mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
- Thread starter
- #81
True sayKufanya kitu huku unamuwaza sana mtu mwingine sio vizuri...
Wasafi ni platform kubwa ila upande wa redio imekosa watu wanaojua Radio programming..
Kuna muda pia watu wanapenda kusikiliza new blood..sasa wewe unatoa watangazaji wa times na kuwaleta kwako..changanya new blood watu wapate new taste..na wakishine unatengeneza mizizi yako
Ila pia biashara ya redio kibongo bongo kwa sasa ni ngumu kwani sponsors wamepunguza bajeti zao za matangazo..