Mo dewji Fc wakifungwa kesho na Makilikili Fc, mashabiki wataikataa timu na kusema kuwa timu siyo Yao tumuachie "MO"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,306
12,803
Sintofahamu ya Mo dewji kuibuka na kusema kuwa Simba sc ni timu aliyoinunua kwa gharama kubwa hili limewashitua baadhi ya mashabiki Ila hawakutaka kuongea chochote wanasubiri matokeo Kati ya Makilikili Fc na Mo DEWJ Fc ili waanze kurusha maneno.

Zee la kiki (Kanjibahi) tajili Bahili alimtanguliza muuza sumu za Panya na Mende huko mitaani katika interview moja alisema "ushindi wa Yanga/mafanikio ya Yanga wanapaswa kumshukuru Mo"

Baada ya interview hiyo mzee baba kanjibahi alijitokeza na kusema namna gani alivyowekeza Pala MO DEWJ FC.

za ndani kabisa NALIA NGWENA nimezipata Kuna mashabiki wakeleketwa wanasubiri timu ipoteze dhidi ya Makilikili wakiwashe.

Tuombe Mo dewji Fc wapate ushindi Ila wasipopata ushindi na kufuzu Robo kitawaka siyo mchezo.
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom