Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Ehehhehe akuache shoga angu kabisaakanyimwa unyumba.
Stress kibao
Mtoto wa Masogange
Ehehhehe akuache shoga angu kabisaakanyimwa unyumba.
Stress kibao
Bora wakuchome ZIP kuliko kukudanjisha.Uliyosema ni kweli 100% Angefungua mdomo wangapi wangeokoka? Sema hivi bado nchi yetu ina watu Untouchable ambao wanaweza fanya lolote lakini polisi, takukuru au mtu yeyote akafumba macho. Huyu binti kweli alikaa kimya miaka hii yote tangu atoke SA?
Kumbuka akina Al Capone kule US walivyokuwa wakinyamazisha gang member wa upande wa pili. Madawa ni sensitive issue siyo tu TZ bali dunia nzima. Ukishaingia ujue roho yako umeikabidhi kwenye gang.
Nimeisoma inatisha.... Haiko vizuri sana kuileta na kuijadili hapa iko very sensitive....Natega macho mkuu. Kaka mshana, hii habari anayoiandika mkuu Chahal Evarist inanitisha sana. Natamani unipe uchambuzi japo kidogo. Naomba kwako kwa sababu ya imani yangu kwako.
Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Before hamjamfikia tayari mmeumia.You're the next!!!! Drug dealers sio watu
Staki nataka.Wacha weee!
Ukiwa na shemeji yetu pia hua hutaki pia?
bwana we,hilo ndilo jambo la kwanza marafiki wake wa karibu walivyosema.Na baadhi ya blog walireport hivyo.Hata kama kafa kwa kurogwa keshakufa.Mimi siye doc wake.Wanaosema pumu pia wamekuonyesha cheti?What? Typhoid?
Weka ID namba ya clinical laboratory ambayo ina repoted result kuwa alikuwa na Typhoid.
Laa sivo bora ukae kimya kama hujui tu.
Kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe unajambaga???
Ndo maana nkasema kama hujui bora kuwa kimya mama yoyo.bwana we,hilo ndilo jambo la kwanza marafiki wake wa karibu walivyosema.Na baadhi ya blog walireport hivyo.Hata kama kafa kwa kurogwa keshakufa.Mimi siye doc wake.Wanaosema pumu pia wamekuonyesha cheti?
Nafanyaje? Niendelee kuchungulia tu kwa Chahali nione mwisho wa movie. Ila natamani nimpigie mkulu nimwambie aisome.Nimeisoma inatisha.... Haiko vizuri sana kuileta na kuijadili hapa iko very sensitive....
Ukiulizwa Wenzake wakina nani ?Bado Makonda aliwageuka wenzake!