I'm real sorry

I'm real sorry

Na wewe ulijipotelea huko hata hauko up to date! Wenzio wanaanzishaga sredi humu, afu wengine wahamia pm wanajizunguusha hadi mmoja wao amshtue mhusika. Afu mhusika anaanzisha sredi ingine. Yaani hapa hukawii kushangaa kongosho anaanzisha sredi sikubakwa na ladyfurahia. Unabaki unashangaa imekuwaje tena?
hahahaha this has nothing to do with PM'S! ladyfurahia KUNA KOSA ALILIFANYA AMBALO LILIWAKERA SANA WANA JAMVI NDIO MAANA AMEONA VYEMA KUOMBA MSAHAMA.

KAFANYA VYEMA KUOMBA MSAMAHA NA UKIMSOMA VYEMA UTAGUNDUA KUWA BADO ANA HITAJI MSAADA MAANA ALILO LIFANYA SI LA KAWAIDA.

KUANDIKA HII THREAD YA KUOMBA MSAMAHA NAFIKIRI NI HATUA MOJA KATIKA UPONAJI WAKE.

MKUU watu8 MSAMEHE MWANAO HITASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO ALILO NALO.

KWA KWELI HATA MIMI NILIKERWA NA KUWA DISSAPOINTED KWA KITENDO ALICHO FANYA NA SIKUTEGEMEA KUTOKA KWAKE.

BILA SHAKA MSAHADA ANAO HITAJI KWA SASA NI USHAURI WA KISAIKOLOJIA NAMI NAMSHAURI AMTAFUTE MSHAURI HITAMSAIDIA SANA.

hehehe siku hizi hadi gazeti natoa fotokopi. Acha kunibania banaa, nakuja pm. Usisome hapo juu ni mfano tu mwaya
Tatizo wewe huwa huji zile geti togedha, huko ndio kunako mambo.

Nitakuwa nakunyima umbea wa pati, nichenge pesa mie kwa kuchuna buzi afu umbea ufaidi wewe.
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia sredi yangu haina uhusiano wowote na lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako halisia.

Hayo ni maisha yako binafsi na wala sina mamlaka yoyote ya kuyaingilia, uliweka thread kwa ID nyingine (Block City) na mods wakafanya waliyofanya.

Nashindwa kuelewa wewe na wengineo mnaoni-mention kuwa nitoe msamaha, je mnataka nitoe msamaha upi haswa na wa kosa lipi nililofanyiwa?

Ushauri wangu:

1. Kwa kadiri ninavyofahamu mawazo yako yanayoishi katika uandikayo, JF Chit Chat sio jukwaa muafaka kwako.

Hama hili jukwaa kabisa, kwa kuwa wewe ni bi mkubwa hamia Jukwaa la mapishi huko kusiko na stress zozote.

2. Acha kuwadanganya watu kuwa yapo yanayokusibu hata utake kujimaliza, wanaotaka kujimaliza uhai wao huwa wanajua nini cha kufanya.

Pasiwedi zote za izraili watu hawa huwa wanazijua na hata namna ya kuzibofya, hivyo tusidanganyane bi mkubwa.

3. Acha kuniomba msamaha kwa kitu kisichonihusu, watu8 anachitchatika kama ambavyo kazoea kuchitchatika.

4. Kama mpango wako wa kujirip bado unaendelea naomba tupenane dili za kuchonga jeneza, kusaplai sanda na maua, kufunga turubai n.k.
 
ladyfurahia sredi yangu haina uhusiano wowote na lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako halisia.

Hayo ni maisha yako binafsi na wala sina mamlaka yoyote ya kuyaingilia, uliweka thread kwa ID nyingine (Block City) na mods wakafanya waliyofanya.

Nashindwa kuelewa wewe na wengineo mnaoni-mention kuwa nitoe msamaha, je mnataka nitoe msamaha upi haswa na wa kosa lipi nililofanyiwa?

Ushauri wangu:

1. Kwa kadiri ninavyofahamu mawazo yako yanayoishi katika uandikayo, JF Chit Chat sio jukwaa muafaka kwako.

Hama hili jukwaa kabisa, kwa kuwa wewe ni bi mkubwa hamia Jukwaa la mapishi huko kusiko na stress zozote.

2. Acha kuwadanganya watu kuwa yapo yanayokusibu hata utake kujimaliza, wanaotaka kujimaliza uhai wao huwa wanajua nini cha kufanya.

Pasiwedi zote za izraili watu hawa huwa wanazitujua na hata namna ya kuzibofya, hivyo tusidanganyane bi mkubwa.

Ina maana msamaha aliouhitaji unahusiana na hali halisi katika maisha yake?

Kama atajiua basi nakuomba usininyime Tenda ya kupika kwenye huo msiba. Sawa watu8 ?
 
Baba mkwe naona umefura kama kama kifaru. Mrudishe mwanao kwenye familia yako
 
Last edited by a moderator:
Ina maana msamaha aliouhitaji unahusiana na hali halisi katika maisha yake?

Kama atajiua basi nakuomba usininyime Tenda ya kupika kwenye huo msiba. Sawa watu8 ?

Hahaha!!

Halafu tuongee na yule mangi muuza kamba na sumu za panya afungue duka lake mtaani kwa bi mkubwa teh teh
 
Binafsi naogopa utani na KIFO. Hivyo, nitaendelea kuwa msomaji tu.:screwy:
 
Hata sijafura kaka mkubwa, nikiwa chit chat mawazo na akili zangu zawa kichitchat

basi tunaomba umsamehe hata kichitchat unajua unaweza kumkosesha amani jamani akashindwa hata kuchat humu please watu8
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom