Ilikuwa lazima BLOCK 89 Ifutwe/isimamishwe

Ilikuwa lazima BLOCK 89 Ifutwe/isimamishwe

Kulikuwa hakuna ulazima wa kuleta kipindi kama The switch labda walichotakiwa ni kuwaongezea nguvu the block 88.9 hii ndio shida ya kupenda vitu vilivyo tengenezwa.... sioni kipya kwa the switch na kamwe hawawezi kupata wasikilizaji wengi kama walio kuwa nao block 88.9
Very bad..

Huu ndo upuuzi wa ku share...
Diamond ilibidi ahakikishe anamiliki 80% shares..

Damn it.

Bar tender bado iko kwa hewa!!!??
 
Ushauri Wangum wA Mwisho kwa Diamond...

Aachane na huu upuuzi wa Sharing.

WASAFI ni brand yako.

Withdraw your shares... Start your OWN.

You have our back.
 
Hahahaha mondi hajawahi kuwa mwanamke bana. Tatizo sio yeye bali wanaomzunguka na hawezi kujichomoa kwao maana mizizi waliyonayo ni mikubwa mno kijana hawezi kuing'oa yote.
Haahaa...

Mondi ni Mwanamume. That will Stay.

Sema naona kuna ujinga unataka tokea ...
Let us wait.
 
Nipo real sana. Hichi unachokiongea leo akina hater huwa tunakisema kila siku ujue,fatilia utaelewa. Usafini pamechafuka zamani.
Unajiumiza.. Be real.

Karibu USAFINI.
 
Hahahaha mondi hajawahi kuwa mwanamke bana. Tatizo sio yeye bali wanaomzunguka na hawezi kujichomoa kwao maana mizizi waliyonayo ni mikubwa mno kijana hawezi kuing'oa yote.
Una uhakika na hilo!?
 
Nipo real sana. Hichi unachokiongea leo akina hater huwa tunakisema kila siku ujue,fatilia utaelewa. Usafini pamechafuka zamani.

Zamani'

!?

Which Zamani!?
 
Kufanya kitu huku unamuwaza sana mtu mwingine sio vizuri...

Wasafi ni platform kubwa ila upande wa redio imekosa watu wanaojua Radio programming..

Kuna muda pia watu wanapenda kusikiliza new blood..sasa wewe unatoa watangazaji wa times na kuwaleta kwako..changanya new blood watu wapate new taste..na wakishine unatengeneza mizizi yako

Ila pia biashara ya redio kibongo bongo kwa sasa ni ngumu kwani sponsors wamepunguza bajeti zao za matangazo..
 
Joninijo wamemtema ?au amepelekwa kwenye kipindi kingine?

Jonijo anajua sema basi hajapata sehemu ya kutulia

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Bado yupo anafanya Bartender
 
Back
Top Bottom