hahahaaa!!nimekiona pacha
kweli kingemfanya atabasamu
japo kidogo!!
​kataje jina vipo mapacha!!Halafu kadogo kenu kale ka mwisho mmekapeleka wapi?
​ama kweli unajifunza ubazazi we nitonye!!nitumie na mimi halafu na mimi nikutumie baadae tutumiane
​kataje jina vipo mapacha!!
Wewe bila shaka kuna kitu unakitafuta kutoka kwangu.................
poa, ila usifanye late sana kama jana basi
Ulifanya kosa gani? Njoo nikufanyie maombi. Uje without.
cc Nicas Mtei, Mentor Mtambuzi. Kwa taarifa.
come here my daughter ladyfurahia, i love you, naona your daddy watu8 ameteleza, darling come this way mtoto akiunyea mkono hauukati, samehe mtoto,
Usiwe na hofu kabisaaaaa
​ama kweli unajifunza ubazazi we nitonye!!
Mhhhhhhhhhhhhhh
Aione Arushaone
hahhaa mjibu my brother bana..........ye mtoe kwenye team bazazi