Ya kweli hayo mbona ametoka kufanya kipindi Cha bar tenderNaskia Babaako Jonijoo katemwa,,mwenye full details atuletee apa kati,,#HatunaMuda.
Ya kweli hayo mbona ametoka kufanya kipindi Cha bar tenderNaskia Babaako Jonijoo katemwa,,mwenye full details atuletee apa kati,,#HatunaMuda.
We jamaa Ni mtu mzima lakini vitu unavyopost humu huna tofauti na mtoto wakoDie hard fans wa wasafi wanaumia wanavyoona radio yao inaboronga.
Walifeli kuweni wavumilivu wanarevamp kipindi
Namimi nimeskia juu juu2,,that's Y nikasema mwenye full details atuambieYa kweli hayo mbona ametoka kufanya kipindi Cha bar tender
Wewe shabiki mandazi utaki kukubali ukweli kuwa kipindi kilifeli kikawa kama kijiwe cha wauza alkasusu.We jamaa Ni mtu mzima lakini vitu unavyopost humu huna tofauti na mtoto wako
wakajifunze kwa majizo ambae hakuwa kufuta vipindi toka redio yake inaanzaKipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda...,
well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..?
Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki kipindi si kinaweza fanana na kile kilichokuwa kikiruka Times FM miaka ya Nyuma, na kilisimamiwa na Raheem Da prince, Yasin Da King, kikiwa kimebase kwenye uchambuzi wa nyimbo za nje zaidi,
Kumbe hapana, THE SWITCH ya Wasafi fm, yenyewe imeambatana na usajili wa Lil Ommy, Ammy gals, Nick mills na Donald, mwenyeji wao Ray Mshana, kimebase kwenye burudani zaidi, na kuhoji wasanii,
Kwanini Wasafi walianzisha THE SWITCH wakati BLOCK 89 ilikuwepo..?
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinachofanana na THE SWITCH pia hakina watangazaji wenye majina kivile ilikuwa ni lazima kifutwe ili kiipishe THE SWITCH
-BLOCK 89 Haikuwa kwenye prime time kwahiyo kilikuwa hakiingizi pesa, tukumbuke PEPS & VODA walikuwa sio wazamini wa kile kipindi
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe ili kukipa nafasi kipindi cha THE SWITCH kiuzike kirahisi ukizingatia kinaruka prime time na kina watangazaji wenye ushawishi na majina
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinacholalamikiwa na wasikilizaji kuwa hakieleweki na anaekibeba ni mtangazaji mmoja tu, pia wengi wao hawafanyi research kabla ya kipindi,
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe kwakuwa watangazaji hawana chemistry na wengine walikuwa wapo wapo tu ili mradi liende, Main host alikuwa kama anazidiwa na co hosts waliokuwa wanabwabwaja bila mpangilio,
BLOCK 89 Haipo tena, na haiwezi kuwepo
Hapa wote tupo kwaajili ya kutoa mawazo yetu ili kusaidia kipindi kifanye vizuri na ulivyokuwa mpuuzi hata comment yangu ujasoma alafu unasema sikubali ukweli hapa umeonesha jinsi gani ulivyo mshabiki maandazi na usilolijua unaloongea.Wewe shabiki mandazi utaki kukubali ukweli kuwa kipindi kilifeli kikawa kama kijiwe cha wauza alkasusu.
Narudia tena, hiyo Block 89 ilifeli kudeliver na sasa wanafanya revamp ya kipindi husika ili kieleweke. Wewe shabiki lia-lia wa wasafi na wenzako kaeni mtulie kipindi kitaendelea baada ya mabadiliko na kubalini tu bango limewaka moto.
kipindi huwa kinarekodiwa kabla ya siku husika......Ya kweli hayo mbona ametoka kufanya kipindi Cha bar tender
Ndomaana nikakuambia akili yako haina tofauti na akili ya mtoto wako imeisha hiyo.Haya amka hapo kwenye kochi ukaoshe gari la shemeji anataka kuwahi kazini.
Wewe shabiki mandazi utaki kukubali ukweli kuwa kipindi kilifeli kikawa kama kijiwe cha wauza alkasusu.Ndomaana nikakuambia akili yako haina tofauti na akili ya mtoto wako imeisha hiyo.
Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda...,
well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..?
Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki kipindi si kinaweza fanana na kile kilichokuwa kikiruka Times FM miaka ya Nyuma, na kilisimamiwa na Raheem Da prince, Yasin Da King, kikiwa kimebase kwenye uchambuzi wa nyimbo za nje zaidi,
Kumbe hapana, THE SWITCH ya Wasafi fm, yenyewe imeambatana na usajili wa Lil Ommy, Ammy gals, Nick mills na Donald, mwenyeji wao Ray Mshana, kimebase kwenye burudani zaidi, na kuhoji wasanii,
Kwanini Wasafi walianzisha THE SWITCH wakati BLOCK 89 ilikuwepo..?
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinachofanana na THE SWITCH pia hakina watangazaji wenye majina kivile ilikuwa ni lazima kifutwe ili kiipishe THE SWITCH
-BLOCK 89 Haikuwa kwenye prime time kwahiyo kilikuwa hakiingizi pesa, tukumbuke PEPS & VODA walikuwa sio wazamini wa kile kipindi
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe ili kukipa nafasi kipindi cha THE SWITCH kiuzike kirahisi ukizingatia kinaruka prime time na kina watangazaji wenye ushawishi na majina
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinacholalamikiwa na wasikilizaji kuwa hakieleweki na anaekibeba ni mtangazaji mmoja tu, pia wengi wao hawafanyi research kabla ya kipindi,
-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe kwakuwa watangazaji hawana chemistry na wengine walikuwa wapo wapo tu ili mradi liende, Main host alikuwa kama anazidiwa na co hosts waliokuwa wanabwabwaja bila mpangilio,
BLOCK 89 Haipo tena, na haiwezi kuwepo
kwa hapa ni tofauti, sasa hao niliokutajia Yasin Da King, Raheem Da Prince ni watu wakubwa sana kwenye tasisi walizopo, usikalili, matangazo ya DSTV unayoyasikia wewe redioni kaulize script inaandikwa na naniDa Prince, Da King, Van Joo, Dan Emma, Yani ukiona Mtu ana tumia haya majina na ni mtanzania bas tambua kama sio Adolescence ina msumbua basi tambua kichwani(Akilini) kwake kuna tundu (Possible this) mi huwa naconcude hamna kitu kabisa apo
kwa hapa ni tofauti, sasa hao niliokutajia Yasin Da King, Raheem Da Prince ni watu wakubwa sana kwenye tasisi walizopo, usikalili, matangazo ya DSTV unayoyasikia wewe redioni kaulize script inaandikwa na nani
Tumia mtandao, Online inapatikana
Nazani hili mmejionea wenyewe baada ya Interview ya Diamond kwenye Kipindi cha Good morning na kusepa kwa JonijooNimekumbuka tena kwenye hichi kipindi cha wazee wa bango walimuhoji Johmakini, wakaanza kumvaa swali juu ya swali la kuuzi hadi Joh akawa anawajibu kwa ukali hadi wakarudi kwenye line ila ukimtazama johmakini kama aliwamind akajikaza.
Siku hiyo mtu imara alikua mpole kidogo coz anajuana na Joh way back anajua jamaa ni mtu wa kureact ukimsemesha asivyovipenda.