Bado Makonda aliwageuka wenzake!
Hajawageuka wenzake mbona ndio wanaomfadhili safari zake za ughaibuni na pia akienda BONDENI anafikia kwao!!
Bado Makonda aliwageuka wenzake!
kuna kamanda alisema hizo cartel hazipo bongo, ngoja niendelee kumuamini tu.
Inaweza kuwa maudhui yao yana fanana.naona umeamua kumpa shitWewe nae acha kua na akili za kushikiwa,huyo mleta mada ni mumeo? Mbona hua kinakuwasha sana akisemwa? Au ndio unajilinda na ID zako zingine? Maana nasikia mleta mada ana ID kibao humu JF za kuwaaminisha watu ujinga wake.
Hawa wauza NGADA wana network kubwa sana na mara zote wakiona mtu waliyemtumia amemalizaumuhimu wake ni lazima wamuuwe kwani anakuwa na taarifa nyingi ambazo ni hatari kwa uendelezaji wa biashara!! Masogange had information which was detrimental to the sustainability of the trade in drug trafficking, hence she had to die!!
Kuthibitisha kuwa hawa wauza ngada ni wauaji ili kulinda siri zao; huko marekani ulichimbwa mtaro mrefu toka mpakani mwa Mexico mpaka kuingia ndani ya nchi ya marekani, baada ya mtaro huo kumalizika na kuanza kutumika kupitisha madawa ya kulevya wale wore waliochimba ule mtaro walipigwa risasi na kufa!!
Shukrani kwa maelezo ndugu ila ngoja niendelee kumuamini yule kamanda maana maelezo yake yaliniahawishi sana kumuamini. Operesheni za Tz sidhani kama zinafikia ata asilimia 10% ya operesheni za druglords wa mexico, japani au russia (ki mtandao, mbinu, taaluma na nidhamu)
Daaaah yaaan hatari tupu Ndugu yangu,,toto lilikuwa chuma picha hz ukiwa peke ako af ukiziangalia waweza zini aisee.Hichi kifaa kilikuwa hazina ya taifa, kwanini hakikuzungushiwa ukuta hatuelewi mkuu..matokeo yake ndiyo haya, tunajuta mkuu..
Kwanini asilimia kubwa mnaangukia kwa Agnes bila kutafakari mengine niliyoandika?@mshana jr kifo ni haki ya kila mtu.
Hata mm na ww hatujui tutakufa kwa njia ipi,,..
Hakuna sababu ya kujadili mauti yanapomfika mtu.
Kumbuka kwamba kila binadamu atakufa kwa njia aliyopangiwa na muumba wake..
R. I. P Agnes
Mimi nimekuwa South Africa kwa zaidi ya miaka mine 1996-1999.. Nafahamu michezo ya kule.. Kuna watu wanachangia hapa hata Mombasa hawajawahi fikaMkuu Mshana Jr bandiko lako linasomeka vizuri sana, umaarufa huja aidha kwa kusifiwa ubaya ama uzuri, hata ukiwa jambazi sugu pia utapata umaarufu. Zamani kidogo wakati naenda masomoni South Africa nilipanda ndege moja na huyu dada, yeye alikuwa siti ya mbele yangu na jamaa mmoja hivi ambae sura yake huwezi kumtazama mara mbili ingawa jamaa alikuwa amesheheni vito vya thamani mno mwilini mwake. "Agness au sie"?.. "ndio mwenyewe, za wapi mwenzangu?" "masomoni south" "poa tupo pamoja safari iwe njema". Mimi... safari njema my dada. Nilipata mashaka sana na jamaa aliekaaa nae. Baada ya hapo ikawa skendo kwenye skendo. Kwa kweli tokea siku kila nikimuona kwenye media basi najisikia huruma sana nilijua maisha anayochagua kuishi sio kabisa wanaoishi south africa wanajua vizuri haya mambo. Sasa hapa ukiunganisha dots za wakina chifupa, aliekuwa mkurugenzi wa TBS akafia Tanga, na wengineo. Nakubaliana na wewe kifo kipo lakini kinakuwa na sababu.
She created her own destiny... Epuka sana show off za mitandaoni... Zitakuja kuwa bakora kwakoHabari wana jamii, nimesikitishwa sana na kifo cha Video quen maarufu Agnes Gelard almaarufu Masogange, Pia nimesikitishwa hasa na watanzania tulivyo kuwa hatuna utu yaaninkuna watu wanmpost Agnes mitandaoni huku wakitoa na maneno ya kashfa ambayo hayafai kumtole Maiti kingine ambacho nashindwa kuelewa na nimesikitishwa zaidi ni jinsi picha ambazo watanzania wanatumia kumpost humo mitandaoni marehemu Masogange yaani ni picha chafu ambazo hazina maadili kwa umma nnacho kishangaa ni jee Masogange hana picha nzuri za staha ambazo watu wanaweza kuzitumia kuposti mitandaoni kushow apreciation? au ndio muendelezo wa kumzihaki marehemu?.
Kitu kingine ni hili swala la watu wanaohoji na kuhusisha kifo cha masogange na kikundi cha watu furani, yaani watu wanaamini Masogange hajafa bure yaani kuna watu wanahusika katika kifo chake, yaani kwa maana hiyo watu wanapuuza taharifa zilizotolewa hospitali kuwa marehemu alilazwa kwa siku nne kwa maradhi ya Pumu pamoja na upungufu wa damu,Nadhani wengi tunajuwa pumu likikubana unakuwa katika hali gani. Mimi mwenyewe nimeshawahi kuumwa Pumu mara kadhaa katika umri wangu kwa hiyo na declare interest Pumu ni ugonjwa hatari sana pale linapokuamulia kukushika haswa maana linahusiana moja kwa moja na mfumo wa upumuaji,Pia tunajuwa madhara ya upungufu wa damu lakini pia tujuwe kuwa Masogange hakupelekwa hospitali bali hospitali alikwenda yeye mwenyewe baada ya kuzidiwa na ugonjwa wa pumu.
Naumia sana nnapo waona watu niliyokuwa nawaheshimu kama Mshana Jr naye ni miongoni mwa watu wanaohusisha kifo cha masogange na kikundi cha watu furani kupitia post zake tofauti zilizopo humu jukwaani.
Nnacho kiona hawa watu wote wanaokihusisha kifo cha masogange na kufanyiwa njama na watu flani naona ni upungufu wa akili pamoja na ukosefu wa kazi za kufanya kutokana na fikira zao finyu.
Masogange kafa kama Mwenyezi Mungu alivyotuambia katika Qur'an "Qullinafsi Dhaaikatul Mauti" Kila nafsi yenye uhai au yenye roho itaonja umauti. Kikubwa niwahusiye nafsi zenu wana jukwaa pamoja na kuihusia nafsi yangu jamani tumcheni Mola wetu haya maisha ya duniani ni mafupi mno huyo Masogange kafa nadhani hata miaka 35 hajafikisha leo yeye Masogange kesho ni mimi au wewe unaesoma uzi huu, jee umejiandaaje na siku yako ya kufa jee umejiandaaje na safari yako ya mwisho ya kurudi kwa Mola wako. Tuacheni kuchukulia matatizo ya watu wengine na kuyahusisha na masuala ya kisiasa. Kuna watu walinishangaza zaidi eti wanahitaji Postmoterm ya kifo cha Masogange wakati wanajuwa fika kama marehemu alikuwa anaumwa Pumu, jee wangapi hawajuwi kama pumu linauwa? nadhani wote tunajuwa kuwa Pumu linauwa na ndilo lililosababisha kifa cha mpendwa wetu Masogange.
Mwisho nitowe ushauri kwa wadada wote watakao soma uzi huu, tuangalie sana picha tunazozipost kwenye mitandao yetu ya kijamii zinaweza kuja kukuharibia sifa zako hapo baadaye maana picha zako zinaishi wewe mwenyewe hauishi muda mrefu. Agnes Masogange awe funzo kwenu maana R.I.P zote anazopewa ukianga photo attachment moyo razima uume hii nikutokana ndio picha nyingi alizokuwa nazo labda kwenye akaunti zake za social media. Lakini hata kama mtu alikuwa na matendo mabaya kwa wewe hnavyohisi sio vizuri kutoa aibu zake hadharani maana kwa sisi waislamu Mtume Muhammadi S.A.W anasema msithubutu kutoa aibu za maiti zenu hilo sio jambo jema kabisa.
Mwisho kabisa nasikitika Marehemu Masogange kaondoka hali yakuwa ndoto zangu hazijakamilika hata kidogo. Hakuna anayebisha Marehemu alikuwa ni mrembo haswa na mimi ni miongoni mwa wanaume wachache sana tuliyofanikiwa kuuona uzuri wa Masogange na nilikuwa nipo kwenye process za kutaka kwenda kwao na kupeleka barua ya uchumba. sio siri nimesikitika sana basi japo hata ningepata japo hata salamu yake tu kabla hajafa ili atleast ndoto yangu ifikie japo hata robo.
All in all Mungu ailaze roho ya marehemu Agness mahali pema peponi na Mwenyezi Mungu ampe kauli thabiti marehemu.
mkuu sijasema nimedhini nadhani umesoma hadi mwisho lakini hukunielewa nimesema kuwa nimeuona uzuri wake nadhani uzuri huo hata wewe kama una macho mazuri unaweza kuuona na nimekili kabisa kuwa nilikuwa nipo kwenye process za kuandaa barua ili ipelekwe kwa wazazi wake ili kuwa mchumba wa marehemu na ndio maana nikasema nahudhunika Agnes kaondoka sijapata hata salamu yake mkuu
asante mkuu kwa kunielewasasa nimekuelewa asante sana nilikuwa nimefiria umezini sorry nimekuelewa vizuri
Mkuu usiwe mbishi umechemka tena hata usingetaja dini yako,wewe kama unaoa kwa kuangalia uzuri wa sura pekee unashida.Niltegemea utuambie umempenda kwa sababu anaswali sala tano,anajitunza kwa kuvaa hijabu.Wewe umewaibisha waislam na tunawasiwasi kama ni muislam kweli au ni muislam jina au ni mpenzi wa yule jamaa "neema za Allah?"mkuu sijasema nimedhini nadhani umesoma hadi mwisho lakini hukunielewa nimesema kuwa nimeuona uzuri wake nadhani uzuri huo hata wewe kama una macho mazuri unaweza kuuona na nimekili kabisa kuwa nilikuwa nipo kwenye process za kuandaa barua ili ipelekwe kwa wazazi wake ili kuwa mchumba wa marehemu na ndio maana nikasema nahudhunika Agnes kaondoka sijapata hata salamu yake mkuu
nnacho pingana na Mshana Jr ni kuhusianisha kifo cha Masogange na kikundi flani cha watu hicho tu... kwa maana hiyo Mshana Jr anapingana na maelezo ya madaktari, yaani kwa lugha nyepesi mshana anabisha na report za wataalamu wa afya kama kweli tumefikia hatua ya kupingana na report za wataalamu sisi kama taifa tumefikia hatua mbaya sana na si kitu kizuri kikubwa tunatakiwa tuwaamini wataalamu kwa mtindo inamaanisha kuwa wewe unabisha kuwa pumu haiwezi kumuua mtu si ndio?Mkuu usiwe mbishi umechemka tena hata usingetaja dini yako,wewe kama unaoa kwa kuangalia uzuri wa sura pekee unashida.Niltegemea utuambie umempenda kwa sababu anaswali sala tano,anajitunza kwa kuvaa hijabu.Wewe umewaibisha waislam na tunawasiwasi kama ni muislam kweli au ni muislam jina au ni mpenzi wa yule jamaa "neema za Allah?"
Huweza ukaja kwenye public kuweka wazi mambo yako ya uchumba kwa huyo marehemu au unadhani hujulikani wewe ni nani?@Mshana Jr yuko sahihi sema level zake za kuelezea ziko juu umeshindwa kumwelewa,watu wamemwelewa that is why post yake ina like 100+ wewe mpaka naandika huna hata like moja kwenye kitabu chako,jifunze kwa wengine mkuu.Mimi nakushauri umpokee Yesu ,mke mwema anatoka kwa Bwana huku hatuangalii uzuri peke yake ndoa ni zaidi ya uzuri wa sura ya mwanamke.
Hakafu inshu ya kupata Likes kwenye post sio kama ndio umeandika point hasa no sio kweli maana kuna post kibao za madudu ambazo zina Likes nyingi kuliko hii kwa munajili hiyo Likes hazi detemine ubora wa uzi wakoMkuu usiwe mbishi umechemka tena hata usingetaja dini yako,wewe kama unaoa kwa kuangalia uzuri wa sura pekee unashida.Niltegemea utuambie umempenda kwa sababu anaswali sala tano,anajitunza kwa kuvaa hijabu.Wewe umewaibisha waislam na tunawasiwasi kama ni muislam kweli au ni muislam jina au ni mpenzi wa yule jamaa "neema za Allah?"
Huweza ukaja kwenye public kuweka wazi mambo yako ya uchumba kwa huyo marehemu au unadhani hujulikani wewe ni nani?@Mshana Jr yuko sahihi sema level zake za kuelezea ziko juu umeshindwa kumwelewa,watu wamemwelewa that is why post yake ina like 100+ wewe mpaka naandika huna hata like moja kwenye kitabu chako,jifunze kwa wengine mkuu.Mimi nakushauri umpokee Yesu ,mke mwema anatoka kwa Bwana huku hatuangalii uzuri peke yake ndoa ni zaidi ya uzuri wa sura ya mwanamke.
