I'm real sorry

I'm real sorry

beib tusimuhukumu ladyfurahia kwa hayo aliyofanya kwa kuwa ameshaomba msamaha.. Muhimu ni kujaribu kumsaidia maana ninaona anapita kwenye kipindi kigumu sana kwake.. Ombi langu kwake ni afunguke itamsaidia kupunguza burden..

nakubaliana nawe bebi soso mie simhukumu ila sijaelewa kusudio etc etc na najua siwezi pata majibu...pengine!

amesema yupo ktk kipindi kigumu na kweli akomba msaha! wewe wasema tumsaidie nami pia nakiri ahitaji msaada! je amekiri yu ahitaji msaada?!?! upi?!?

labda tu dada ladyfurahia naomba upumzike! tulia, fanya ibada, kaa mbali na wanao/vinavyokutafutia matatizo na tafuta ufumbuzi! manake kama unasema

''kwani niko njia panda sijielewi niko so confused naona giza
mbele yangu akili imechanganyikana''

sasa je utakayofanya kwa muda huu yatakuwa na matokeo gani positive?!?!? embu jaribu kutulia na hata ikibidi jipe likizo kwa muda kiasi!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah na unavopenda umbea....

katika umbea huu nao ni umbea basi?!?!?! hii nimeshindwa kuipa jina!!!


ila hili si ni jukwaa la chit chat? so na nyuzi ni za ki-chit chat? kwa hiyo uzi wa tanzia ni chitchat na uzi wa msamaha ni chitchat!!! hata msaada utakuwa wa kichitchat!!!

khaa ngoja nisepe zangu!!!!

weee Vin Diesel nakuita kuleee............ambako hakuna uchitchat!
 
Last edited by a moderator:
umeanza wivu wako!!!

Wewe mwenyewe si ndo uliniambia huyu babu Asprin anakusumbua..? Kwamba anaomba akukabidhi credit card yake ili ujigawie mwenyewe mafweza atm..!
 
Last edited by a moderator:
katika umbea huu nao ni umbea basi?!?!?! hii nimeshindwa kuipa jina!!!


ila hili si ni jukwaa la chit chat? so na nyuzi ni za ki-chit chat? kwa hiyo uzi wa tanzia ni chitchat na uzi wa msamaha ni chitchat!!! hata msaada utakuwa wa kichitchat!!!

khaa ngoja nisepe zangu!!!!

weee Vin Diesel nakuita kuleee............ambako hakuna uchitchat!


Hahaha....tukikutana kule kizani mwenzio atapata konkasheni....na hivi anaumwa
 
Last edited by a moderator:
Sijui kinachoendelea Mungu wangu ila natamani kujua nini kinachoendelea humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom