Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

Huyu hawezi kuwa mama wa YESU mbona amevaa kama waislamu kwani ni muislam? NI WAISLAM TU NDO HUVAA HAYO MAVAZI YA KISHAMBA,,, wakristu mini na suits... opps na mapadre na makasisi.... kazi tunayo
 
Kweli dini uchizi
Mtu na akili zake unakuta anaabudu kinyago kwenye mti
 
Thibitisha kwamba mungu yupo.

Kuna stalactite na stalagmite na natural formations nyingine zinajiform naturally tu mapangoni zinaweza kutengeneza a natural door bila mtu kufunga mlango.Ukija kuona wewe utasema hapa mtu kafunga mlango?

nipe ushahidi wa natural door wa chumbani sio mapango maana umetoa mfano wa chumba

siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho
 
Bikira Maria jina la mama yake na Mungu si ndivyo? Hapana mama yake na Yesu si ndivyo?
Hapana mke wa Joseph si ndivyo? Hapana mchumba wake Joseph si ndivyo?
Sasa hapa waumini wa biblia sidhani Kama kuna mtu ambaye hajui kusoma na kusoma maana yake usome kilichoandikwa baadaye kuna maswali na majibu hii ndiyo taratibu ya msomi wa shule,Chuo,na hata mambo ya kawaida ni lazima maswali na majibu ndiyo muafaka wa kila kisa,jambo,au tukio lolote ulimwenguni sasa maswali yangu ni rahisi ntaanza na lolote Kati ya maswali hayo hapo juu -Bikira Maria sijuii baba yake nani lakini pia Joseph mchumba wake posa alipeleka kwa wazazi wake Maria au hakupeleka ? Kama alipeleka je waliowana kanisani
au kijijini kwao ili Hali ya uchumba na mume na mke vili anza hapa vikafika hapa
Hoja yangu ipo na mashaka makubwa sasa mungu ana peleka Malaika wake kwenda kutega mimba kwenye mchumba wa mtu myonge selemara Joseph ! Hmmmm hapana mke wa fundi selemara Joseph ! Hmmmmm hapana ina maana mungu kasahau Torati ya musa usitamani mke wa mwenzako ! Hmmmmm usi dhini na usiebe cha mtu? Je mtoto huyu aliyo aliyozaliwaa na Bikira Maria anakuwa wa nani ? Mungu au Joseph nani kavunja Amri ya Torati ?
Lakini hivi Mungu hakuna mabikira wengine hapo kijijini ila mchumba wa Joseph ? Hapana isipokuwa mke wa Joseph ? Basi hii kwangu Mimi naona mnijibu kadiri ya usomi wenu jinsi
Biblia alivyo vuruga taarifa hii muhimu sana kwa aliyo soma shule hata hukufika Chuo kikuu
Je Joseph amepewa heshima gani kwa kuvumilia mke wake Kuwa na mimba isiyo yake?
Bikira Maria naona kawa mpatanshi Kati ya mungu na binadamu
Je Joseph anakuwa nani? Mungu Naye kapata mtoto sasa kazi ya Kumlea mtoto kafanya Joseph analipwa na nani Bikira Maria , Mungu au Yesu? Hebu wasomi wa Bible nipeni
Mawazo na ukweli mnao ujua
Mwana jamii
Haji Rashid

Unajiuliza maswali ya mtu anayesoma bila kuelewa kwanini anasoma. Na kichwani mwako unawaza uzinzi na udhaifu wa kubinadam.

Ikiwa huamini, unahitaji malaika aje akueleweshe? Hatatokea!

Unawaza uzinzi. Unawaza kuwa Yesu alizaliwa kibaiolojia. Mbona unakuwa masikini wa mawazo kiasi hiki ndugu? Je, huamini kuwa Mungu (Yesu) anaweza kufanya jambo lolote? Je, huamini kuwa Mungu(Yesu) amesema dunia yote ni mahali pa kuweka miguu yake tu? Hushangai jambo hilo? Na hujui kuwa wewe kama binadam akili na uwezo wako wa kufikiri una ukomo? Basi tusemeje, kipi cha ajabu Mungu akiamua kufanya jambo kadri apendavyo yeye? Una uwezo wa kumhoji? Wewe ni kitu gani mbele zake? Kitu gani? Unajua hata yatakayotokea saa moja ijayo ambayo huna taarifa zako bado? Pumzi unayovuta unalipia wewe? Hivi unashirikisha ubongo wako japo kwa 0.1%? Ndugu yangu huwezi kumchunguza Mungu, huwezi!

Binadam bila nguvu na uwepo wa Mungu si lolote. Dhaifu na mjinga sana binadam asiyeamini Mungu, Biblia imemtaja mtu wa aina hii kuwa mpumbavu.

Tafakari..
 
Kwa nini bikira Maria hatokei Monrovia Liberia awape watu dawa ya Ebola wasife kwa mafungu kama nzi?