Kijana niliposema Mshana ameelezea vitu vya level ya juu kuliko wewe ulinielewa?Siwezi kuweka wazi kila kitu,kama hujamwelewa tulia tuliomwelewa unaona tumetulia.nnacho pingana na Mshana Jr ni kuhusianisha kifo cha Masogange na kikundi flani cha watu hicho tu... kwa maana hiyo Mshana Jr anapingana na maelezo ya madaktari, yaani kwa lugha nyepesi mshana anabisha na report za wataalamu wa afya kama kweli tumefikia hatua ya kupingana na report za wataalamu sisi kama taifa tumefikia hatua mbaya sana na si kitu kizuri kikubwa tunatakiwa tuwaamini wataalamu kwa mtindo inamaanisha kuwa wewe unabisha kuwa pumu haiwezi kumuua mtu si ndio?
Halafu mkuu kwenye inshu ya kuchaguwa mke wa kuishi naye kila mwanaume ana sifa zake anazozijuwa kwa mkewe mtarajiwa, labda nikupe siri tu kwanza katika sifa zangu katika kuchaguwa mke kwanza huwa naanza kuangalia physical apearance ya huyo mwanamke ikinivuti then mambo mengine yanafuata, halafu pia umebugi mkuu sio kila mtu anayevaa kistara basi ni mstaarabu wapo wanaovaa kistara lakin ni wachafu kuliko huyo anayevaa nusu uchi, Kingine cha kiongezea mkuu mimi ninaamini sana kila mtu ana second chance na katika second chance hiyo mtu anaweza akabadili na akawa tofauti sana na alivyokuwa akiishi mwanzoni mimi katika imani yangu niliamini kabisa second chance ya Masogange ilikuwa ipo kwangu namaanisha angeweza kabisa kubadilika endapo tungeweza kuishi wote nilikuwa nipo tayari kurisk kwake ili pia nipate mathawabu mengi sana kwa ajili ga kumbadilisha yeyeMkuu usiwe mbishi umechemka tena hata usingetaja dini yako,wewe kama unaoa kwa kuangalia uzuri wa sura pekee unashida.Niltegemea utuambie umempenda kwa sababu anaswali sala tano,anajitunza kwa kuvaa hijabu.Wewe umewaibisha waislam na tunawasiwasi kama ni muislam kweli au ni muislam jina au ni mpenzi wa yule jamaa "neema za Allah?"
Huweza ukaja kwenye public kuweka wazi mambo yako ya uchumba kwa huyo marehemu au unadhani hujulikani wewe ni nani?@Mshana Jr yuko sahihi sema level zake za kuelezea ziko juu umeshindwa kumwelewa,watu wamemwelewa that is why post yake ina like 100+ wewe mpaka naandika huna hata like moja kwenye kitabu chako,jifunze kwa wengine mkuu.Mimi nakushauri umpokee Yesu ,mke mwema anatoka kwa Bwana huku hatuangalii uzuri peke yake ndoa ni zaidi ya uzuri wa sura ya mwanamke.
Sijapingana na ripoti yoyote wala sijatoa conclusion yoyote.... Hii mada ina pande mbili. Upande wa kwanza ni mauaji ya moja kwa moja ya Chalinze... Hakuna hata mmoja aliyejishughulisha kuuliza nimejuaje mambo ya kipelelezi na ya ndani kwa kiasi kile..... Hakuna!!!nnacho pingana na Mshana Jr ni kuhusianisha kifo cha Masogange na kikundi flani cha watu hicho tu... kwa maana hiyo Mshana Jr anapingana na maelezo ya madaktari, yaani kwa lugha nyepesi mshana anabisha na report za wataalamu wa afya kama kweli tumefikia hatua ya kupingana na report za wataalamu sisi kama taifa tumefikia hatua mbaya sana na si kitu kizuri kikubwa tunatakiwa tuwaamini wataalamu kwa mtindo inamaanisha kuwa wewe unabisha kuwa pumu haiwezi kumuua mtu si ndio?
......ndio mwaaaalimmm !Hivi kuna mtu hajaelewa kilichoandikwa?
Sidhani kama unaijuwa tafsiri sahihi ya kutulia, ungekuwa umetulia nisingeona post yako hapa kubishana na mimi mkuu.. Tatizo lako wewe unaishi kutokana na nani kasema nini nakushauri jaribu kutumia kichwa chako na wewe kudadavua mamboKijana niliposema Mshana ameelezea vitu vya level ya juu kuliko wewe ulinielewa?Siwezi kuweka wazi kila kitu,kama hujamwelewa tulia tuliomwelewa unaona tumetulia.