Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Nilikumbuka jana baada ya kifo chake kuwa niliwah sikia tetesi tena kwa mtu wa karibu sanaa naye na pia kuna jamaa mmoja sharobalo sharobalo toka pande za ununio naye alimla nikawa siamini amini...
Lile ta.ko lotee lisingemuacha salama
 
Mashaka ya watu ni hospitali aliyofia, pale kwa mama ngoma ni pa kawaida sana tukubali/tukatae (uzuri wa jengo sio usasa wa matibabu) nimetibiwa mara nyingi mno pale.

Magonjwa yanayosadikiwa kumuondoa ni ya kawaida sana tena yenye matibabu pale National Hospital/Agha kan na kwingineko,

Kama pale waliona dalili mbaya kwa mgonjwa kwanini wasimpe rufaa?? haiingii akilini mtu anakufa gafla bila kuonesha dalili za kuzidiwa

Mwisho wa siku maiti ndiyo inapewa rufaa
Eti mtu anaishiwa damu ikikosekana ya kumuongezea naona kama kifo cha kizembe nahisi angekua Sa asingekufa
 
Hii misambwanda itatumaliza wanaume wa Kiafrika...halafu hyo kitu wenye majina makubwa wengi si wameipanda
Lkn anaweza kuwa ameuawa then wauaji wanasingizia gonjwa la kizungu kwa kuwa wanajua analo so,wanapindisha mjadala!
Yap ila ukweli wanaujua
Chura hizi nzuri
 
Hii misambwanda itatumaliza wanaume wa Kiafrika...halafu hyo kitu wenye majina makubwa wengi si wameipanda
Lkn anaweza kuwa ameuawa then wauaji wanasingizia gonjwa la kizungu kwa kuwa wanajua analo so,wanapindisha mjadala!
Daaah mkuu acha tu,,hata mimi pale ningekuwa pedeshee hapa mjini ningeingia tu aisee kufa kupo siku zotee na kila siku watu wanakufa na wengne wanazaliwa.

Tatzo kubwa ni kufa mapema ujanani.
 
Kaka mshana ume weka conspiracy theory about her death.
Kwa mtazamo wangu who ever started this chain, ana cover tracks zake. How? Kuna damage kubwa iluyofanyika wakati wa zile kesi za madawa ya kulevya. Some interested sides maslahi yao yaliguswa, na nilijua ni suala la muda tu wata respond kwa kuondoa wale wote ambao kwao ni threats ama loose ends.
Sitaki ku conclude kuwa hii ndio real reason but i am sharing my concerns
 
Yaani ninavyoona hadi tarehe 30042018 Tz kila siku kutakuwa kunatokea tukio kubwa

Lengo lao wanalijua wao wenyewe.

Mungu amlaze mahala anapostahili.

Sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi.
 
Nilikutafuta Kaka Mshana jr.
Mie ndo nakabidhi lindo la Mochwari hapa MuH2
Nlimuwahi akiwa wa motomoto
Ka

Kifo kinikatiri...cjakubali
Nilitaka japo niwemo kwenye orodha...

S
Na siye wamwituni tumo

Ila kaka Umesema kweli tupu
R. Kelly ktk wimbo wake uitwao be careful kuna maneno anasema;
"Be careful in what you say to me bcoz it might turn around on you, be careful in what you do to me bcoz somebody might dob it to you"

Mi nakushauri kuwa makini na hilo ulilolisema juu ya mwenzio kwa sababu linaweza likasemwa pia wewe utakapokufa. Si vyema kuweka mzaha kama huu wakati mwenzio kafa. Sikatai upo utani lakini sio kama huu wako.


Unadai ulitaka umuwahi wa moto moto, kumbuka kuna watu watataka wamuwahi dada, mwanao, shangazio au mama yako akiwa wa "motomoto" siku atakapokufa. Najua ntakukera kwa maneno yangu haya ila nimetaka nikuzindue maana umejitoa ufahamu
 
Acha u k wewe shog**** ..
Yaaan jf ndo ingekubali kutoa taarifa za mwana jamii wewe ni mmojawapo hata wakikutoa roho sawa tu.
 
namna pekee ya kusolve "blown cover" agents ni kuwaua? kuna more than that nyuma ya pazia maana ashajulikana tokea muda kuhusu biashara yake hiyo the real question is "WHY NOW"??
R.I.P Agness
I think the answer is walikuwa wanasubiri ile case ipoe. Why? Because wange strike wakati kesi bado ya moto, mashaka yangeendelea kuongezeka na pressure ya kesi ingezidi kukua.
So the only option left, ni ku strike katika muda ambao not even muhusika anatarajia, katika muda ambao hiyo kesi imepoa ...
 
I think the answer is walikuwa wanasubiri ile case ipoe. Why? Because wange strike wakati kesi bado ya moto, mashaka yangeendelea kuongezeka na pressure ya kesi ingezidi kukua.
So the only option left, ni ku strike katika muda ambao not even muhusika anatarajia, katika muda ambao hiyo kesi imepoa ...
Aiseee kama kifo kingemkuta bado hajamaliza kesi yake ile,nahisi mambo mengi yangeharibika na uchunguzi zaidi ungefanyika...

Kama kweli wamefanya hvyo basi wametumia akili kubwa sanaaaaaa ,,plan yao si ya kimchezo mchezo....
 
Back
Top Bottom