Illuminati and Freemasons

Mkuu uje na ukweli wa freemanson na sio propaganda za dini.. fanya research kweli usije na propaganda za wakina gwajima na story za vijiweni za ukiwa freemanson unapiga pesa sijui kalikwemda kakarudi.mara diamond ni manson..
 
FREEMASON ipo kweli , na wao ndo wameikamata dunia pande zote yaani kiuchumi , kisiasa , kijamii na kijeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FREEMASON ipo kweli , na wao ndo wameikamata dunia pande zote yaani kiuchumi , kisiasa , kijamii na kijeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe fremanson ipo lakini hizo story za kukamata dunia ni UONGO. Nadhani hata research zako labda unafanyia kwenye page za kisabato..
Ukiingia hata google tu utajua freemanson sio kama watu wanavyoiongelea na sio kama wewe unavyotudanganya hapo..
 
Mkuu FREEMASON ni tawi la ILLUMINATI , pia ni maarufu kuliko ILLUMINATI yenyewe. Kuna makundi mengi sana hata kwenye bidhaa mbalimbali wamepachika nembo zao tuwe pamoja utanielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SKULLS AND BONES - 1

Hili ni kundi lenye nguvu kushinda FREEMASON

Leo tuwa kodolee Macho kidogo Wazee wa mafuvu na Mifupa,
Lilianzishwa mwaka 1832 na watu wawili William Huntington Russell na Alphonso Taft hawa jamaa walikua na kawaida ya kuiba mavufu ya watu maarufu na mashujaa na kuyaifadhi. -

Nikupe kisa kimoja 10/2/2017 ndugu mmoja ( Haryln Geronimo (Kitukuu cha shujaa Geronimo) mwenye miaka 61) katika jamii hii alifungua mashtaka akiwashtaki Skull and bones jamii ya siri ambayo ilianzia Katika chuo kikuu cha YALE huko marekani kuwa iruhusika na kuiba mabaki ya Shujaa Geronimo ambaye alikuwa ni shujaa kutoka Jamii ya APACHE (Red Indians).
-

Miaka kadhaa imekuwa ikipigiwa kelele jamii hii ya Fuvu na Mifupa kuwa imeshikilia mabaki ya Geronimo ikiyatumia kwa shughuli zake za kiimani.
Anasema “naamini kabisa toka moyoni mwangu kuwa roho ya Geronimo haikuachiliwa"
-

Wakongwe Kama Prescott S. Bush ambaye ni baba wa aliyekuwa Rais George W. Bush na Babu wa George W Bush huyu na wenzie wengine wanachama wa Skull and Bones walichimba mabaki ya Geronimo toka kaburini mwaka 1918 wakaiba fuvu la Huyu Shujaa, Na Mifupa miwili na mavazi yake kivita kutoka katika Kaburi lake huko Fort Sill.
-

Jamii hii ikachukua mabaki haya na kuyaweka Makao yao Makuu ambayo yalikuwa yameanzishwa toka mwaka 1832.
Kuna mambo mengi ambayo yamekuwa yaki zungumzwa kuhusiana na kundi au jamii hii. -

Ni kundi ambalo nchi za huku kwetu hali fahamiki na watu wengi lakini kwa huko kwa wenzetu ni Kundi kubwa na la kutisha sana.
Ni Kundi lenye viongozi wakubwa sana duniani na watu maarufu likihusishwa na kundi la mafia kwa miaka hiyo.
Pia Wana Patikana Katika Vyuo Vikuu Mbali Mbali Duniani na siku hizi hata Vyuo vya kawaida. -

Vyuo vikuu Kuna elimu inaitwa THE SECRET DOCTRINE OF HYPOTHESIS IN SCIENCE, RELIGION AND PHILOSOPHY ukikutana na mtu haamini uwepo wa mwenyezi Mungu mara baada ya kutoka chuo basi jua SKULLS AND BONES Wamesha fanya yao. -

Sahau kuhusu Freemasons hili ndilo kundi lenye nguvu zaidi ndani ya Illuminati. -

ITAENDELEA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some issues in the world we are living are simply imaginary or rather abstract.

Freemasonry being one of them imaginary shit
 
Back
Top Bottom