Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

Mjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Sehemu gani kuna maandano kwenye post ya Mshana? Unakuwa kama unajisaidia porini na umeona nyoka
 
Mngekuwa walau mnajikita kuangalia theme ya mtoa maada mngegundua kuwa hiki kifo kinauwezekano mkubwa wa mtandao wa madawa.

Huenda ikawa kati ya wale watatu aliowafahamu yule binti aliyekufa mwanzo huenda Agness alikuwa miongoni mwao

Kuwa alikuwa ameacha siku nyingi na akawa mtu wa ibada haina mashiko kwa kuwa hata walioko makanisani pia ni drug dealers wazuri tu.

Kusema ni kifo cha kawaida kwa kuwa wengi wanauza hayo madawa pia haina mashiko kwa sababu huyu inawezekana threat yake kwa aliokuwa anafanya nao biashara ni kubwa na huenda either angeishia kuwataja ama pia ni kisasi kwa mauaji yaliyopita kama mtoa maada alivyoeleza.

Lakini pia ngoja tuwe na subira tutapata report iliyokamilika. Kama ni typhoid tunayoijua tutasikia, kama ni pandikizi la typhoid tutasikia, kama ni sumu ya kumuua taratibu tutasikia a lot of predictions zitaleta moja ya ukweli
R.I.P
Jana nilimsikia yule mwenyekiti wa waigizaji akisema chanzo cha kifo chake ni pumu. Ilimbana gafla lakini ukiwaangalia usoni wenzake unajua kuna jambo nyuma ya pazia.
 
Mashaka ya watu ni hospitali aliyofia, pale kwa mama ngoma ni pa kawaida sana tukubali/tukatae (uzuri wa jengo sio usasa wa matibabu) nimetibiwa mara nyingi mno pale.

Magonjwa yanayosadikiwa kumuondoa ni ya kawaida sana tena yenye matibabu pale National Hospital/Agha kan na kwingineko,

Kama pale waliona dalili mbaya kwa mgonjwa kwanini wasimpe rufaa?? haiingii akilini mtu anakufa gafla bila kuonesha dalili za kuzidiwa

Mwisho wa siku maiti ndiyo inapewa rufaa
Mkuu ni hivi. 1. Mtu akiwa sehemu A na akiugua ghafla, hukimbizwa hospital yoyote iliyo karibu na eneo A kupata huduma ya kwanza ndiyo baadae yanafuata mengine. 2. Mtu anaweza kuugua ugonjwa mdogo akaenda hospital ya kawaida sana lakini kwa sababu moja ama nyingine akafariki kwa ule ugonjwa ulioonekana kama mdogo. Na senario nyingine nyingi...
 
Mtu alilazwa kisa typhoid na kupungukiwa damu.

Naamini hata ripoti ya post mortem bado.

Naamini hakuna aliyeiona.

Kisha unakuja uzi wa kulink kifo cha typhoid na drug dealing.

Amejulikana tangu enzi za Ngwea kufia South.

Kama aliwataja wangekua wameshakamatwa.

Let's not feed over deaths
Hizi pia ndio sababu za kutilia mashaka ya kifo cha aggy.
Mwenyekiti wa bongo movie anasema tena mbele ya waandishi kuwa aggy amekufa kwa pumu iliombana gafla.
Ila muda utasema yote
 
Mashaka ya watu ni hospitali aliyofia, pale kwa mama ngoma ni pa kawaida sana tukubali/tukatae (uzuri wa jengo sio usasa wa matibabu) nimetibiwa mara nyingi mno pale.

Magonjwa yanayosadikiwa kumuondoa ni ya kawaida sana tena yenye matibabu pale National Hospital/Agha kan na kwingineko,

Kama pale waliona dalili mbaya kwa mgonjwa kwanini wasimpe rufaa?? haiingii akilini mtu anakufa gafla bila kuonesha dalili za kuzidiwa

Mwisho wa siku maiti ndiyo inapewa rufaa
Acha kuharibu biashara za watu wewe, kwahyo hizi hospital unazozijua ukienda kutibiwa hufi??? Mbona nyerere na wengine wengi wamefia hospital kubwa sana huko nje.


