Jonijoo ni mtangazaji anaeongoza kuzipa media hasara. Ni mtangazaji mzigo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
20231207_230213.jpg

Alianzia kuonekana pale Times Fm lakini wakubwa hakuwashawishi kumpa kipindi kikubwa hawakuridhika na kiwango chake.

Baadae akatimkia Wasafi FM akapewa kipindi cha Block 89 akafeli kipindi kikafa ilikuwa hasara tu kipindi kilijaa kelele wadhamini hakuna.

Akaletwa Lil Ommy pale Wasafi na akaja na kipindi kipya na ilikuwa jonijo awe msaidizi wa Lil Ommy akakimbia akimuogopa Lily ommy atamficha.

Akakimbilia EFM kwa Majizo. Pale akapewa kipindi cha empire akiwa na B Dozen akuonesha lolote alishindwa Ku add value kipindi kikakosa sponsors listeners wachache Majizo akakifuta kipindi.

Amejaribu kumamishia mchana lakini hali ile ile kipindi hakina mvuto hakina listeners hakuna sponsors. Nacho kimefeli ni hasara tu.

Kwa sasa alichobakiza ni misemo tu ya kukopi kwenye bajaj au malori sijui wahuni sio watu.

Nafikiri ndio mtangazaji mzigo kuwai tokea kwenye urban radio stations.
 
Mwenye zamu ya kununua luku kaja na mshumaa

Aliepewa hela ya kununua sanda karudi kalewa

Wahuni hawacheat wanapendanga tu wanachokiona

Sikuhizi baba hamfokei tena dada wa kazi

Anaeuza supu ya pweza kakimbiwa na mkewe

Jonijo Nilikua namfatilia ila sijui sahivi yuko wapi na anafanya kipindi gani
 
"walio kimbilia kukaa siti ya mbele
wambie gari haiendi tena"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom