Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
- Thread starter
- #181
ngoja nimuulize mwali kama anatoka bagamoyo inabidi ufanye mambo fasta fastaBagamoyo ukienda kuposa kama una busha ni advantage kamanda. Kule wanaliita "blaki diamond"
ngoja nimuulize mwali kama anatoka bagamoyo inabidi ufanye mambo fasta fastaBagamoyo ukienda kuposa kama una busha ni advantage kamanda. Kule wanaliita "blaki diamond"
:shock:Jerry murro alibeba zile za vibaka kamanda, Hii like ya mwali mimi nimeitathmini kivyengine kamanda. Tupo second half ujue
Najuuuuuuuuuuuuuutaaaaaaaaaaaa kukufahamu Kloro...the lawyer....the gentleman....watakukoma mwaka huu!
Mkuu CV ya mwali yote ipo kwenye ofisi za lawyer, hilo busha linashusha kredit kabisa yaani kwa mwali.ngoja nimuulize mwali kama anatoka bagamoyo inabidi ufanye mambo fasta fasta
Ya nini? hapa hapa tu, mi sina siri. lolthe voice of an angel ,,nani hataki kuisikia maskioni mwake? fanya mambo basi huko kwenye pm nishaona huyu mshangiliaji yupo kwenye high speed
sitoki huko, na sina interest na hivyo vitu!ngoja nimuulize mwali kama anatoka bagamoyo inabidi ufanye mambo fasta fasta
sorry honey! nilikosea spelling:shock:
:shock:
Sasa hiyo ni siri ya somo na mwali wake...and what is IT that you are spicing up? or, rather, whats supposed to be spiced up....
Ya nini? hapa hapa tu, mi sina siri. lol
Mkuu CV ya mwali yote ipo kwenye ofisi za lawyer, hilo busha linashusha kredit kabisa yaani kwa mwali.
andaa maelezo, Sweetie will be mad on this....u have been warned....
Ananizushia tu Uncle... unaona amesema kakosea spelling...:A S embarassed:sorry honey! nilikosea spelling
Nimeongezwa cheo pia, yaani hapa kitaa hata nikisema nilale na waifu wa balozi wa nyumba kumi basi nakubalika.
Fanya uNiwahi michelle kabla sijaporwa na wadada wajanja.
Mrusi wa watu kalala saa hizi, mwache apumzike.najua mbuyu ulianza kama mchicha..ila ngoja niongee na RR aweke video call
Sasa hiyo ni siri ya somo na mwali wake...
Mi mwenyewe mjanja....kukufanya unipende utake nikupore usione ni kwa akili zako....shtuka....chezeya watoto wa Ocean Road!
Baelezee Michelle. Hawa watu wanajifanya wajanja sana... lolMi mwenyewe mjanja....kukufanya unipende utake nikupore usione ni kwa akili zako....shtuka....chezeya watoto wa Ocean Road!
Dah! kimewaka. Ivuga alikuwa anakuulizia michelle
Mi mwenyewe mjanja....kukufanya unipende utake nikupore usione ni kwa akili zako....shtuka....chezeya watoto wa Ocean Road!
Dah! kimewaka. Ivuga alikuwa anakuulizia michelle
hahahaha... unajua Michelle na mimi ni mapacha? careful...nimeshtukia trick zako unatalaka mwali anichukie ili ubebe kama vile kumsukuma mlevi