African Believer
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 436
- 428
You right, because only few people can think beyond the circle. Watu wengine wana upeo mkubwa wa kushuku na kulitazana jambo kwa upanda wake.Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Agnes amekufa hili ni jambo dhahiri lakini amekufaje ni jambo mtambuka, kwani vifo vyote huwa na sababu. Kufa ni natural lakini hakuna natural death, all death must have cause.
Acha tusuburi na tuone, kwani muda na daktari mujarabu.