Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

Between myself, the one who is asking logical questions and you, he who is believing in an unseen, unprovable, unknowable godhead, who is mad here?

You are singing the same song again!
I told you before that you have a disease called "Selective understanding"!

You choose what to believe and ignore what you dont like!

You refuse to Believe the Existence of God simply because YOU CANT SEE HIM yet You believe in DEATH although you CANT PROVE to anyone WHAT DEATH really Is!

You ask a lots of questions about GOD but I asked very simple Questions about things surrounding you everyday and you can Hardly ANSWER even ONE of them!

I wonder if the that bird flu is already attacked you!

Answer me this simple question.

WHAT IS DEATH?
And what is LIFE?

You can Google it too if you want.
Because that is what most of the Atheist gets their knowledge frm anyway!
 
My Bible says if you do not believe that God exists then you are stupid. That's according to the Holy Bible.

The so called Holy Bible itself is stupid. It gives us a godhead who is logically inconsistent. Like something from a third rate playwright during antiquity.

The whole idea of accepting something because a certain book says so is stupid.
 
Between myself, the one who is asking logical questions and you, he who is believing in an unseen, unprovable, unknowable godhead, who is mad here?

Zab 53:1;
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu.

Kiranga ni Mpumbavu (as per the verse above, unless you do believe otherwise) - justified.
 
Sasa kuamini kuna picha ya bikira Maria imejichora ukutani na kuamini kuna mungu ambaye haonekani anamuangalia kila mtu kuna tofauti gani?

Kiranga;
Mheshimiwa saana Kiranga, najua kuwa weye ni mpinzani saana wa uwepo wa Mungu, muumba wa vyote, aliyevitaja vilivyoko navyo vikawepo. Hii ni pamoja na huyo anayejiita Kiranga, na anayejiamini saana kuwa anajua hakuna Mungu.
Lakini, Zaburi 14 : 1 Mpumbavu, amesema moyoni, Hakuna Mungu.
Ningetamani usome vizuri tu. Amesema, Mpumbavu, wala si Mjinga. Mpumbavu hashauriki wala hafundishiki. Hata ukimtwanga kwa mchi, hatwangiki. Ni tofauti kabisa na Mjinga. Mjinga hufundishika na pia hushaurika.
Sasa, back to the point; Kuamini kuwa kuna Mungu, mimi ninaamini kwa sababu, Mungu husema nami na kama ungetaka hata weye atasema na weye pia. Cha ajabu ni kuwa; Our God is not easily provoked by yu Mr. Kiranga.
 
Hujajibu hata swali langu moja.

Wewe ukisema "Mpumbavu ,amesema moyoni, hakuna mungu" mimi nitakwambia "Mpumbavu amesema mpumbavu, amesema moyoni, hakuna mungu".

Ukiogopa kuitwa mpumbavu kuliko unavyoogopa upumbavu wenyewe unakuwa mpumbavu wa ukomo wa upumbavu.

Waandishi wa biblia walijua kuwa kutakuwa na wapumbavu wengi watakaoogopa kuitwa wapumbavu kuliko watakavyoogopa upumbavu wenyewe.

Wakajinunulia insurance policy.

Wakasema "ukitaka kuwapata wapumbavu kirahisi, uwafanye waamini kuwapo kwa mungu bila maswali, waambie kwamba ku challenge uwepo wa mungu ni upumbavu".

Mmepatikana kirahisi kwa kuogopa kuitwa wapumbavu kuliko mnavyoogopa upumbavu wenyewe.

Ambao ni kukubali kitu msichokielewa.
 
Zab 53:1;
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu.

Kiranga ni Mpumbavu (as per the verse above, unless you do believe otherwise) - justified.

"Mpumbavu amesema mpumbavu, amesema moyoni, hakuna mungu".
 
Anaitwa virgin kwa sababu
1. Kumbuka mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu na ndio maana anaitwabikra kwakuwa hakua amegegendana na mtu though alikua ana mumewe joseph ila aliambiwa atapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu ndio maana anaitwa bikra mapaka leo japokuwa amezaa ila mimba hiyo hakuipata kwa njia ya gegendo
Hakuipata vipi wakati aligegedana name roho mtakatifu. Hakuna mimba isiyo baba.na bikira hawezi kushika mimba akabaki bikira bado.
 
"Mpumbavu amesema mpumbavu, amesema moyoni, hakuna mungu".

We mwenye akili unakubali kabisa kuwa Umetoa hapa ktk huu ulimwengu KWA BAHATI MBAYA TU!

Yaani Baba kiranga alijipinda ktk Starehe zake Mara ghafla Kiranga Akaibuka kwa bahati mbaya tu.

Hebu tazama hii Logic hapa!

Huyu mwenye weledi huu wa namna hii ana akili timamu kweli? Au ni mpumbavu wa mwisho kabisa.

atheismmakessense.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hakuipata vipi wakati aligegedana name roho mtakatifu. Hakuna mimba isiyo baba.na bikira hawezi kushika mimba akabaki bikira bado.

Ni bora kumpigia gitaa mbuzi kuna uwezekano akacheza kuliko Kujaribu kufundisha kiumbe km wewe!

Sasa mama taamu kweli hapa anajisifu nae kazaa kweli?
Dah..!
Wazazi wengine wamepata hasara kubwa sana.

Mitoto km hii ni bora ikawa chakula cha simba tu huko serengeti.
 
Last edited by a moderator:
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho

Non sequitur.

What has that got to do with the price of pork in China?

Kama mungu wako yupo kweli na wewe unamuelewa, mimi kushindwa kukutajia maana ya kifo na ninapokwenda baada ya kifo kutakuzuiaje wewe kunieleza vizuri kuhusu mungu wako?
 
nimekwambia hivi
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho

kama huwezi acha wanaojua wajibu niwaoneshe mungu alipo na uthibitisho
 
nimekwambia hivi

kama huwezi acha wanaojua wajibu niwaoneshe mungu alipo na uthibitisho

Nimekuuliza, what has that got to do with the price of pork in China?
 
sitaki swali nataka jibu

Nikikwambia sijui maana yake ndiyo uthibitisho kwamba mungu yupo?

Ukinyoosha kidole kwenye chumba kilichofungwa mlango, na kuniuliza "ndani ya chumba hiki kuna nini?" Nikakwambia "Sijui, sijawahi kuingia humo".

Automatically maana yake ni kwamba chumba kina dhahabu?

How do you find the connection?

Ukitaka tukuchukulie seriously kwamba chumba kina dhahabu, prove it to us.

Ukitaka tukuchukulie seriously kwamba mungu yupo, prove that god exists.
 
maana yake kama wewe hujui kuna watu wanajua

Na huo mfano wako wa kwenye chumba kama wewe hujui kilichomo aliyefunga anajua ndio kama akili zetu mungu kazifunga
siku utakayonitajia maana ya kifo na unapokwenda baada ya kufa nitakuonyesha Mungu alipo na uthibitisho
 
Back
Top Bottom