Im on fire ..usinijaribu

mkuu umeenjoy sana angalia kitambi tu aisee. ukirudi bongo nitafute nina mpango wa kuanzisha gim lakini lazima uwe unalipia
Hahahah....hapa napinga kitambi kwa nguvu zote! Wazo lako la gym zur sana, but hutonipata cuz siwezi kujiachia mpaka kitambi kinizidi!!
 
naziona mwali. Jiandae kukabiliana nazo. Lol. Sherehe inaendaje? Nimetoka kidogo ila usimwambie ankal.
Tunaendelea vizuri, chumvi ilikua imeisha ikawa shida kweli, diskasheni pege tatu! ila sasa mambo yako under control. Uncle na Anti wamepotea kama kawaida yao ya saa hizi (coughing)
Hapo bold nadhani sio lazima. lol
 
bora hivyo vizee vimepotea tujiachie wenyewe. Naenda kubadili nguo halafu nakuja na shemeji yako. (usiseme, si unajua hajatambulishwa rasmi).
 
Tunaendelea vizuri, chumvi ilikua imeisha ikawa shida kweli, diskasheni pege tatu! ila sasa mambo yako under control. Uncle na Anti wamepotea kama kawaida yao ya saa hizi (coughing)
Hapo bold nadhani sio lazima. lol

utaunguza??!!
 
Back
Top Bottom