Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
- Thread starter
- #221
Unaua kamanda..mdogomdogo
nimekusoma mjomba.:A S-coffee:
Unaua kamanda..mdogomdogo
Yaani mimi wa ifakara , khaaa! halaf nilikuja na kanda mbili.....lahaula
Mods naomba mfunge hii sredi
wewe si uliniambia kuwa ni mod ukawa unanitishia kunipiga ban..kumbe nishamjua mjanga wako..hahaaha.appreciate you michelle to the maximum
JF usanii mtupu, mi nimemvumilia sana Kloro,lakini sasa naona analeta dharau...usitukane wakunga na uzazi ungalipo Kloro!
Atasoma tu,namtumia PM yenye attachment ya hii thread na hii page!
Nina picha kabisa mkuu, yaani alikuja kavaa kaptula imetoboka sehemu fulani halafu hajali as if huko alikotokea hawavai nguo kabisa,kumnyang'anya ile kaptula ilikuwa vita.....acha niishie hapo,nitaweka picha zake akileta za kuleta
Usijali Lawyer, mpeleke hivo hivo, akiendelea anapigwa 12 month ban for bringing mambo yako humu jamvini.Yaani mimi wa ifakara , khaaa! halaf nilikuja na kanda mbili.....lahaula
Mods naomba mfunge hii sredi
Point of correction kidogo Mwali hapo kwenye jina langu, ni Mabagala si Mbagala. tafadhaliNdio hivo Mabagala.
Kama mwenyewe kajiamini hadi kununua baskeli lake sasa wewe nani kuanza kumuuliza ataliendeshaje?
kila mtu na mambo yake. lol