Uwezo anao, upendo anao, kwa nini hatokei huko anaenda kutokea Iowa?

mkuu nafahamu unachoamini, sina sababu ya msingi ya kuanza kuelezea kwako ninachokiamini mie, kwa hivo wewe unachokiamini pia kwa nini hakijatatua tatizo hili?
 
Enzi za kina Mussa ilikuwa ni tofauti na baada ya kuja Yesu. Sasa kila mtu ana nafasi yake kuweza kwenda directly na kuusogelea uso wa Mungu.

Na ndio maana hata Maria watu walipomfata kwa habari ya divai kuisha kwenye shughuli aliwajibu nini??? Think mkuu then share nami

sijakubishia kuwa huwezi kwenda wewe kama wewe kuomba kwa mungu, jambo hili lilikuwepo hata kabla ya kuja kwa Yesu, na pia kumuomba/kwenda kwa nabii Yesu na wengineo hakukuanza wakati wa Yesu, naamini unajua wafalme wote wa Yuda na Israel walikuwa wanaenda kwa manabii kuuliza/kuomba kwa mungu kabla ya kwenda vitani, na pia hata baada ya Yesu kuja, aliona ni vyema kumweka na roho mtakatifu ili awasaidie watu kiimani, lakini kote ndugu yangu hutaona mahali umekatazwa kuwa usiombe mtu flani akuombee maana pia imeandikwa pia hata wake wawaombee waume zao, na hii ipo ndani ya agano jipya...baada ya yesu, sasa kwani waume zao hawajui jina la Yesu?hawawez wao kuomba directly?
je hukusoma kuongoka kwa Saulo na kuwa Paulo?kwani Yesu aliyejidhihirisha kwake kule njiani alishindwa nini kumponya hapo hapo macho yake mpaka alipomwagiza Anania aende kumponya macho yake kwa niaba yake?why Anania?au why Petro na Yohane waliwaombea watu?kwani wao walikuwa hawajui kuomba straight kwa jina la Yesu?
 
Kwanini mliamua kumtumia Maria awaombee na sio Joseph, Mussa, Eliya au Abraham?? Je ni uamuzi wa Kanisa katoliki au Mungu???
Pili kwanini mnachonga sanamu halafu waipigia goti wewe mwenyewe uliyeichonga??? ilihali unaamini huyo uliyemchonga yuko hai????
 
Mmh. Maswali haya utaua mtu aisee
 
sijakubishia kuwa huwezi kwenda wewe kama wewe kuomba kwa mungu, jambo hili lilikuwepo hata kabla ya kuja kwa Yesu, na pia kumuomba/kwenda kwa nabii Yesu na wengineo hakukuanza wakati wa Yesu, naamini unajua wafalme wote wa Yuda na Israel walikuwa wanaenda kwa manabii kuuliza/kuomba kwa mungu kabla ya kwenda vitani, na pia hata baada ya Yesu kuja, aliona ni vyema kumweka na roho mtakatifu ili awasaidie watu kiimani, lakini kote ndugu yangu hutaona mahali umekatazwa kuwa usiombe mtu flani akuombee maana pia imeandikwa pia hata wake wawaombee waume zao, na hii ipo ndani ya agano jipya...baada ya yesu, sasa kwani waume zao hawajui jina la Yesu?hawawez wao kuomba directly?
je hukusoma kuongoka kwa Saulo na kuwa Paulo?kwani Yesu aliyejidhihirisha kwake kule njiani alishindwa nini kumponya hapo hapo macho yake mpaka alipomwagiza Anania aende kumponya macho yake kwa niaba yake?why Anania?au why Petro na Yohane waliwaombea watu?kwani wao walikuwa hawajui kuomba straight kwa jina la Yesu?

Mi nafikiri mnatokq nje ya mada au key discussion.

Hakuna shida katika kumuombea mwingine. Ni jambo jema. Hata sisi kwa sisi tunaombeana.

Issue hapa ni tunaombeana kwa njia gani katik kumfikishia maombi yetu Yesu? Idea hapa haijalishi nani anaomba, ila point hapa ni kuwa awasiliane na Roho Mtakatifu (Roho wa Yesu - the wengine hapa hawaelewi) moja kwa moja.

Issue ni je, unayetaka akuombee yuko hai anaishi au ni mfu? Hapo ndipo shida ilipo. Na, worship kwa mfano ya Catholic ni more like imeconcentrate kwa Maria, ambaye ni mfu, na hii naona inablock mioyo ya watu isiconnect na Roho Mtakatifu kwa urahisi ambao kwa sababu hiyo ndio maana Yesu akishuka kuja duniani.
 
Haha unaleta mashindano ya Lugha mkuu.

Ila naomba hujibu swali haya.
Mungu ni nani? Au ni nin?
wakati biblia inasema kwenye Mwanzo wakati wa uumbaji KUWA NA TUMFANYE MWANADAMU KWA MFANo WETU alikuwa anaongea katika nafsi ipi umoja ama wingi!? Jibu hayo twende taratibu

Katika lugha nyingi mfano kifaransa na kiarabu NAFSI YA WINGI inamaanisha RESPECT
 
mkuu nafahamu unachoamini, sina sababu ya msingi ya kuanza kuelezea kwako ninachokiamini mie, kwa hivo wewe unachokiamini pia kwa nini hakijatatua tatizo hili?

Umesema unafahamu ninachoamini.

Naomba uniambie ni nini hicho na umekifahamu vipi?
 
Unless unasoma Biblia kama kitabu cha kawaida ndio utawaza hivyo. In other words huamini ksma Yesu ni Mungu na unasema unaijua Biblia?? Sura ya kwanza ya Mt. Yohana mstari wa kwanza umeisoma? Inaposema "...huyo NENO alitoka kwa Mungu, akafanyika mwili, naye NENO ni Mungu, na bila yeye hakuna kitu kingefanyika" unaelewa huyu NENO ni nani, au ni nani mwenye sifa hizi za NENO kama si Yesu Kristo wa Nazareth? Hebu acha basi kusoma Biblia kama gazeti.

...Na huyo NENO alikua ni YESU???......... Halafu je kwanini wanafunzi wa yesu hawakumuabudu wakati ule, miake 300 baadaye ndio aabudiwe ??????
 
Kama ni kujifunza nimejifunza mambo mengi sana kwenye huu uzi Mbalikiwe wote mliochangia hta wale walioenda mbali kwa kuandika maneno makali Mungu wetu ni wa huruma atawasamehe tu na kupitia mama wa Yesu atawaombea kwa Imani mtajua yalio ya kweli.
 
Chumba ni nini?

hebu aliyeleta neno chumba ndio atuambie chumba ni nini ??

Nikikwambia sijui maana yake ndiyo uthibitisho kwamba mungu yupo?

Ukinyoosha kidole kwenye chumba kilichofungwa mlango, na kuniuliza "ndani ya chumba hiki kuna nini?" Nikakwambia "Sijui, sijawahi kuingia humo".

Automatically maana yake ni kwamba chumba kina dhahabu?

How do you find the connection?

Ukitaka tukuchukulie seriously kwamba chumba kina dhahabu, prove it to us.

Ukitaka tukuchukulie seriously kwamba mungu yupo, prove that god exists.
 
Hivi ni nani aliyewahi kumuona, kumpiga picha na kuja kutuahakikishia kuwa huo ni muonekano halisi wa Bikira Maria???
Ndiyo maana sasa hivi imekuwa kero kila picha ya upole na ndevu nyingi ni ya Yesu, nani kamuona.....
 
...Na huyo NENO alikua ni YESU???......... Halafu je kwanini wanafunzi wa yesu hawakumuabudu wakati ule, miake 300 baadaye ndio aabudiwe ??????

Hakuwa amekuja kuabudiwa ila kufa kwa ajili ya wengi - kafara. Sasa tunamuabudu.

Mbona unauliza jibu, ni nani alitefanyika mwili (alikuwepo tangu misingi ya ulimwengu) kama sio Yesu? Nani mwingine unayemjua alifanyika mwili?
 
Mi nafikiri mnatokq nje ya mada au key discussion.

Hakuna shida katika kumuombea mwingine. Ni jambo jema. Hata sisi kwa sisi tunaombeana.

Issue hapa ni tunaombeana kwa njia gani katik kumfikishia maombi yetu Yesu? Idea hapa haijalishi nani anaomba, ila point hapa ni kuwa awasiliane na Roho Mtakatifu (Roho wa Yesu - the wengine hapa hawaelewi) moja kwa moja.

Issue ni je, unayetaka akuombee yuko hai anaishi au ni mfu? Hapo ndipo shida ilipo. Na, worship kwa mfano ya Catholic ni more like imeconcentrate kwa Maria, ambaye ni mfu, na hii naona inablock mioyo ya watu isiconnect na Roho Mtakatifu kwa urahisi ambao kwa sababu hiyo ndio maana Yesu akishuka kuja duniani.

mfu kivipi?mkuu mbona umekazana na issue ya mfu mfu, nimekueleza hapo kabla kuwa kama wewe ni mkristo na waamini mafundisho ya kristo na walifahamu neno basi maria, musa yule mwizi pale msalabani na wengineo wengiii na sio wafu bali ni wazima katika ufalme wa mungu, na wale watenda maovu ni wazima katika ziwa na moto.
unachanganya concept ya mwili, roho na ufufuo mkuu wangu, tazama vizur mafundisho ya ukristo utanielewa.
 
Hivi ni nani aliyewahi kumuona, kumpiga picha na kuja kutuahakikishia kuwa huo ni muonekano halisi wa Bikira Maria???
Ndiyo maana sasa hivi imekuwa kero kila picha ya upole na ndevu nyingi ni ya Yesu, nani kamuona.....

wapo waliomuona, haimaanishi kama wewe hujamuona then hamna aliyemuona...
 
Back
Top Bottom