Wamechemka Sanaa..Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda...,
well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..?
Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki kipindi si kinaweza fanana na kile kilichokuwa kikiruka Times FM miaka ya Nyuma, na kilisimamiwa na Raheem Da prince, Yasin Da King, kikiwa kimebase kwenye uchambuzi wa nyimbo za nje zaidi,
Kumbe hapana, THE SWITCH ya Wasafi fm, yenyewe imeambatana na usajili wa Lil Ommy, Ammy gals, Nick mills na Donald, mwenyeji wao Ray Mshana, kimebase kwenye burudani zaidi, na kuhoji wasanii,
Kwanini Wasafi walianzisha THE SWITCH wakati BLOCK 89 ilikuwepo..?
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinachofanana na THE SWITCH pia hakina watangazaji wenye majina kivile ilikuwa ni lazima kifutwe ili kiipishe THE SWITCH
-BLOCK 89 Haikuwa kwenye prime time kwahiyo kilikuwa hakiingizi pesa, tukumbuke PEPS & VODA walikuwa sio wazamini wa kile kipindi
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe ili kukipa nafasi kipindi cha THE SWITCH kiuzike kirahisi ukizingatia kinaruka prime time na kina watangazaji wenye ushawishi na majina
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinacholalamikiwa na wasikilizaji kuwa hakieleweki na anaekibeba ni mtangazaji mmoja tu, pia wengi wao hawafanyi research kabla ya kipindi,
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe kwakuwa watangazaji hawana chemistry na wengine walikuwa wapo wapo tu ili mradi liende, Main host alikuwa kama anazidiwa na co hosts waliokuwa wanabwabwaja bila mpangilio,
BLOCK 89 Haipo tena, na haiwezi kuwepo
Kipi kilianza !? KulikuWa na ulazima gani wa kuleta same program.Tulishawahi kukadili hii ishu humu ndani, ilikua ni lazima wakizime maana haiwezekani wanachokifanya wao na The Switch wafanye kile kile, hakuna radio station Inayofanya hivyo.
Tatizo ni ubunifu.Wamechemka Sanaa..
The Switch is nothing but crap.
Alafu.hivi The Bar Tender bado ipo kwa hewa!?
Kelele tupuu.Nilikuwa nawaangalia Ijumaa kwenye WASAFI TV kwakweli wanaboa, makelele mengi mno kama kwenye kijiwe cha kahawa, halafu kuwa wengi nalo ni tatizo, inapaswa wasizidi watatu ili kusiwe na muingiliano. Ila yule Aliyah ni mtangazaji mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwasababu hiyo block 89 ilikua ni ugoro mtupu hakuna mdhamini alitaka kuweka pesa yake pale.Kipi kilianza !? KulikuWa na ulazima gani wa kuleta same program.
Nanusa harufu ya ujinga hapa.
Kipi kilianza !? KulikuWa na ulazima gani wa kuleta same program.
Nanusa harufu ya ujinga hapa.
Yani kWa hili wasafi wamenichafua sana. Jonijo Was Way making a difference.Tatizo ni ubunifu.
Mtu unaingia kwenye kipindi unamuwaza presenter wa radio nyingine lazima utoe boko.
Hiyo block 89 imefanya utopolo since day one ndiyo maana wametafutiwa mbadala.Walichopaswa kufanya ni kitu kimoja tu, Ile The Switch iwe kwa wasanii wa africa na Duniani kote kama jina jinsi linavyojieleza (SWITCH), na ile Block 89 iwe kwa wasanii wa Tanzania (Local Infotainment) Pekee. Sasa Hivyo vipindi vyote viko kwenye mstari mmoja hapo lazima wangefeli tu.
Walichopaswa kufanya ni kitu kimoja tu, Ile The Switch iwe kwa wasanii wa africa na Duniani kote kama jina jinsi linavyojieleza (SWITCH), na ile Block 89 iwe kwa wasanii wa Tanzania (Local Infotainment) Pekee. Alafu ile switch iwe usiku na Block 89 iwe mchana. Sasa Hivyo vipindi vyote viko kwenye mstari mmoja hapo lazima wangefeli tu.
Hapana Mkuu.. Bado haimake sense.
Nasisitiza kuna harufu ya ujinga. Tutaujua ukweli tu.
Niliwahi kusema hapa.. Sioni sababu yeyote ya kuhamisha watangazaji toka radio moja kwenda nyingine..kiufupi ,Wasafi wanawatangazaji wabovu, pia niwazee sisi vijana tunapenda damu changa kama Queen Fifi wa Eatv the crues na King smash / awo wazee kina lily ommy miaka 40 wameshaishiwa ubunifu zaidi ya swaga zao zile zile wanapaswa kutangaza Taarifa ya habari sio kuhost show za vijana, pia hata xxl Adamu mchomvu na B dozen wamechoka/ Yaani sahvi bongo kimebaki kipindi kimoja cha nguvu tu The crues cha Frida Amani na king smash.
Wamesababisha vijana wanaoanza utangazaji wasiaminike matokeo yake damu changa zinabaki mtaani.Yani kWa hili wasafi wamenichafua sana. Jonijo Was Way making a difference.
Sidhani kama ni akili za Mondi hizi. Kuna ujinga fulani.
Niliwahi kusema hapa.. Sioni sababu yeyote ya kuhamisha watangazaji toka radio moja kwenda nyingine..
Kwanini tusiandae young blood..!?
Lets wait....
Kosa kubwa sana.
kiufupi ,Wasafi wanawatangazaji wabovu, pia niwazee sisi vijana tunapenda damu changa kama Queen Fifi wa Eatv the crues na King smash / awo wazee kina lily ommy miaka 40 wameshaishiwa ubunifu zaidi ya swaga zao zile zile wanapaswa kutangaza Taarifa ya habari sio kuhost show za vijana, pia hata xxl Adamu mchomvu na B dozen wamechoka/ Yaani sahvi bongo kimebaki kipindi kimoja cha nguvu tu The crues cha Frida Amani na king smash.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nakubaliMaelezo mazuri sana. Sema me nakazia, sio uishie tu kunawa mikono, bali kunawa kwa maji safi yanayotiririka na sabuni takribani sekunde ishirini.
Nimekumbuka tena kwenye hichi kipindi cha wazee wa bango walimuhoji Johmakini, wakaanza kumvaa swali juu ya swali la kuuzi hadi Joh akawa anawajibu kwa ukali hadi wakarudi kwenye line ila ukimtazama johmakini kama aliwamind akajikaza.Mzee kweli wale wasichana na yule mshikaji walikuwa hawaeleweki walikuwa wanajichanganya sana, pili kuna yule jamaa achana na johnjo alikuwa anawauliza wasanii maswali ya kuwadharau kinoma kwa mfano interview ya ENOCK BELLA aisee jamaa alikuwa anamhoji kwa dharau na kumkejeli.
ni kama wewe tu unavyocoment hiviHivi kubwabwaja ndio inakuwaje?
Kuongea ongea pumba?
Mfano nani kwenye serikali ya awamu hii huwa anabwabwaja?
Kwa hiyo hapa nabwabwaja. Daaah...😂😂ni kama wewe tu unavyocoment hivi
Tulia we mzeeKwa hiyo hapa nabwabwaja. Daaah...😂😂