Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

Kiranga God must exist. The law of cause and effect states that every material effect must have an adequate cause. Our universe could not have come from nothing, the effect would be tremendous without an adequate cause..!!

Unachekesha.

Unasema.
1. Our universe could not have come from nothing.
2. Our universe must have come from something.
3. Therefore god must exist.

Hapo namba tatu ni bonge la Non Sequitur. Why should the cause be god by default?

The fact that the universe must have come from something does not necessarily mean it must have been made by god.

Hapo ni kama vile umesema.
1. All Khangas cannot be made at any other place other than Urafiki textiles
2. This is a Khanga, so it was made at Urafiki textiles
3. Therefore this Khanga must have been made by machine number 4080 out of the 10,000 machines at Urafiki Textile.

Completely leap of reason!

Mawili ya kwanza yana uhusiano, hilo la tatu umegawanya kwa zero!
 
maana yake kama wewe hujui kuna watu wanajua

Na huo mfano wako wa kwenye chumba kama wewe hujui kilichomo aliyefunga anajua ndio kama akili zetu mungu kazifunga

Huwezi kusema aliyefunga anajua kabla ya kuthibitisha aliyefunga yupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Halafu kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote afunge akili za viumbe wake?
 
Huwezi kusema aliyefunga anajua kabla ya kuthibitisha aliyefunga yupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

mlango lazima utengenezwe ndio ufungwe sasa ni lazima mfungaji awepo anayejua ndani kuna nini

siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho
 
mlango lazima utengenezwe ndio ufungwe sasa ni lazima mfungaji awepo anayejua ndani kuna nini

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Kuna stalactite na stalagmite na natural formations nyingine zinajiform naturally tu mapangoni zinaweza kutengeneza a natural door bila mtu kufunga mlango.Ukija kuona wewe utasema hapa mtu kafunga mlango?
 
mdau wewe ni noma, any number ukigawanya kwa zero is undefined..
i believe it to be a logical impossibility. I dont believe u need to go any further than this to disprove the existence of a single thinking entity as a creator of things.

So you do agree that the thinking kwamba kuna mungu aliyeumba vyote, muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote is mistaken?
 
What is the point of this question?

The point is, human beings are the most advanced creatures who can reason the cause and effect, nilikuuliza wewe unajua asili yako unajua ulitoka wapi? Ukajibu hujui! HUJUI asili yako? Si ajabu ukawa pia hujui kwa sababu gani unaishi na pia hujui ukifa utaenda wapi. Vyote hujui that's why nikauliza, are you a human being in the first place?
 
Hujajibu swali langu.

What is the point of this question as far as the existence of god is concerned?

Nikisema sijui ninatoka wapi na ninaenda wapi, does that prove god exists?
 
Hujajibu swali langu.

What is the point of this question as far as the existence of god is concerned?

Nikisema sijui ninatoka wapi na ninaenda wapi, does that prove god exists?

I first want to be sure I am talking to a human being. I doubt!
 
250337_301396253318068_1011100306128024323_n.png
 
Hujajibu swali langu.

What is the point of this question as far as the existence of god is concerned?

Nikisema sijui ninatoka wapi na ninaenda wapi, does that prove god exists?

Sio ukisema!
Ndivyo hasaa unavyosema! Mzee wa manyege!

Why go round like little sisy girl?
 
Bikira Maria jina la mama yake na Mungu si ndivyo? Hapana mama yake na Yesu si ndivyo?
Hapana mke wa Joseph si ndivyo? Hapana mchumba wake Joseph si ndivyo?
Sasa hapa waumini wa biblia sidhani Kama kuna mtu ambaye hajui kusoma na kusoma maana yake usome kilichoandikwa baadaye kuna maswali na majibu hii ndiyo taratibu ya msomi wa shule,Chuo,na hata mambo ya kawaida ni lazima maswali na majibu ndiyo muafaka wa kila kisa,jambo,au tukio lolote ulimwenguni sasa maswali yangu ni rahisi ntaanza na lolote Kati ya maswali hayo hapo juu -Bikira Maria sijuii baba yake nani lakini pia Joseph mchumba wake posa alipeleka kwa wazazi wake Maria au hakupeleka ? Kama alipeleka je waliowana kanisani
au kijijini kwao ili Hali ya uchumba na mume na mke vili anza hapa vikafika hapa
Hoja yangu ipo na mashaka makubwa sasa mungu ana peleka Malaika wake kwenda kutega mimba kwenye mchumba wa mtu myonge selemara Joseph ! Hmmmm hapana mke wa fundi selemara Joseph ! Hmmmmm hapana ina maana mungu kasahau Torati ya musa usitamani mke wa mwenzako ! Hmmmmm usi dhini na usiebe cha mtu? Je mtoto huyu aliyo aliyozaliwaa na Bikira Maria anakuwa wa nani ? Mungu au Joseph nani kavunja Amri ya Torati ?
Lakini hivi Mungu hakuna mabikira wengine hapo kijijini ila mchumba wa Joseph ? Hapana isipokuwa mke wa Joseph ? Basi hii kwangu Mimi naona mnijibu kadiri ya usomi wenu jinsi
Biblia alivyo vuruga taarifa hii muhimu sana kwa aliyo soma shule hata hukufika Chuo kikuu
Je Joseph amepewa heshima gani kwa kuvumilia mke wake Kuwa na mimba isiyo yake?
Bikira Maria naona kawa mpatanshi Kati ya mungu na binadamu
Je Joseph anakuwa nani? Mungu Naye kapata mtoto sasa kazi ya Kumlea mtoto kafanya Joseph analipwa na nani Bikira Maria , Mungu au Yesu? Hebu wasomi wa Bible nipeni
Mawazo na ukweli mnao ujua
Mwana jamii
Haji Rashid
 
