Aione Arabela jinsi unavyotaka kumdhalilisha mme wake kwa kumtukana
Sijui kinachoendelea Mungu wangu ila natamani kujua nini kinachoendelea humu
kunitaja jina langu hapo kwenye list ya mabazazi ni kumkosea heshima dada yako heaven on earth.
asiye kuwepo na lake..........
asante sana bestito kwa ushauri wako umenitibu moyo wangu
ubarikiwe
Aione Arabela jinsi unavyotaka kumdhalilisha mme wake kwa kumtukana
yaani Lady doctor kanichekesha.......anamtaja Mungu hadi kwenye umbea lol
asiye kuwepo na lake..........
Na wewe ulijipotelea huko hata hauko up to date! Wenzio wanaanzishaga sredi humu, afu wengine wahamia pm wanajizunguusha hadi mmoja wao amshtue mhusika. Afu mhusika anaanzisha sredi ingine. Yaani hapa hukawii kushangaa kongosho anaanzisha sredi sikubakwa na ladyfurahia. Unabaki unashangaa imekuwaje tena?
hehehe siku hizi hadi gazeti natoa fotokopi. Acha kunibania banaa, nakuja pm. Usisome hapo juu ni mfano tu mwaya
hata mimi dada yako nimeshuhudia pia
hata mimi dada yako nimeshuhudia pia
hahahahaa..... Wii mwenzio mambo ya nanipita tu humu, sasahivi nitakuwa nakufuata chemba unipe umbea
mie hapo sisemi kitu kabisaaaaa
Ahsante my sis kwa kuliona hilo
I hope hujawaamini hao wanaopotosha umma