Im on fire ..usinijaribu

Im on fire ..usinijaribu

Mi Ivuga tangu kawa Saint(mtakatifu) wala hatuzungumzi, nakuambia,usijione mjanja Kloro,ujanja hautangazwi....unatendwa....lol

sio hivyo michelle mi nipo kwenye maombi nataka urudi second term pale white house...si unajua nataka nijipendekeze naona kale ka first born kanapanda kama uyoga
 
Baelezee Michelle. Hawa watu wanajifanya wajanja sana... lol

Nishampa dozi yake....analeta u-gentleman mjini na u-lawyer?? ujanja nimemfundisha mimi,akapata tu-hela twake kidogo twa msimu akabadilika ndo huyo mara ajitolee vitenge vya kampeni,mara sijui ofa za bia.....namuangalia namkumbuka na kandambili zake alipowasili tukaenda mpokea Kisutu enzi hizo!
 
hahahaha... unajua Michelle na mimi ni mapacha? careful...

ndio maana kumbe:::: nikisoma post zenu naona heartbit zinaongeza speed. kumbe moyo unashidwa kutofautisha ila sio mbaya ni sunna
 
Nishampa dozi yake....analeta u-gentleman mjini na u-lawyer?? ujanja nimemfundisha mimi,akapata tu-hela twake kidogo twa msimu akabadilika ndo huyo mara ajitolee vitenge vya kampeni,mara sijui ofa za bia.....namuangalia namkumbuka na kandambili zake alipowasili tukaenda mpokea Kisutu enzi hizo!
hahah kweli JF kiboko kumbe mtu unamuona maneno miiingi na makelele kibao na makofi mda wote anashangilia lakni background yake ukipewa lazima uwe hoi.
 
Mi Ivuga tangu kawa Saint(mtakatifu) wala hatuzungumzi, nakuambia,usijione mjanja Kloro,ujanja hautangazwi....unatendwa....lol

Nishampa dozi yake....analeta u-gentleman mjini na u-lawyer?? ujanja nimemfundisha mimi,akapata tu-hela twake kidogo twa msimu akabadilika ndo huyo mara ajitolee vitenge vya kampeni,mara sijui ofa za bia.....namuangalia namkumbuka na kandambili zake alipowasili tukaenda mpokea Kisutu enzi hizo!
Eeeh Mungu jaalia keren happuch asisome hii.
CV yote ya lawyer kushnei
 
Atoke Tanga au Bagamoyo sehemu wakoloni walileta ustaarabu kidogo St Ivuga?....morogoro hapo ndani ndani...acha nisiseme zaidi

baasi usimalizie kusema.asije akakimbia. kwa hiyo watu walifanya kumfuata kisutu ..dah sipati picha alikuwa amepika mapigo gani. unayakumbuka vizuri? hahahha hajaja na redio kweli?
 
sio hivyo michelle mi nipo kwenye maombi nataka urudi second term pale white house...si unajua nataka nijipendekeze naona kale ka first born kanapanda kama uyoga

Yaani nashukuru sana St Ivuga, jana nimeona Gingrich kashinda South Carolina....yaani tukijipanga kumdhibiti Romney na siri zake,anaibuka mwingine...kweli tuna wakati mgumu sana....sijui nimshauri mkulu asigombee??? Turudi zetu Chaicago??

Malia yule ni wa kwako wala usiwe na neno,nataka tu sasa uanze kufanya na Secret Service,nikupange kama mlezi wake...lol
 
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
 
hahah kweli JF kiboko kumbe mtu unamuona maneno miiingi na makelele kibao na makofi mda wote anashangilia lakni background yake ukipewa lazima uwe hoi.
JF usanii mtupu, mi nimemvumilia sana Kloro,lakini sasa naona analeta dharau...usitukane wakunga na uzazi ungalipo Kloro!

Eeeh Mungu jaalia keren happuch asisome hii.
CV yote ya lawyer kushnei
Atasoma tu,namtumia PM yenye attachment ya hii thread na hii page!

baasi usimalizie kusema.asije akakimbia. kwa hiyo watu walifanya kumfuata kisutu ..dah sipati picha alikuwa amepika mapigo gani. unayakumbuka vizuri? hahahha hajaja na redio kweli?
Nina picha kabisa mkuu, yaani alikuja kavaa kaptula imetoboka sehemu fulani halafu hajali as if huko alikotokea hawavai nguo kabisa,kumnyang'anya ile kaptula ilikuwa vita.....acha niishie hapo,nitaweka picha zake akileta za kuleta
 
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon
.

asante Mwali. zimefika. auntie yako jana majukumu yalikuwa mengi mno leo amepumzika. sawa eeh? unapoenda kulala usisahau Kumwomba Mungu...halafu USISALIMIE mtu njiani..sawa?
 
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
Ufafanuzi wa keren utakuja CV ikiludi katika hali yake ya kawaida, hapa CV inaread minus 20
 
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.

Ni wajibu wangu twin sisy kukufungua macho....kanyaga pole pole....what you see is not always what you get....!

Sweetdreams.....xoxo!
 
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
ayaaaaaaa..kuuumbe hakukuambia ?
 
Back
Top Bottom