Im on fire ..usinijaribu

Im on fire ..usinijaribu

Kwa ufupi busha ni kuvimba makorodani ya mwanaume na yakawa yanatawala eneo lote la kuanzia chini ya "mkongojo wa babu" mpaka eneo la magoti. Sisi wanasayansi tumechunguza na kugundua kuwa linasababishwa na some sort of hyenia (nitakuelezea sku nyengine hii)

sababu za kupata busha.
- kulogwa (kama nitakavyomloga ivuga)
- ile sabab nyengine nimeisahau

prevention na treatment tutaendelea sku nyengine.

mkuu hii kitu sasa utasababisha nisipite mtaani si unajua ukiwa nayo vijana wakikuona ni balaa. ila kuna wadada wanalifagilia
 
So hiyo ni kwa ajili ya kufungia wadada? Kamanda hii ni crime against humanity....mtu yeyote anayefanya hivyo anastahili kufikishwa The Hague:shock:

Kamanda usiwateteee, hii ni crime pekee duniani ambayo watuhumiwa wanaifurahia azabu yao infakti huwa wanapiga makelele......"niongeze azabu wee polis b w ege"
 
Kamanda usiwateteee, hii ni crime pekee duniani ambayo watuhumiwa wanaifurahia azabu yao infakti huwa wanapiga makelele......"niongeze azabu wee polis b w ege"

The fact kuwa Mwali kagonga like kukubaliana na maelezo yako kamanda, am speechless....ninaanzisha uchunguzi huru wa hii kitu...mi niliona Jerry Muro akishtakiwa kwa kukutwa nazo hizi..:juggle:
 
The fact kuwa Mwali kagonga like kukubaliana na maelezo yako kamanda, am speechless....ninaanzisha uchunguzi huru wa hii kitu...mi niliona Jerry Muro akishtakiwa kwa kukutwa nazo hizi..:juggle:

Jerry murro alibeba zile za vibaka kamanda, Hii like ya mwali mimi nimeitathmini kivyengine kamanda. Tupo second half ujue
 
The fact kuwa Mwali kagonga like kukubaliana na maelezo yako kamanda, am speechless....ninaanzisha uchunguzi huru wa hii kitu...mi niliona Jerry Muro akishtakiwa kwa kukutwa nazo hizi..:juggle:
It's nothing bad Uncle. Hata Anti alinambia it is just to spice it up. lol
 
ok. I see...


Kwa nini? si tunaongea hapa hapa?
the voice of an angel ,,nani hataki kuisikia maskioni mwake? fanya mambo basi huko kwenye pm nishaona huyu mshangiliaji yupo kwenye high speed
 
Back
Top Bottom