Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,873
- 145,797
hebu aliyeleta neno chumba ndio atuambie chumba ni nini ??
An entity of contained coordinates in a spatial continuum.
hebu aliyeleta neno chumba ndio atuambie chumba ni nini ??
Mi nafikiri mnatokq nje ya mada au key discussion.
Hakuna shida katika kumuombea mwingine. Ni jambo jema. Hata sisi kwa sisi tunaombeana.
Issue hapa ni tunaombeana kwa njia gani katik kumfikishia maombi yetu Yesu? Idea hapa haijalishi nani anaomba, ila point hapa ni kuwa awasiliane na Roho Mtakatifu (Roho wa Yesu - the wengine hapa hawaelewi) moja kwa moja.
Issue ni je, unayetaka akuombee yuko hai anaishi au ni mfu? Hapo ndipo shida ilipo. Na, worship kwa mfano ya Catholic ni more like imeconcentrate kwa Maria, ambaye ni mfu, na hii naona inablock mioyo ya watu isiconnect na Roho Mtakatifu kwa urahisi ambao kwa sababu hiyo ndio maana Yesu akishuka kuja duniani.
Ndivyo walivyokudanganya...wapo waliomuona, haimaanishi kama wewe hujamuona then hamna aliyemuona...
Ndivyo walivyokudanganya...
Ndivyo walivyokudanganya...
Mkuu wamejazwa ujinga na filamu za kizungu eti Yesu na Bikra maria wote ngozi nyeupe. Yuda iskariote, wahalifu wawili msalabani na wakorofi korofi wote walikuwa watu weusi...Hata cha Arusha kikimuingia kichwani anaweza kufikiri kamuona mungu.
Hilo halimaanishi kamuona mungu.
Hata cha Arusha kikimuingia kichwani anaweza kufikiri kamuona mungu.
Hilo halimaanishi kamuona mungu.
ningedanganywa kama wewe ungeniona humu nashabikia ujinga wa eti hiyo ndiyo taswira halisi ya bikra maria. Wewe ulimuona wapi kama sio umedanganganya na vitabu vya sunday school zetu toka utotoni...kama wewe ulidanganywa pole yako, sio wote tumedanganywa.
Mkuu wamejazwa ujinga na filamu za kizungu eti Yesu na Bikra maria wote ngozi nyeupe. Yuda iskariote, wahalifu wawili msalabani na wakorofi korofi wote walikuwa watu weusi...
jambo usilolijua wewe haimaanishi kuwa wote hawalijui, na pia haimaanishi wewe waweza tu kuwa sahihi na wengine wasiwe sahihi.
Usilazimishe watu kuamini uongo uliolishwa wewe toka utoto wako.jambo usilolijua wewe haimaanishi kuwa wote hawalijui, na pia haimaanishi wewe waweza tu kuwa sahihi na wengine wasiwe sahihi.
Mkuu wamejazwa ujinga na filamu za kizungu eti Yesu na Bikra maria wote ngozi nyeupe. Yuda iskariote, wahalifu wawili msalabani na wakorofi korofi wote walikuwa watu weusi...
Kumbe unasubiri mpaka ufundishwe pole sana, hata macho ya kuona mwenyewe huna!!kama ndivyo ulivofundishwa hivi basi sina haja ya kubishana nawe, maana mie nilichofundishwa hakikuonyesha wahalifu wote ni weusi....
Kinachonishangaza huyu mwanamke mpaka leo anaitwa virgin eti
Usilazimishe watu kuamini uongo uliolishwa wewe toka utoto wako.
Kumbe unasubiri mpaka ufundishwe pole sana, hata macho ya kuona mwenyewe huna!!
hapo ndipo mijadala mingi imeendeshwa seehemu mbali mbali ikiwamo humu JF , Mumemteua kua mungu na mkaamua kumuabudu baada ya kufa!!! ile yeye hakuwaambia wanafunzi wake kua yeye ni mungu. alipo kufa makaa mka TAFAKURI mkakubaliana kua awe mungu !!!Hakuwa amekuja kuabudiwa ila kufa kwa ajili ya wengi - kafara. Sasa tunamuabudu.
Imani ndio inayotufanya tuamini huyo ndiye. Imani yangu ipo na inaishi kupitia bwana Yesu kristu aliyeteseka kwa ajili yetu sote. I'd believe than not believe. Hii yote inatokana na neema ya MUNGU kwa yoyote atakeye amini jina lake.
Kuna vitu vya maana vya kufundishwa wewe, lakini sio katika ujinga kama huo wa kuaminishwa eti lipicha fulani ndilo Bikra maria au Yesu. Halafu unakua mbishi utafikiri ulimpiga picha wewe.kwani wewe ulijua kila kitu bila kufundishwa?nataman tungekuwa live pamoja halafu tupimwe IQ zetu, labda tungeelewana zaidi.