Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri sikushangai hata kidogo. Ila ungepata muda kidogo ukafuatilia umafya wanaoufanya gangs walioendelea pale wanapodhulumiana au kusalitiana ungeweza kufikiri nje ya box.
Kumbuka kupigana risasi, kikatana mapanga, kuchomana visu, kulishana sumu za kuua within a short time ni mbinu dhaifu sana kwa watu wanaotaka kutoa uhai wako bila hata kuwa suspected. Watu walishabuni mbinu nyingi kukusababishia slow death na zimekuwa zikitumika. Pia kumbuka post mortam anafanya binadamu wa kawaida kabisa ambaye kwa nchi yetu hii kuyapindua matokeo haimchukui hata sekunde.
Ipo mifano mingi ili sio wakati wake saasa. Anyway R.I.P Masogange mm nitaendelea kufikiri nje ya box kwanza kabla sijaamua kulifunga jalada.
Hahahaha hauna cha kuongea kwenye uhalifu, iwe mauaji, kuichambua akili ya mhalifu, mhanga wa uhalifu, gangs, na hata extortions halafu kikawa kipya kwangu.

Katafute saizi yako.
 
namna pekee ya kusolve "blown cover" agents ni kuwaua? kuna more than that nyuma ya pazia maana ashajulikana tokea muda kuhusu biashara yake hiyo the real question is "WHY NOW"??
R.I.P Agness
Blown covers ni kama double agents ...kifo hakiepukiki
 
Hata mimi nafikiria hosp aliyofia...na umarufu wake..maana wanadai aliugua kwa muda wa siku 4...kwa uwezo wangu wa kati nina hosp zangu hata kama naumwa lazima niende huko..mfano kairuki,regency,agha kan..

Hosp hizo ambazo hazina majina makubwa naenda tu kama nataka kupata ED ya kazini..maana hazina madr wakubwa...hosp vs na ustar wake haviendani japo hosp no hosp
 
Blown covers ni kama double agents ...kifo hakiepukiki
Blown covers na double agents ni vitu viwili tofauti.
Blown cover ni ile hali ya muhusika kujulikana. Agents kugundulika ,hii ni mbaya sana maana huwa .ni kama ame fail. Kwenye training za CIA wanasema first rule "never get caught" kwa kiswahili sheria ya kwanza " usikamatwe".

Iwapo ikitokea hivyo inakuwa ni risk ,na inahatarisha mission aliyotumwa, so superiors wa huyo agent lazima wamuondoe kwenye mission ili ku prevent damage.

Double agents hawa ni spies wanao spy pande mbili zote bila kujulikana. They can be both arsenist and fireman at the same time bila kujulikana.
 
Ukitaka kujua hii biashara ya drugs abuse, ikoje tazama picha hizi
1:Falcon Rising
2:Get rich or die trn
3:hii nimeisahau kidogo
Hii biashara ina system ndefu sana, ina miziz mirefu sna
Mbaya zaid mizizi hii inaingia mpaka serikalini. Mtandao ni wa watu wazito sana.
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Acha kuzuga
Hakuna typhoid inaua mtu siku hizi
Kama umeamua kutaja cause of death ....wewe sema ukweli tu
Haf this time mkidanganya nitaanika data zote wazi
 
Mtu alilazwa kisa typhoid na kupungukiwa damu.

Naamini hata ripoti ya post mortem bado.

Naamini hakuna aliyeiona.

Kisha unakuja uzi wa kulink kifo cha typhoid na drug dealing.

Amejulikana tangu enzi za Ngwea kufia South.

Kama aliwataja wangekua wameshakamatwa.

Let's not feed over deaths
Mkuu unataraji chochote kipya katika ripoti ya post mortem..

Mkuu hiv ndugu zako wakikupeleka hospital, daktar akasema una pneumonia ukalazwa baada ya siku 2 ukifariki nduguzo watadai chanzo ni nin!!?

Sasa katika hili mbona kila mmoja anakuja na lake, mpaka sasa zishakuja sababu 4 tofauti
 
Suala la Agnes ni suala sensitive sana sidhani kama ni sahihi kuja na fiction zako ambazo hazina mashiko yoyote. Watanzania tujaribu kuwa tunaongea kitu ambacho tuna ushahidi wa kutosha.
Kama unakuwa hujaelewa kitu ni heri kukaa kimya... Ama kuuliza ueleweshwe kuliko kuleta ujuaji usio na mashiko
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Mara typhoid mara pumu mara presha tuelewe lipi
 
Back
Top Bottom