Hospital ya kwanza ukitoka Makongo juu ni kwa Mama Ngoma? No please... Ni chuo kikuu... That's the nearest onemkuu huyu binti alikuwa anaishi maeneo ya makongo juu kwa hiyo hospitali ta haraka kwake ilikuwa ni mama ngoma hakufanya vibaya kwenda pale kifo chake kilisha pangwa na Mungu lazima afe kwa Pumu na ndio ikawa hivyo hata angeenda ocean road angekufa tu
Unaambiwa siku aliyofariki Masogange, hata wale waliokuwa mapumziko wakarudi kazini wakilazimisha wafanye kazi. Kama unabisha muulize Mshana Jr. Ambao zamu yao imeisha wakataka waendelee tu Na kazi Bila overtime, ikabidi vijana wa Mambosasa wapelekwe haraka wakaimarishe amani, maana hata waliostaafu walitaka wakafanye kazi kwa kujitolea...... mortuary attendants, Je ni kweli huwa wanafanya mapenzi na wadada wazuri waliofariki wapelekwapo kuhifadhiwa?
Kabisa mkuu watu wagumu kuelewaSijaona mahali mtoa mada amezungumzia maandamano! Embu rudia Kusoma vizuri sio unakurupuka kucomment tu
Uwe unatulia unaposoma by the way tunatambua uwepo wakoMjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Hata mm naamini hivyo ameumiza wengi sana kupitia yeye tumeshuhudia mengiSiku zote akili inaniambia mwisho wa huyu mtu anaye jiona ni mjanja utakuja kuwa wa fedheha na mateso sana.
😳 😀 😀 😀Unaambiwa siku aliyofariki Masogange, hata wale waliokuwa mapumziko wakarudi kazini wakilazimisha wafanye kazi. Kama unabisha muulize Mshana Jr. Ambao zamu yao imeisha wakataka waendelee tu Na kazi Bila overtime, ikabidi vijana wa Mambosasa wapelekwe haraka wakaimarishe amani, maana hata waliostaafu walitaka wakafanye kazi kwa kujitolea
NaamNiliomba radhi lakini niliona kiwango cha unafiki wa binadamu.... Wale wale waliokuwa wanamsema vibaya sana ndio hao hao saivi wanajifanya wana machozi mengi na huruma nyingi sana.... Hayo hayamsaidii marehemu kufika peponi
Jamani bongo kumbe bado kuna machizifresh wengi! Hivi,we bado unadhani mtu mwenye akili timamu anakubali kuandamanishwa na changudoa aliyeko nje ya nchi kweli? Kama anauchungu aje aongoze maandamano mbele kabisa, pambaf zenu.Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
kNdugu yetu Mshana Jr, uwezekano wa hicho unachofikiria ni mdogo sana. Sababu kuu ya vifo vya aina hiyo kwa viumbe wa kike wenye umri kama huo asilimia zaidi ya 90% ni gynaecological, hasa ectopic pregnancies and septic abortions. This is highly supported na dalili kama hizo za kuishiwa damu na homa. Kubana pumzi ni terminal event inayoweza kusababishwa sawia na pulmonary embolism. Ugonjwa wa mtu unabaki kuwa siri kati ya mgonjwa/ marehemu na daktari wake. Wengine hawapaswi kujua isipokuwa kwa amri ya mahakama.
Kutoa mimba hakuuwi sana siku hizi,,,, kuna vifaa na utaalamu wa uhakika,,, mimba sio kigezo,,,,, taarifa ya madaktari ndio sahihiHuyo alijiua mwenyewe kijinga kabisa baada ya kutoa mimba! Hayo mengine mbwembwe tu.
Bujibuji umenifanya nicheke kama mwehu!Unaambiwa siku aliyofariki Masogange, hata wale waliokuwa mapumziko wakarudi kazini wakilazimisha wafanye kazi. Kama unabisha muulize Mshana Jr. Ambao zamu yao imeisha wakataka waendelee tu Na kazi Bila overtime, ikabidi vijana wa Mambosasa wapelekwe haraka wakaimarishe amani, maana hata waliostaafu walitaka wakafanye kazi kwa kujitolea