Ili kuwatuliza mashabiki wenye hasira kufungwa na Raja Casablanca FC jana nina uhakika hili kutokea muda wowote

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.

Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.

Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.

Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.

Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.

Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
 
Viongozi wa simba inapaswa wajue wanasimba sio wapumbavu tena. Tatizo linajulikana, wanafanya mizaha kwenye usajiri kutuletea wachezaji wa bei rahisi na kubakiza wasio na viwango.

Safari hii ni zamu ya viongozi na wachezaji kuwajibika au kuwajibishwa sio benchi la ufundi. Wapuuzi kabisa
 
Mimi nikajua mtamuingiza manzoki pale mlipopigwa cha pili Shadeeya akanipenyezea ya kuwa manzoki mbu3 mlisajili ili aje kupiga za uchaguzi tu,makolo mumjengee rage sanamu kwa kweli
 
Bora utulie tu, sitegemei Simba Sc wamfukuze kocha mkuu kisa tumefungwa na timu iliyotuzidi uwezo kila idara, huo ndio uwanja wa kujifunza, tumeyaona mapungufu yetu kilichobaki tuyafanyie kazi.

Hili kundi kwangu naona bado Simba Sc ana nafasi, kwasababu timu tatu zilizobaki zina uwezo wa kufanana na Simba Sc, hazina ubora kama wa Raja, ni Simba tu wajipange wazicheze karata zao vizuri kwa game zilizobaki.

Simba SC waanzie na Vipers away, hakuna lisilowezekana, na kama ikitokea Raja akashinda nyumbani kwa Horoya, then Simba akija kumfunga Horoya zaidi ya goli mbili nyumbani, mambo yatapendeza tu..
 
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.

Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.

Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.

Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.

Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.

Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
ha ha hili ndilo jina lako jipya,badala ya gentamycine
 
Japo mpira una maajabu yake, ila simba kumfunga Vipers kwao... SIDHAN
 
Bora utulie tu, sitegemei Simba Sc wamfukuze kocha mkuu kisa tumefungwa na timu iliyotuzidi uwezo kila idara, huo ndio uwanja wa kujifunza, tumeyaona mapungufu yetu kilichobaki tuyafanyie kazi.

Hili kundi kwangu naona bado Simba Sc ana nafasi, kwasababu timu tatu zilizobaki zina uwezo wa kufanana na Simba Sc, hazina ubora kama wa Raja, ni Simba tu wajipange wazicheze karata zao vizuri kwa game zilizobaki.

Simba SC waanzie na Vipers away, hakuna lisilowezekana, na kama ikitokea Raja akashinda nyumbani kwa Horoya, then Simba akija kumfunga Horoya zaidi ya goli mbili nyumbani, mambo yatapendeza tu..
Acha kujipa matumaini hewa ukweli usemwe hatuna viungo mpira unacheza hovyo ukweli kila team itatukazia sisi ili ichukue points 3 kwetu tuna hali ngumu sana.
 
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.

Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.

Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.

Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.

Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.

Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
We kweli sigara kali
 
Ushabiki kazi sana, Kocha alisema Wazi, Viungo kama CHAMA ni wazito sana, kufanya maamuzi hata kukimbia, Mashabiki mkaanza kumpangia kocha Wachezaji, sijui SAIDO NTIBAZONKIZA, CHAMA, KANOUTE, BOCCO NK.

Mpira ni Sayansi sio UCHAWI na MIHEMKO.
Hatutaki kuambiwa ukweli
 
Back
Top Bottom