I'm real sorry

I'm real sorry

Hehehe jf dramas. Mkimalizana pm mje msutane humu sie tushuhudie. I need a biggg mug of coffee. Kongosho ukuye pande hii

hahahaha this has nothing to do with PM'S! ladyfurahia KUNA KOSA ALILIFANYA AMBALO LILIWAKERA SANA WANA JAMVI NDIO MAANA AMEONA VYEMA KUOMBA MSAHAMA.

KAFANYA VYEMA KUOMBA MSAMAHA NA UKIMSOMA VYEMA UTAGUNDUA KUWA BADO ANA HITAJI MSAADA MAANA ALILO LIFANYA SI LA KAWAIDA.

KUANDIKA HII THREAD YA KUOMBA MSAMAHA NAFIKIRI NI HATUA MOJA KATIKA UPONAJI WAKE.

MKUU watu8 MSAMEHE MWANAO HITASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO ALILO NALO.

KWA KWELI HATA MIMI NILIKERWA NA KUWA DISSAPOINTED KWA KITENDO ALICHO FANYA NA SIKUTEGEMEA KUTOKA KWAKE.

BILA SHAKA MSAHADA ANAO HITAJI KWA SASA NI USHAURI WA KISAIKOLOJIA NAMI NAMSHAURI AMTAFUTE MSHAURI HITAMSAIDIA SANA.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wewe huwa huji zile geti togedha, huko ndio kunako mambo.

Nitakuwa nakunyima umbea wa pati, nichenge pesa mie kwa kuchuna buzi afu umbea ufaidi wewe.

Kwa hii habari hata matango yatalika bila chumvi hehehe na as long as kuna chai ya rangi, akhuuu.
Nimekumbuka stori ya ulesbian, yalianza hivi hivi khaaa.
 
Mbina mie mwanajamvi na sijui?

Kubwa sana alifanya ni lipi? Au na yeye ni Nkamia anataka kutufungia jamvi letu? Kwa hapo ntamzabua hadi akimbie.

hahahaha this has nothing to do with PM'S! ladyfurahia KUNA KOSA ALILIFANYA AMBALO LILIWAKERA SANA WANA JAMVI NDIO MAANA AMEONA VYEMA KUOMBA MSAHAMA.

KAFANYA VYEMA KUOMBA MSAMAHA NA UKIMSOMA VYEMA UTAGUNDUA KUWA BADO ANA HITAJI MSAADA MAANA ALILO LIFANYA SI LA KAWAIDA.

KUANDIKA HII THREAD YA KUOMBA MSAMAHA NAFIKIRI NI HATUA MOJA KATIKA UPONAJI WAKE.

MKUU watu8 MSAMEHE MWANAO HITASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO ALILO NALO.

KWA KWELI HATA MIMI NILIKERWA NA KUWA DISSAPOINTED KWA KITENDO ALICHO FANYA NA SIKUTEGEMEA KUTOKA KWAKE.

BILA SHAKA MSAHADA ANAO HITAJI KWA SASA NI USHAURI WA KISAIKOLOJIA NAMI NAMSHAURI AMTAFUTE MSHAURI HITAMSAIDIA SANA.
 
mbina mie mwanajamvi na sijui?

Kubwa sana alifanya ni lipi? Au na yeye ni nkamia anataka kutufungia jamvi letu? Kwa hapo ntamzabua hadi akimbie.

Kongosho bhana una vituko sana. Ladyfurahia aliwakosea wana jamvi ndio maana ameomba msamaha na wala hii haina uhusiano na party wala pm's.
Kwa kuondoa mkanganyiko tafuta uzi humu chit chat umeandikwa tanzania ulianzishwa na yeye mwenyewe.

Ana hitaji msaada ni wazi hasa wa kisaikolojia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom