Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

kwani wewe ulijua kila kitu bila kufundishwa?nataman tungekuwa live pamoja halafu tupimwe IQ zetu, labda tungeelewana zaidi.
Kuitambua IQ ya mtu silazima mpaka umuone tu, jipange. Wenye uelewa tumeshakuelewa hata kwa mabandiko yako tu humu.
 
Imani inaruhusu uamini hata babu yako mungu.

Lakini, ukiamini babu yako mungu, hilo halimfanyi babu yako kuwa mungu.
Wako wengi wanabebeshwa funguo za magari na kuambiwa makanisani waendeshe magari hewani eti baada ya muda fulani watapata magari kweli....
 
Hahahahaha kuna tofauti kati ya kuabudu na kusujudu je wajua?
...Na huyo NENO alikua ni YESU???......... Halafu je kwanini wanafunzi wa yesu hawakumuabudu wakati ule, miake 300 baadaye ndio aabudiwe ??????
 
Kuna vitu vya maana vya kufundishwa wewe, lakini sio katika ujinga kama huo wa kuaminishwa eti lipicha fulani ndilo Bikra maria au Yesu. Halafu unakua mbishi utafikiri ulimpiga picha wewe.

Ifike wakati Wakristo tuache kuabudu masanamu tuige wenzetu Waislamu, hata siku moja hutawaona wakionyesha mapicha ya uongo eti huyu ndiye Mtume SAW, Maswahaba au Khadija....

mtu usiyejua hata maana ya kuabudu ndo unajinasibu hapa kuwa u mkristo???wanaoelewa wameshakuelewa.
 
mtu usiyejua hata maana ya kuabudu ndo unajinasibu hapa kuwa u mkristo???wanaoelewa wameshakuelewa.
Kama kuabudu ni huko kuaminishwa katika masanamu ya picha kama wewe, kwa mtazamo wako acha niendelee kutojua kuabudu. Mimi ninayemuabudu yupo ndani yangu namuona katika roho na siyo kwenye mapicha ya uongo kama ibada yako....PERIOD
 
Angalia jinsi unavyojichanganya mpaka huruma. Ulidhani ukileta post za kitoto humu utapata sapoti tu!!!

nimejichanganya na nini hapo?? sihitaji sapot ya chochote na kama wewe unatafuta sapoti humu endelea tu mkuu.
 
Wako wengi wanabebeshwa funguo za magari na kuambiwa makanisani waendeshe magari hewani eti baada ya muda fulani watapata magari kweli....

The human mind is naturally disposed to be attracted by the fantastic rather than the actual, the fabulous rather than the truth, the fanciful rather than cold facts.
 
Unachekesha.

Unasema.
1. Our universe could not have come from nothing.
2. Our universe must have come from something.
3. Therefore god must exist.

Hapo namba tatu ni bonge la Non Sequitur. Why should the cause be god by default?

The fact that the universe must have come from something does not necessarily mean it must have been made by god.
kiranga Kiranga... so who made the universe??.?
 
The human mind is naturally disposed to be attracted by the fantastic rather than the actual, the fabulous rather than the truth, the fanciful rather than cold facts.

Mkuu Kiranga upo?
 
Hata nisipokuwepo, kivuli changu kilicho katika mawe niliyoangusha hapa JF kitakutosha kama dozi ya ugonjwa wa ujinga kwa angalau wiki moja ijayo.

Kuna siku utaomba ardhi ipasuke uingie humo lakini haitawezekana. Kwa vile hujui uliyokea wapi ni obvious hujui unakoenda. Asiyejua anskoenda hawezi kupotea.
 
Assume unakuwa mwalimu wa math wa Kiranga😊 then umfundishe " any number divided by zero gives infinity" atabomoa shule aisee😀😀😀😀
 
Assume unakuwa mwalimu wa math wa Kiranga😊 then umfundishe " any number divided by zero gives infinity" atabomoa shule aisee😀😀😀😀

Any number divided by zero is not infinity.

How could zero divide by zero be infinity if any number divided by itself is supposed to be one?

In mathematics, division by zero is not logical.
 
You are the comic one.

Do you even understand my retort?

Please go for prayers, I advise you ask God to give you HIS Holy Spirit. And believe me, someday you'll be preaching and spreading the gospel! I will also mention your name in my prayers. Should I mention KIRANGA or you think God will have to validate this name?
 
Back
Top Bottom