Kunitaja jina langu hapo kwenye list ya mabazazi ni kumkosea heshima dada yako Heaven on Earth.
jamani ladyfurahia pole sana bestito mie mwenyewe nimejisikia vibaya
though ile thread yako ilinishangaza sana nikajiuliza hivi wewe una matatizo gani
by the way WHO AM I TO JUDGE
Ila hadi kuanzisha hii thread it means umeona ulipokosea pole sana
maisha ni mafupi don't let some few people to let u down mwaya
nadhani umeshakiona pacha, ngoja nikutumie kingine... Natamani na ladyfurahia angekuwepo pande zile nadhani ingempa ahueni ya stress
Na wewe toka Paloma amerudi ndo umenikimbia kabisa..? Mwenzio mjamzito hebu njoo msaidie huku..
Hahaha....tukikutana kule kizani mwenzio atapata konkasheni....na hivi anaumwa
Judgement naona una mahusiano ya karibu sana na hii kitu;
Nakuomba kwa heshima na taadhima kubwa sana unipe muhtasari
wa hiki kitu.
Hehehe nimepiga mbinja Itika basi kama huo mwanya utakuachia
Umejiondoa lini?
Hahaha!!
Halafu tuongee na yule mangi muuza kamba na sumu za panya afungue duka lake mtaani kwa bi mkubwa teh teh
hapati chochote ila cha moto........atakinusa!
Na mimi nimetokea mbeya.Hebu nijuze kuna diskasheni gani hapa???Hahahah na unavopenda umbea....
ladyfurahia sredi yangu haina uhusiano wowote na lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako halisia.
Hayo ni maisha yako binafsi na wala sina mamlaka yoyote ya kuyaingilia, uliweka thread kwa ID nyingine (Block City) na mods wakafanya waliyofanya.
Nashindwa kuelewa wewe na wengineo mnaoni-mention kuwa nitoe msamaha, je mnataka nitoe msamaha upi haswa na wa kosa lipi nililofanyiwa?
Ushauri wangu:
1. Kwa kadiri ninavyofahamu mawazo yako yanayoishi katika uandikayo, JF Chit Chat sio jukwaa muafaka kwako.
Hama hili jukwaa kabisa, kwa kuwa wewe ni bi mkubwa hamia Jukwaa la mapishi huko kusiko na stress zozote.
2. Acha kuwadanganya watu kuwa yapo yanayokusibu hata utake kujimaliza, wanaotaka kujimaliza uhai wao huwa wanajua nini cha kufanya.
Pasiwedi zote za izraili watu hawa huwa wanazijua na hata namna ya kuzibofya, hivyo tusidanganyane bi mkubwa.
3. Acha kuniomba msamaha kwa kitu kisichonihusu, watu8 anachitchatika kama ambavyo kazoea kuchitchatika.
4. Kama mpango wako wa kujirip bado unaendelea naomba tupenane dili za kuchonga jeneza, kusaplai sanda na maua, kufunga turubai n.k.
What is going on honey?
Lady doctor come zis way please.
I'm here baby!!!!!
mmmh!!