sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Kuna mabaazazi ya kike..? Nawafikiria wachache hapa..
Last edited by a moderator:
ungempa na mifano ya vibazazi vinavyochipukia Mentor na Nicas Mtei
Kuna mabaazazi ya kike..? Nawafikiria wachache hapa..
Ngoja kwanza nitonye ajibu kama ya kike nayo yanaitwa mabaazazi.. akithibitisha hilo nayataja.. yamo humu lol..
nisamehe rafiki siko sawa mpaka sasa kwani kuna tatizo limenipata nkashindwa kuvumilia
mpaka sasa niko very natamani niji:hatari:
shetani akae mbali na wewe
usitamani hiko ulichosema
yatapita na hali itakua shwari!!
Ngoja kwanza. Umesema haujui?
nashukuru kwa msamaha wako... Zile mambo zingine hazinipi shida ila leo mmmh..... Nitauchuna kidooogo
hahaha..... Shem lake unatafuta msuto wa haja wewe lol!
Hahahahaha ahsante kwa taarifa.
ungempa na mifano ya vibazazi vinavyochipukia Mentor na Nicas Mtei
Nimeambiwa kuwa una uhusika katika hiliKabisa....sina habari
come here my daughter ladyfurahia, i love you, naona your daddy watu8 ameteleza, darling come this way mtoto akiunyea mkono hauukati, samehe mtoto,