tupeane maarifa jaman,bible inasema watu wangu wanaagamia kwa kukosa maarifa.....,back to the topic,KWAKUWA mwanadam wa kwanza (adam na eva) alikiuka matakwa ya mungu ndipo wakakosa utukufu kwa muumba,na tnasoma bible Mungu ikabid aanze plan ya kumurudishia mwanadam heshima kwa kpitia maagano mbalimbali,yapo mengi kama la ibrahim,nuhu,sinai na mengine mengi..,LAKINI HAIKUTOSHA Mkumbke haya mambo ni ya kiroho na MUNGU NI ROHO,MUNGU alitoa taarifa ya agano jipya kfanyika duniani i.e ktoa kafala ya mwanae ambaye ni nafsi yake pia,ili hyo anayetolewa sadaka awe na mamlaka ya kuchkua udhaifu wetu na dhambi zetu tukimuomba,thuswhy ukisoma injili ya yohan vzr yesu alianza kudai alichokuwa ameahidiwa na BABAYE,na alpomalza kaz aliyoagizwa alsema wazi kabsa,bla kpitia yeye BABA hatumuon kamwe,na tnafaham shetani yupo mda wote naye ni roho,na ili uweze kfkisha hoja zako kwa Mungu lazma uwe msaf,i mean utubu dhambi,swali langu ni je~itakuwaje sasa upeleke hoja kptia mwngne ambaye kwanza hana uwezo
 
kwanza, tulia, kale 2kg za noah, utaacha kutokwa POVU. humu jf ukiwa na Presha utakufa kabla ya ku-logg off.
 
pia maria ni binadam,sawa alpewa mimba na roho mt.ikumbkwe kuwa yeye siyo mlengwa wa kleta ukombozi kwa mwanadam but is CHRIST HIMSELF,thuswhy alieleta ukomboZI ndiye aliyetuumba,hakna sehem ya ushiriki wa mwanadam kwenye kuumba hata swala la kpeleka hoja zetu hakna mantik ya kptia kwa binadam,ikumbukwe plan ya kumkomboa mwanadam MUNGU aliianza zaman sana,hakna sehem anasema ukomboZI wa mwanadam utahusishwa na maria
 
tupeane maarifa jaman,bible inasema watu wangu wanaagamia kwa kukosa maarifa.....,back to the topic,KWAKUWA mwanadam wa kwanza (adam na eva) alikiuka matakwa ya mungu ndipo wakakosa utukufu kwa muumba,na tnasoma bible Mungu ikabid aanze plan ya kumurudishia mwanadam heshima kwa kpitia maagano mbalimbali,yapo mengi kama la ibrahim,nuhu,sinai na mengine mengi..,LAKINI HAIKUTOSHA Mkumbke haya mambo ni ya kiroho na MUNGU NI ROHO,MUNGU alitoa taarifa ya agano jipya kfanyika duniani i.e ktoa kafala ya mwanae ambaye ni nafsi yake pia,ili hyo anayetolewa sadaka awe na mamlaka ya kuchkua udhaifu wetu na dhambi zetu tukimuomba,thuswhy ukisoma injili ya yohan vzr yesu alianza kudai alichokuwa ameahidiwa na BABAYE,na alpomalza kaz aliyoagizwa alsema wazi kabsa,bla kpitia yeye BABA hatumuon kamwe,na tnafaham shetani yupo mda wote naye ni roho,na ili uweze kfkisha hoja zako kwa Mungu lazma uwe msaf,i mean utubu dhambi,swali langu ni je~itakuwaje sasa upeleke hoja kptia mwngne ambaye kwanza hana uwezo

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu huyo unayemsema yupo?
 
Back
Top Bottom