Kijana wa Bodaboda Marangu auliwa kikatili

Kijana wa Bodaboda Marangu auliwa kikatili

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Anaitwa Denice Minja jina maarufu King Size bodaboda Wa kijiwe Cha Marangu mtoni Mkoani Kilimanjaro alishambuliwa sehemu za usoni na mwili mzima majira ya usiku na kupelekea kifo chake.

Stori yake ni trend kubwa sana baada ya kusemekana kuuawa na hawa ndugu watatu (3) pichani kulia na wameshafikishwa katika vyombo vya Sheria Huko Moshi Kilimanjaro, pia Jeshi la police linaendelea na Uchunguzi wa tukio Hilo la mauaji.


Stori yake ni trend kubwa sana baada ya kusemekana kuuawa

Tunatoana uhai kwa vitu vinavyooza pumbavu zetu, ni aibu kuua binadamu mwenzako ambaye hana hatia.

Blali fu.

1771393507433.jpg
1771355617215.jpg
1771393668867.jpg
1771393689151.jpg
 
Huko nyumbani ni uwanja wa vita aise...duh

Ova
Wabongo siku hizi kuuana ni jambo la kawaida tu
Mtu anamuua mwanae wa miaka nane Ili kumkomesha mzazi mwenzie
Na wepesi kufanya mauaji ni kizazi cha 90 kuja 2000
 
R.I.P kwake, Ila nashangaa matukio ya mikoa ya Arusha na KLM kuuwa vijana hasa wenye Toyo shida sjui ni nn ??

Walizoea Nairobi wamekomeshwa hata hapa inabidi wadhibitiwe
 
GenZ kwaheri. Hiyo mitaa sio poa mwanangu pia walimdedisha kisa laki 6. Wachaga wasengerema sana.
 
Back
Top Bottom