Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,071
- 1,551
Ila mkuu inapaswa tumpongeze ngd yetu amefaulu mtihani wa kifoSahihi kabisa
Ila mkuu inapaswa tumpongeze ngd yetu amefaulu mtihani wa kifoSahihi kabisa
Asante sana kakaHongera kwa uchambuzi mzuri mkuu .
Ukweli nikwamba ukishajiingiza kwenye hii biashara kwa nafasi yoyote siku ukijitoa au kukamatwa tayari kwao ninuksi nahivo, huangalia kipi kitakua cha faida kwao, Mtu kua hai au mty kufa.
Nakwakua mtu kufa inafaida mara mbili ya mtu kua hai ..basi lazima kitokee kikichotokea
Uchunguzi ufanyike vzuri otherwise yale yale ya Ngwea ...nipeni dili masela nikamate mahela.
Kwa kweli nisijipe tabu mieHivyo hivyo nimonia ndugu yangu, usijipe tabu.
Sasa ni wapi nimesama kwamba sio vitu viwili tofauti ?Blown covers na double agents ni vitu viwili tofauti.
Blown cover ni ile hali ya muhusika kujulikana. Agents kugundulika ,hii ni mbaya sana maana huwa .ni kama ame fail. Kwenye training za CIA wanasema first rule "never get caught" kwa kiswahili sheria ya kwanza " usikamatwe".
Iwapo ikitokea hivyo inakuwa ni risk ,na inahatarisha mission aliyotumwa, so superiors wa huyo agent lazima wamuondoe kwenye mission ili ku prevent damage.
Double agents hawa ni spies wanao spy pande mbili zote bila kujulikana. They can be both arsenist and fireman at the same time bila kujulikana.
Mbona upo pande zote mbili?Wewe mwanamke acha ujinga kwenye mambo ya msingi masuala ya maandamano hapa tena yanatoka wapi.
Na kwa taarifa yako hayo maandamano sidhani kama mtaweza kuyafanyaaa naaapa kabisaaa hayatoweza kufanyika na wewe utakuwa shahidi hapa kuwa dottoz aliandika.
Nakuambia tenaaa maandamano hayatafanyika na hata yakifanyika mtakijua nini kitatokea mtavunjwa miguu na mimi nitasupport mvunjwe miguuu woteeeeeee hata muuliwe tu maana mtaharbu amani ya Tanzania yetu.
Asante na meseji sent and delivery....
Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Jamani kaenda na utamu wote hou
Umesikia kauli ya mkuu jana kule magogoni? Huchelewi kujikuta upo kwa pilato.Hivi hicho kifo ni kitu cha ajabu sana kiasi kwamba wa Tanzania au tuseme wana Darisalam kuahamishie akili zetu natural thing kiasi kwamba tunasahau 1.5 trillion ?? Tunasahau 26.4
Acha kuharibu biashara za watu wewe, kwahyo hizi hospital unazozijua ukienda kutibiwa hufi??? Mbona nyerere na wengine wengi wamefia hospital kubwa sana huko nje.
Halafu nani kakwambia kifo kinatokana na ugonjwa mkubwa na sio mdogo, kwa uelewa wako category ipi ni ya magonjwa makubwa au madogo. Kifo ni kifo tu hata kupaliwa na mate yako kunaweza kukuondoa.
Mkuu ni hivi. 1. Mtu akiwa sehemu A na akiugua ghafla, hukimbizwa hospital yoyote iliyo karibu na eneo A kupata huduma ya kwanza ndiyo baadae yanafuata mengine. 2. Mtu anaweza kuugua ugonjwa mdogo akaenda hospital ya kawaida sana lakini kwa sababu moja ama nyingine akafariki kwa ule ugonjwa ulioonekana kama mdogo. Na senario nyingine nyingi...
Hujajibu maswali niliyokuulizaNakushangaa unanishambulia kuwa naharibu biashara za watu, nilichoseam ni hiki, NARUDIA TENA, Kwa level aliyokua Mama Ngoma ni hospitali yenye level ya KAWAIDA KABISA usitishwe na uzuri wa jengo,
Hujajibu maswali niliyokuuliza
Inawezekana hawakuona. Au ilizuka complication isiyotarajiwa.Wanasema Marehemu amelazwa siku 4, Je hawakuona mabadiliko yaliyohitaji RUFAA kwenye hospitali KUBWA??
Wapo tena wengi.Hivi kuna mtu hajaelewa kilichoandikwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu naanza kuelewa ni kwanini mizimu ya ukoo wenu illikuchagua uitunze.♀️♀️♀️♀️