Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Mshana katoa fact and fiction zake na hakuconclude. Wewe msomaji utajaza. Jiulize huyu binti alikosa pesa za kwenda Kairuki, Agha Khan, Muhimbili kuongezewa damu hata angepigia simu watu kumi si wangekwenda kumpeleka na angekosa damu fasta? Pneumonia inatibika especially kwa kijana kama yule siyo mtoto wa miaka mitatu au mzee wa miaka 90.
Pneumonia tena?
 
Kila nafsi itaonja umauti, iwe mimi, Wewe, na mwingine huu ni ukweli mchungu ambao binadamu wengi hawapendi kuusikia. Ndio maana siku zote panapotokea umauti watu hawakosi sababu .

Siku yako ikifika hata mtu akitua kidole cha macho unaondokaa. Tufanye yoteee ila Iko siku tutakua ni Mauti Kama Agnes na wengineo waliotangulia.

Kifo ni moja ya ibada Kwa tuliopo Hai tupate kujifunza na kukubali kwamba kifo kipo hakikwepeki na ndipo watu Kwa kipindi hiki neno Mungu litatamalaki midomoni mwa watu. Hujui Kwa kupitia kifo cha Agness Wangapi watazaliwa upya kiroho .

Tufanyeee yote ila tukumbuke kuna kufaa hata Ukiwa MA Pesa kiasi gani, hate Ukiwa na nguvu kiasi gani utaondoka. Na Kama siku yako haijafika Hutokufa abadani.
 
Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Wewe mwanamke acha ujinga kwenye mambo ya msingi masuala ya maandamano hapa tena yanatoka wapi.

Na kwa taarifa yako hayo maandamano sidhani kama mtaweza kuyafanyaaa naaapa kabisaaa hayatoweza kufanyika na wewe utakuwa shahidi hapa kuwa dottoz aliandika.

Nakuambia tenaaa maandamano hayatafanyika na hata yakifanyika mtakijua nini kitatokea mtavunjwa miguu na mimi nitasupport mvunjwe miguuu woteeeeeee hata muuliwe tu maana mtaharbu amani ya Tanzania yetu.

Asante na meseji sent and delivery....
 
Weee usinichambie shoga angu kaa mbalii
 
Uliyosema ni kweli 100% Angefungua mdomo wangapi wangeokoka? Sema hivi bado nchi yetu ina watu Untouchable ambao wanaweza fanya lolote lakini polisi, takukuru au mtu yeyote akafumba macho. Huyu binti kweli alikaa kimya miaka hii yote tangu atoke SA?
Kumbuka akina Al Capone kule US walivyokuwa wakinyamazisha gang member wa upande wa pili. Madawa ni sensitive issue siyo tu TZ bali dunia nzima. Ukishaingia ujue roho yako umeikabidhi kwenye gang.
Huyo itakuwa wenzake washampiga chini.

Nina wasi wasi huo 98% maana biashara za madawa siza kisport sport aiseeeee.
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Inaoneka na Wew ni mmoja wakundi lake Mbona povu linakutoka sana
Kilicho andikwa kipo wazi kabisa
 
Mshana katoa fact and fiction zake na hakuconclude. Wewe msomaji utajaza. Jiulize huyu binti alikosa pesa za kwenda Kairuki, Agha Khan, Muhimbili kuongezewa damu hata angepigia simu watu kumi si wangekwenda kumpeleka na angekosa damu fasta? Pneumonia inatibika especially kwa kijana kama yule siyo mtoto wa miaka mitatu au mzee wa miaka 90.
Nyie ...mnataka kifo cha Agnes's kiwe mjadala
 
Mm naona Agness amekufa kama watu wengine wa kawaida ....tukizungumzia kuhusu kuuza madawa ..mm naona wengi wanauza tena sana.

Kwaiyo kuuza madawa nimoja ya harakat za kimaisha Japo sio Rasmi.

Tuache watu waishi maisha wanayoyataka ...kwani kama kifo kipo tu uwez kukikwepa . As If utumii madawa na kuuza.

Mshana Jr umeeleweka lkn sio sawa kumdis Late Agnes
Niliomba radhi lakini niliona kiwango cha unafiki wa binadamu.... Wale wale waliokuwa wanamsema vibaya sana ndio hao hao saivi wanajifanya wana machozi mengi na huruma nyingi sana.... Hayo hayamsaidii marehemu kufika peponi
 
RPC wa Pwani anajua taarifa kama hiyo mezani kwako au
 
Inasemekana alitaka kuwataja WATU FULANI,,,PENDWA WA INCHI hii,,,na hao watu wameshatajwa,,,ndy waliotekeleza mauaji hayo,,,,huko INSTAGRAM....likiwemo lile BABU JINGA
 
Back
Top Bottom