Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Kutoa mimba hakuuwi sana siku hizi,,,, kuna vifaa na utaalamu wa uhakika,,, mimba sio kigezo,,,,, taarifa ya madaktari ndio sahihi
Mkuu, katoa mimba kijinga aka bleed mfululizo kapelekwa hospital baada ya kuanguka kwa kuishiwa damu. Kalala pale kisela hadi akavuta.Kuna siku ikikataa ndo kwaheri na ndicho kilichomkuta masogange.
 
Ndugu yetu Mshana Jr, uwezekano wa hicho unachofikiria ni mdogo sana. Sababu kuu ya vifo vya aina hiyo kwa viumbe wa kike wenye umri kama huo asilimia zaidi ya 90% ni gynaecological, hasa ectopic pregnancies and septic abortions. This is highly supported na dalili kama hizo za kuishiwa damu na homa. Kubana pumzi ni terminal event inayoweza kusababishwa sawia na pulmonary embolism. Ugonjwa wa mtu unabaki kuwa siri kati ya mgonjwa/ marehemu na daktari wake. Wengine hawapaswi kujua isipokuwa kwa amri ya mahakama.
atakuwa kakuelewa mkuu
 
Before hamjamfikia tayari mmeumia.
Umeshawahi kusukumia JINI?

Subri mpaka jioni what will attack you.
Mkuu, umenikosea. Mimi ni mkulima wa bamia madawa ya kulevya nayasikia.

Siyajui, sijawai yaona achilia mbali kuyabugia!!!
 
mnawasingizia tu hao drug dealers maana sio kwamba wao ndio wamempa hiyo pumu, na hospitali hakupelekwa na mtu kaenda mwenyewe na kalazwa 4 dayz sasa hapo wao wanaingiaje? au unataka kusema huyo daktari naye ni drug dealer mwenzao so kaamua kumuondoa kwa kumpiga sindano ya sumu?

Wapi nimewasingizia???
 
k
Dr. Akili, huyu Agnes alikuwa na uwezo wa kutoa mimba hata South Africa siyo mtu wa kutoa mimba vichochoroni. Pumu yeye siyo mtoto kusema alikosa oxygen akafa ghafla hata hivyo angekwenda hospitali yoyote ya pesa angewekewa hewa na kutibiwa. Kwa nini alikwenda kwenye hospitali za vichochoroni?
mkuu yaani nimeshindwa kukuelewa ni kipi usichokielewa hapo Mungu akiukipangia kufa utakufa tu hata kwa kupaliwa na maji mkuu kufa ni kufa tu sema kila mtu kifo chake kina sababu, kuna wengine wanakufa wakiwa wamelala usingizini,kuna mtu alikufa baada ya jamaa kukabwa na nyama alikuwa anakula mgahawani nyama imemkaba akapelekwa Sinza hospitali ikashindikana mtu kafa haya na huyu naye utasema kafa kizembe kwa sababu yeye sio mtoto ashindwe kutafuna nyama vizuri?
 
Natumia ustaarabu kuwa kama nimekukosea basi nisamehe.
Lakin kama uko ktk system nisiseme nini kitafata.
Mkuu, umenikosea. Mimi ni mkulima wa bamia madawa ya kulevya nayasikia.

Siyajui, sijawai yaona achilia mbali kuyabugia!!!
 
Kuna kitu kinaendelea lakini bado hakijawa wazi sana... Ngoja mshtuko wa habari za kifo utulie... Kuna mengi yatajitokeza......
Wiki iliyopita kuna binti aliuawa gesti Chalinze... ALINYONGWA.... Lakini muda mchache kabla ya mauaji kufanyika alipigiwa simu na ndugu yake wakati wauaji wakiwa tayari chumbani kwake... Akiwasiliana kilugha na huyo ndugu yake alimwambia kuna wanawake wanne wamemvamia chumbani lakini watatu anawafahamu
Baada ya hapo simu zake hazikupatikana tena! Maiti yake iligundulika siku ya pili... Katika kufuatilia undani wake ikaonekana alikuwa kwenye mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya... Na kulikuwa na tatizo kati yake na hao wauaji wake... Hii ilitokana na mawasiliano yaliyofumwa kwenye simu yake
Mchana wa siku aliyouliwa kulikuwa na majibizano kwa njia ya maandishi
Yeye aliandika kuwa kwakuwa wao wamemwaga mboga basi yeye atatoboa sufuria kabisa... Naye akajibiwa kuwa.. Hatasubiri afanye hivyo... Watamfuata huko huko juu.....

Baada ya mazishi kaka yake mmoja akapigiwa simu kupewa pole na kuambiwa kila kilichotokea pale msibani mpaka kuzika... (Kwahiyo wauaji walikuwepo msibani) kisha akaambiwa kuwa MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI
Baada ya kama siku tatu za mauti yake binti mwingine akakutwa kauliwa kwa kuchomwa visu mwili mzima (alikuja Kutambuliwa kama mmojawapo aliyeshiriki mauaji ya kwanza), na mwingine naye akaponea chupuchupu akiwa keshakula visu vya kutosha na sasa hajulikani alipo
Scenario nzima inaonesha ni mauaji ya visasi kati ya makundi mawili na kuna kitu kikubwa kinafichwa!!!!
Ni vigumu kwasasa kulink kifo cha Agnes na hayo mauaji mengine lakini tayari kuna watu wameshaanza kutuhumiwa. ..
Agnes Masogange amekuja kuwa maarufu zaidi baada ya kuja kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya... Tuhuma dhidi ya madawa ya kulevya zilipelekea akamatwe na kufunguliwa kesi... Ni juzi tu hapa mwezi uliopita alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini au kifungo... Alinusurika kifungo kwa kulipa faini iliyolalamikiwa na wengi
Mabush lawyer wengi walisema kuwa kesi kama ile kama huna watu wazito nyuma yako unaondoka na maji...

Kwanini kifo chake kimeacha mashaka!?
Mitandao ya hizi biashara haramu., haipatani kabisa na kitu kinaitwa polisi... Kwa baadhi ya nchi watuhumiwa hufuatwa na kuuliwa huko huko jela au mahabusu
Masogange akiwa tayari kwenye spotlight ya polisi... Nini ingekuwa future yake!? Kumbuka ni vigumu tena kumtumia kwenye hiyo biashara.. Tayari ana file.. Hivyo keshakuwa ndege mweupe!
Lakini je anafahamu mangapi!? Je hawezi kuropoka?!?
Je ni nani aliyekuwa tayari kugharamia maisha yake ya anasa wakati sasa hawezi tena kuzalisha!?
Risk ni zipi akiachwa hai?
Risk ni zipi akinyamazishwa!!?
Je baada ya kesi kwisha alikuwa na madai kwa washirika wake kibiashara!?
Kifo hupangwa na Mungu kwa wale waamini.. Lakini nyuma yake kuna sababu za kifo... Naamini siku moja ukweli utajulikana
RIP ⚰ Agnes!

Mafia
 
Mkuu Wimsha Tufunguane kidogo je ukiacha madawa ni kazi ipi ingine ukiingia kutoka ni issue?

Kuna baadhi ya class katika fani ya ujasusi, kuna ngazi fulani kwenye hizi "DINI" zetu za kisasa, Kwenye maagano ya kichawi na kadhalika.
 
Mange alisema anakila kitu anachokijua watu wamemtumia na evidence kabisa ....ila anasubili tarehe 26 ipite aongee...(Namnukuu) tu

R.I.P Agy
 
Wewe mwanamke acha ujinga kwenye mambo ya msingi masuala ya maandamano hapa tena yanatoka wapi.

Na kwa taarifa yako hayo maandamano sidhani kama mtaweza kuyafanyaaa naaapa kabisaaa hayatoweza kufanyika na wewe utakuwa shahidi hapa kuwa dottoz aliandika.

Nakuambia tenaaa maandamano hayatafanyika na hata yakifanyika mtakijua nini kitatokea mtavunjwa miguu na mimi nitasupport mvunjwe miguuu woteeeeeee hata muuliwe tu maana mtaharbu amani ya Tanzania yetu.

Asante na meseji sent and delivery....
Mawazo yako ya kipuuzi sana kama huyo mmeo sizonje....jinga sana
 
Hata mimi nafikiria hosp aliyofia...na umarufu wake..maana wanadai aliugua kwa muda wa siku 4...kwa uwezo wangu wa kati nina hosp zangu hata kama naumwa lazima niende huko..mfano kairuki,regency,agha kan..

Hosp hizo ambazo hazina majina makubwa naenda tu kama nataka kupata ED ya kazini..maana hazina madr wakubwa...hosp vs na ustar wake haviendani japo hosp no hosp

Umeshawahi kutibiwa kwa Mama Ngoma?
 
k
Dr. Akili, huyu Agnes alikuwa na uwezo wa kutoa mimba hata South Africa siyo mtu wa kutoa mimba vichochoroni. Pumu yeye siyo mtoto kusema alikosa oxygen akafa ghafla hata hivyo angekwenda hospitali yoyote ya pesa angewekewa hewa na kutibiwa. Kwa nini alikwenda kwenye hospitali za vichochoroni?
Mimba iwe imetoka yenyewe, imetolewa hospitalini au vichochoroni risk ya kupoteza maisha iko palepale, kinachotofautiana ni kiwango tu. Respiratory Distress Syndrome (RDS) layman ataiita ni pumu yaani bronchoasthma, kitu ambacho si kweli.
 
Back
Top Bottom