Halafu nani kakwambia kifo kinatokana na ugonjwa mkubwa na sio mdogo, kwa uelewa wako category ipi ni ya magonjwa makubwa au madogo. Kifo ni kifo tu hata kupaliwa na mate yako kunaweza kukuondoa.
 
Kila nafsi itaonja umauti, iwe mimi, Wewe, na mwingine huu ni ukweli mchungu ambao binadamu wengi hawapendi kuusikia. Ndio maana siku zote panapotokea umauti watu hawakosi sababu .


Siku yako ikifika hata mtu akitua kidole cha macho unaondokaa. Tufanye yoteee ila Iko siku tutakua ni Mauti Kama Agnes na wengineo waliotangulia.

Kifo ni moja ya ibada Kwa tuliopo Hai tupate kujifunza na kukubali kwamba kifo kipo hakikwepeki na ndipo watu Kwa kipindi hiki neno Mungu litatamalaki midomoni mwa watu. Hujui Kwa kupitia kifo cha Agness Wangapi watazaliwa upya kiroho .

Tufanyeee yote ila tukumbuke kuna kufaa hata Ukiwa MA Pesa kiasi gani, hate Ukiwa na nguvu kiasi gani utaondoka. Na Kama siku yako haijafika Hutokufa abadani.
Hata jiwe linakufa mkuu
 
Hizi pia ndio sababu za kutilia mashaka ya kifo cha aggy.
Mwenyekiti wa bongo movie anasema tena mbele ya waandishi kuwa aggy amekufa kwa pumu iliombana gafla.
Ila muda utasema yote
Mwenyekiti wa Bongo Movie?

Binti hajawahi hata kuigiza kwenye tangazo la pipi.

Bongo movie wanatoa wapi mamlaka ya kumsemea mtu siyo mwanachama wao?

Tusubiri ripoti ya post mortem.
 
Mtu alilazwa kisa typhoid na kupungukiwa damu.

Naamini hata ripoti ya post mortem bado.

Naamini hakuna aliyeiona.

Kisha unakuja uzi wa kulink kifo cha typhoid na drug dealing.

Amejulikana tangu enzi za Ngwea kufia South.

Kama aliwataja wangekua wameshakamatwa.

Let's not feed over deaths
Kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri sikushangai hata kidogo. Ila ungepata muda kidogo ukafuatilia umafya wanaoufanya gangs walioendelea pale wanapodhulumiana au kusalitiana ungeweza kufikiri nje ya box.
Kumbuka kupigana risasi, kikatana mapanga, kuchomana visu, kulishana sumu za kuua within a short time ni mbinu dhaifu sana kwa watu wanaotaka kutoa uhai wako bila hata kuwa suspected. Watu walishabuni mbinu nyingi kukusababishia slow death na zimekuwa zikitumika. Pia kumbuka post mortam anafanya binadamu wa kawaida kabisa ambaye kwa nchi yetu hii kuyapindua matokeo haimchukui hata sekunde.
Ipo mifano mingi ili sio wakati wake saasa. Anyway R.I.P Masogange mm nitaendelea kufikiri nje ya box kwanza kabla sijaamua kulifunga jalada.
 
Suala la Agnes ni suala sensitive sana sidhani kama ni sahihi kuja na fiction zako ambazo hazina mashiko yoyote. Watanzania tujaribu kuwa tunaongea kitu ambacho tuna ushahidi wa kutosha.
 
Haya basi,Kufa ni lazima.
Its the most certain thing a human being can be sure of.Alafu alilazwa siku nyingi.Amefariki kwa Typhoid.Just a natural death.Sidhani kama alikuwa na madhara tena kwenye biashara ile.Alidrop akaanza kujisogeza karibu na ibada.She was targeted alipokamatwa south.So hakuwa mtu sahihi tena kumpa kazi.
Taifodo inaua vibayaaaaa!Taifodi ni unakula uchafu
 
Ukitaka kujua hii biashara ya drugs abuse, ikoje tazama picha hizi
1:Falcon Rising
2:Get rich or die trn
3:hii nimeisahau kidogo
Hii biashara ina system ndefu sana, ina miziz mirefu sna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom