Im on fire ..usinijaribu

Im on fire ..usinijaribu

Here I am. nimeweka censor kwenye posts zako. Huyu mtakatifu pori siku zake za kuishi bila busha zinaesabika
You are my hero! kumbe unaweza kuweka censor kwenye post? utanifundisha hiyo, kuna mtu namtrace siku hizi. lol
hilo neno bold maana yake nini?
 
Your eternal hero sound much perfect.
Hilo neno hapo bold nikilifafanua hii sredi itapelekwa jukwaa la wakubwa, bora uchune tu.
 
Kha! I am more curious than ever... liandike kwa uino mweupe, nikigonga like unafuta. pleaaaaase! lol
 
Hamna haja ya wino mweupe, bango la JF linasema we dare to talk waziwazi, lakini nitakujibu kwa mtindo wa suali kwanza, na taratibu ili unielewe.
unavijua viungo vya uzazi vya mwanaume? sio lazima uwe umeviona laivu hata kwenye picha inatosha kuendelea na ili somo.
jibu yes or no.
 
hahahahahaha, haya bwana. mambo mengine vipi lakini?
 
Dah! inaonekana mwalim nimeboronda, mbona umenikatisha lesson? lol
Mambo mengine sio mabaya sana, mapigo ya moyo tu yameanza kuongezeka baada ya kuanza kujibu posts zako
Hahahaha, is it? pole.
leo weekend, hakuna lesson inaendelea sunday, ndio maana nimekatiza.
 
Pole haitoshi kunitibu aisee!
Tena mwalim nilikuwa kwenye mood ya ajabu ya kukufafanulia lakini haina kwere tutaendelea nekst wiki
 
we sasa badala ya kunambia tu unaanza kuniuliza maswali!
Mi nilimsaidia mama kumlea mdogo wangu wa kiume kwa hiyo najua hivyo vitu vilivo. lol
 
Tunaendelea vizuri, chumvi ilikua imeisha ikawa shida kweli, diskasheni pege tatu! ila sasa mambo yako under control. Uncle na Anti wamepotea kama kawaida yao ya saa hizi (coughing)
Hapo bold nadhani sio lazima. lol

This time around, mwali, hicho kikohozi naona kitahitaji kristapen.:A S-coffee:
 
we sasa badala ya kunambia tu unaanza kuniuliza maswali!
Mi nilimsaidia mama kumlea mdogo wangu wa kiume kwa hiyo najua hivyo vitu vilivo. lol
Kwa ufupi busha ni kuvimba makorodani ya mwanaume na yakawa yanatawala eneo lote la kuanzia chini ya "mkongojo wa babu" mpaka eneo la magoti. Sisi wanasayansi tumechunguza na kugundua kuwa linasababishwa na some sort of hyenia (nitakuelezea sku nyengine hii)

sababu za kupata busha.
- kulogwa (kama nitakavyomloga ivuga)
- ile sabab nyengine nimeisahau

prevention na treatment tutaendelea sku nyengine.
 
aisee kamanda umeona iyo makitu ya kukamatia waharif? Hivi hawajasikia ya J. Muro na pingu zake? au ni stockings hizo.....daamn watu wanaongea kichina mwanzo mwisho

narudi zangu baa kumalizia kinywaji

hapo nold huyo jamaa ameshindikana halogeki
 
hehehe kamanda hii feki hii, hapo ukipata mdada kashiba ugali anaikata hiyo na anatoka baruti.
 
Kwa ufupi busha ni kuvimba makorodani ya mwanaume na yakawa yanatawala eneo lote la kuanzia chini ya "mkongojo wa babu" mpaka eneo la magoti. Sisi wanasayansi tumechunguza na kugundua kuwa linasababishwa na some sort of hyenia (nitakuelezea sku nyengine hii)

sababu za kupata busha.
- kulogwa (kama nitakavyomloga ivuga)
- ile sabab nyengine nimeisahau

prevention na treatment tutaendelea sku nyengine.
OK. it is called elephantiasis... eti ukipiga vuvuzela anaumiaaaa/ nilisoma humu humu, kule JF doctors.
 
hahahahahahaha, nitamwambia! huwezi kumchafulia CV kiasi hichi. Alafu naona Ivuga karudi... I can feel his presence.

im here bibie..nimemuona klorokwin...ila mwambie mambo ya kutoana mabusha sio fresh.
 
Back
Top Bottom