Im on fire ..usinijaribu

Im on fire ..usinijaribu

bora hivyo vizee vimepotea tujiachie wenyewe. Naenda kubadili nguo halafu nakuja na shemeji yako. (usiseme, si unajua hajatambulishwa rasmi).
I can't wait... ila mtambulishe hata kwangu basi asije kutuchanganya mchana kweupe!
 
Wazungu sijui wametufanya nini sisi?
Tunachukua kila ujinga wao,mbona wao hawawaigi wamatumbi kuvaa kachumbari?
 
Wazungu sijui wametufanya nini sisi?
Tunachukua kila ujinga wao,mbona wao hawawaigi wamatumbi kuvaa kachumbari?

kachumbari ndio nini? mbona unaandika lugha za kihuni wewe?
 
Back
Top Bottom