mwenyewe kwa jinsi unavyomwelewa mungu........UKITAKA MUENDE SAMBAMBA MNAPOJADILI IMANI HUSIWEKE MBELE KUWA HUYU LAZIMA AKUBALI KILE NINACHOKIAMINI, NI JUU YAKO KUMSHAWISHI AKIAMINI KILE UNACHOKITETEA NASI KUKASHIFU KILE ALICHONACHO, KWANI TUMEKUWA NA MAKUNDI KUTOKANA NA MAPOKEO!.......ANGALIA PALE ULIPOONA UMESIMAMA USIJE UKAANGUKA
 
Kwa nini utake kuamini at all?
 
Hahahaaa eti katili hivi!

Sikiliza, kama huamini Mungu yupo basi nadhani huamini pia kuwa shetaji yupo. Lakini shetani ndio hupenda kuuliza maswali ya aina hii, kuwa mbona Mungu katili watu wanakufa ametulia tu? Upendo gani sasa? Shetani husema hata upendo inatakiwa kumpa anayestahili tu sio kila mtu, shetani pia husema haiwezekani kumpenda na kumbariki adui yako, au kugeuza shavu la upande wa pili libatuliwe pia baada ya kupigwa la kwanza au kutotaka mdeni wako akurudishie. Haya ni maswali au maneno shatani huwapotezea mbali waaamini walio lege lege. Maana majibu ya maswali yote haya hakika anayo Roho Mtakatifu anayeishi kwa waaminio. Yeye ni mwalimu na mfariji ila kwa wanaoamini tu.

Usiseme Mungu ni katili. Mungu hutimiza alichopanga. Na ana hasira pia, ila usiombe ikikute!! Shukuru umezaliwa kizazi ambacho Mungu haleti tena gharika. Wewe unaongelea ebola wanakufa hao watu sita saba tu, hujui zamani za kale ilikuwa Mungu akichukia anafuta kizazi chote tena kwa kuangamiza? Hujasoma habari ya Sodoma au Nuhu na Safina eeh! Hapana chezea hasira yake! Au hujasoma alivyowayosa askari wote wa misri waliokuwa wanamfuata Musa bahari ya shamu? Hao watu sita saba wa ebola unasema huyu Mungu vipi?

Kumbukq Mungu anatisha! Usichukulie simple tu hii habari aisee

Umesema upendo apewe anayestahili tu, sio kila mtu.

Wale watoto wadogo wasiojua kitu wanaokufa kwa Ebola hawastahili upendo wa huyo mungu wako?

Mungu mwenye hasira anahitaji "Anger Management" classes. Hasira ni weakness, mungu mwenye hasira ni mungu weak ambaye kashindwa ku control emotions zake.
 
uzuri wa imani ni kwamba hata uwe na madegree, mabachelor, na msomi wa kila kitu cha duniani ukija kwenye dini hapo unakuwa 0! lazima upate nguvu ya ziada kuielewa na kuijua imani....imani ni kitu cha pekee sana, na usikubali mtu akulundikie imani anayotaka yeye bali uwe na imani itokanayo na wewe mwenyewe kwa jinsi unavyomwelewa mungu........UKITAKA MUENDE SAMBAMBA MNAPOJADILI IMANI HUSIWEKE MBELE KUWA HUYU LAZIMA AKUBALI KILE NINACHOKIAMINI, NI JUU YAKO KUMSHAWISHI AKIAMINI KILE UNACHOKITETEA NASI KUKASHIFU KILE ALICHONACHO, KWANI TUMEKUWA NA MAKUNDI KUTOKANA NA MAPOKEO!.......ANGALIA PALE ULIPOONA UMESIMAMA USIJE UKAANGUKA

Hili nalo neno!
 
Ndugu yangu itakua ngumu kuelewa kama nafsi yako imeshakua hasi juu ya uwepo wa MUNGU, ila naamini taratibu utaelewa maana mwisho wa siku utaamini na kukiri imani ya kristu

Kwa nini unafikiri ni mimi ninayehitaji kuelewa na si wewe?

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo? Unaweza kuthibitisha kwamba nje ya habari zisizo kichwa wala mguu za imani, katika uhalisi, mungu yupo?
 
Mmh! Kumbe wachungaji wana kazi ngumu! Ila Mungu anaweza!
 
Ndugu yangu itakua ngumu kuelewa kama nafsi yako imeshakua hasi juu ya uwepo wa MUNGU, ila naamini taratibu utaelewa maana mwisho wa siku utaamini na kukiri imani ya kristu

Samahani nitakuwa nimetoka nje ya mada lakini ni kuuliza tu UNAVINASABA NA MZEE Maziku wa magomeni kagera?
 
Kwa mawazo yako.

Hapana, kwa mawazo yako. Wewe ndiye uliyeshindwa kutetea imani yako. Nimekuuliza kwa nini mungu hawapi dawa ya Ebola watu wa Liberia wapete? Vitoto vinakufa hata kabla ya kuonja utamu wa life.

Hujajibu mpaka sasa.
 
Naona Kiranga unaogopa Ebola saaana, kuna magonjwa mengi tu. Na vilevile una dalili zote za kufa, ndio maana unataka kum-challenge Mungu. Endelea........
 
Kweli ebola inatisha!
 
hahahah kuna watu wakiingia kwenye huu uzi wanaweza kudhani ni vichaa ndio wanaobishana
 
Mtu hawezi kuwa na bifu na mungu ambaye hakubali uwepo wake.

That is a logically inconsistent position. To even entertain that shows us how jumbled your thought process is.

Halafu mtu huyo huyo ambae anajua hayupo anatafuta uwepo wake,yaani mtu ambae anajua kabisa anachitafuta hakipo lakini anahangaika kuuliza kuhusu uwepo wake

That is logical isn't it?
 
Naona Kiranga unaogopa Ebola saaana, kuna magonjwa mengi tu. Na vilevile una dalili zote za kufa, ndio maana unataka kum-challenge Mungu. Endelea........

Ebola ni mfano mdogo tu, kuna majanga kibao.

Maisha ni dalili ya kufa, so what is your point?

Siwezi kum challenge mungu ambaye sikubali uwepo wake, nawa challenge watu kama wewe mnaosema yupo.

Na mpaka sasa maswali yangu hamjanijibu.
 
Back
Top Bottom