Tunaishi kwa Neema Tu

Tunaishi kwa Neema Tu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,796
Reaction score
60,626
Binadamu akija kuelewa vizuri maana ya kifo, nadhani atapunguza sana majivuno na mashindano yasiyo na mwisho. Ukweli ni kwamba sisi wote ni wapita njia. Wengi tuliokuwa nao jana walikuwa na ndoto kubwa kuliko zetu, walikuwa wanapanga kujenga, kununua magari, kusafiri na kufurahia maisha. Leo hawapo. Watu kama Kanumba, Godzilla, Sharo Milionea, Agnes Masogange,mc pilipili na wengine wengi walikuwa na mipango yao kama sisi, lakini maisha yao yalifika mwisho ghafla.

Kitu cha kushangaza ni kwamba baada ya muda hata kumbukumbu zetu zinafifia. Dunia inaendelea kama kawaida. Ndiyo maana naona ni muhimu kuthamini zawadi ya kuamka salama kila siku. Unaweza ukaamka huna hata mia mfukoni, lakini una afya, una uwezo wa kutembea, kuona, kuzungumza na kupumua. Hicho peke yake ni kitu kikubwa kuliko tunavyofikiria.

Tatizo letu ni kwamba tumepofishwa na hela kiasi cha kuona kama ndiyo kipimo pekee cha mafanikio na furaha. Kumbe ukweli ni kwamba hakuna anayejua kesho yake. Kila siku maelfu ya watu duniani wanaondoka, na kesho maelfu wengine wataondoka pia. Hiyo inatukumbusha kuwa kifo kinatembea nasi kila siku.Jinsi unavyofurahia kuongezeka kwa umri ndo jinsi unakikaribia kifo.

Kwa hiyo kabla ya kujilinganisha na wengine, kabla ya kuona maisha yako hayana maana kwa sababu huna hiki au kile, kumbuka jambo moja: tunaishi kwa neema tu. Kila siku unayopewa ni zawadi ambayo watu wengi walitamani kuipata lakini hawakuipata.
 
💯💯💯
 
Mkuu ndege JOHN
 
Kwe

Ni kweli kabisa
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom