Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Hizi ni assumptions tu bro japo zaweza kuwa kweli, mchawi ni post moterm tu/forensic
 
Baada ya kuachiwa China ,wachina hawakuachi hivi hivi alichomwa sindano
 
Always haya Magenge ya biashara haramu hasa mihadharati once you mercy up you are done
 
Kuna biashara au hata kazi ukingia ujue ni milele. Kutoka ni issue hata kama nia unayo
Mkuu Wimsha Tufunguane kidogo je ukiacha madawa ni kazi ipi ingine ukiingia kutoka ni issue?
 
Always haya Magenge ya biashara haramu hasa mihadharati once you mercy up you are done
Ni kweli mkuu .
Ndo maana nasemaga ukitaka ufanye biashara hii uwe mafia kweli kweli kama wakina flani usipokuwa mafia huiwezi.

Na ujipange kimkakati uwe na akiba kifedha ili kikinuka uanze maisha mapya mbali na mji....

Sidhani kama masogange alikuwa na akiba ya fedha kwenye akaunti zake/yake....
 
Taarifa za ugojwa ni siri ya mgonjwa na dactari.Pamoja na tuhuma zake za ngada si kuna biashara nyingine ilikuwa inamuweka mjini? je! iseingeweza kum expose kwenye maradhi?
 
Mkuu Wimsha Tufunguane kidogo je ukiacha madawa ni kazi ipi ingine ukiingia kutoka ni issue?
Kazi ya kupiga punyeto ukiingia kwenye hii kazi ni ngumu kuiacha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mimi nafikiria hosp aliyofia...na umarufu wake..maana wanadai aliugua kwa muda wa siku 4...kwa uwezo wangu wa kati nina hosp zangu hata kama naumwa lazima niende huko..mfano kairuki,regency,agha kan..

Hosp hizo ambazo hazina majina makubwa naenda tu kama nataka kupata ED ya kazini..maana hazina madr wakubwa...hosp vs na ustar wake haviendani japo hosp no hosp
Kwa Mama Ngoma ni nzuri kwa Cancer patients tu nasikia alikua anakaa Makongo juu kama issue ilikua ujirani na uchumi bora angeenda Lugalo
 
Duhh[emoji50] [emoji50] [emoji50] [emoji50] [emoji50] hatari kwelikweli
1j%2BojlxKOMkX9WyteRe4hGfbyafe...QwUyUqIgG99NjJE7hkwyXQgh...Zu8...jpg
 
Kufa ni lazima. Kuuliza swali kama hili sijui unataka ujibiwe vipi.!
 
Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Hahahahahahaha hii comment yako imenitoe kwenye reli ya kati sasa nakwenda kwenye SDG...
Hahaha kuna wengine wanasema kifo kimepangwa na Makonda ili kuzima maandamano
Niliposikia haya nikawacheki ,nika waangalia nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
JamiiForums naomba msiunganishe uzi huu na zile nyingine nyingi zilizoripoti kifo cha Agnes Masogange... Maudhui yake ni tofauti kabisa

Kuna kitu kinaendelea lakini bado hakijawa wazi sana... Ngoja mshtuko wa habari za kifo utulie... Kuna mengi yatajitokeza......
Wiki iliyopita kuna binti aliuawa gesti Chalinze... ALINYONGWA.... Lakini muda mchache kabla ya mauaji kufanyika alipigiwa simu na ndugu yake wakati wauaji wakiwa tayari chumbani kwake... Akiwasiliana kilugha na huyo ndugu yake alimwambia kuna wanawake wanne wamemvamia chumbani lakini watatu anawafahamu
Baada ya hapo simu zake hazikupatikana tena! Maiti yake iligundulika siku ya pili... Katika kufuatilia undani wake ikaonekana alikuwa kwenye mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya... Na kulikuwa na tatizo kati yake na hao wauaji wake... Hii ilitokana na mawasiliano yaliyofumwa kwenye simu yake
Mchana wa siku aliyouliwa kulikuwa na majibizano kwa njia ya maandishi
Yeye aliandika kuwa kwakuwa wao wamemwaga mboga basi yeye atatoboa sufuria kabisa... Naye akajibiwa kuwa.. Hatasubiri afanye hivyo... Watamfuata huko huko juu.....

Baada ya mazishi kaka yake mmoja akapigiwa simu kupewa pole na kuambiwa kila kilichotokea pale msibani mpaka kuzika... (Kwahiyo wauaji walikuwepo msibani) kisha akaambiwa kuwa MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI
Baada ya kama siku tatu za mauti yake binti mwingine akakutwa kauliwa kwa kuchomwa visu mwili mzima (alikuja Kutambuliwa kama mmojawapo aliyeshiriki mauaji ya kwanza), na mwingine naye akaponea chupuchupu akiwa keshakula visu vya kutosha na sasa hajulikani alipo
Scenario nzima inaonesha ni mauaji ya visasi kati ya makundi mawili na kuna kitu kikubwa kinafichwa!!!!
Ni vigumu kwasasa kulink kifo cha Agnes na hayo mauaji mengine lakini tayari kuna watu wameshaanza kutuhumiwa. ..
Agnes Masogange amekuja kuwa maarufu zaidi baada ya kuja kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya... Tuhuma dhidi ya madawa ya kulevya zilipelekea akamatwe na kufunguliwa kesi... Ni juzi tu hapa mwezi uliopita alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini au kifungo... Alinusurika kifungo kwa kulipa faini iliyolalamikiwa na wengi
Mabush lawyer wengi walisema kuwa kesi kama ile kama huna watu wazito nyuma yako unaondoka na maji...

Kwanini kifo chake kimeacha mashaka!?
Mitandao ya hizi biashara haramu., haipatani kabisa na kitu kinaitwa polisi... Kwa baadhi ya nchi watuhumiwa hufuatwa na kuuliwa huko huko jela au mahabusu
Masogange akiwa tayari kwenye spotlight ya polisi... Nini ingekuwa future yake!? Kumbuka ni vigumu tena kumtumia kwenye hiyo biashara.. Tayari ana file.. Hivyo keshakuwa ndege mweupe!
Lakini je anafahamu mangapi!? Je hawezi kuropoka?!?
Je ni nani aliyekuwa tayari kugharamia maisha yake ya anasa wakati sasa hawezi tena kuzalisha!?
Risk ni zipi akiachwa hai?
Risk ni zipi akinyamazishwa!!?
Je baada ya kesi kwisha alikuwa na madai kwa washirika wake kibiashara!?
Kifo hupangwa na Mungu kwa wale waamini.. Lakini nyuma yake kuna sababu za kifo... Naamini siku moja ukweli utajulikana
RIP [emoji1019] Agnes!
Kuna watu wanajua baada ya 26/4 wanaweza kuwa nje ya system,, akibaki nje uwezekano wa kuwataja upo kwa asilimia nyingi na wakapotea,hivyo wakaamua kuwahi siti ya mbele
 
Au kapigwa mande ya threesome nn mrembo wetu. Daah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom