pole slim weka wazi ni nani huyo afu ile promise yetu umeikata kiaina eeeeeh
Mkuu ukifanya hivi tu utapewa BAN na Invizibo...
Ni kinyume na sheria za JF kuweka wazi mawasiliano ya PM...
The best way you can do ni kutoa abuse report huko huko PM...
4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.
Mshe nz sana hyyo.muweke kati tumchambe hapa..
ujinga huu, sasa hii thread ni ya nini au unataka tujadili nini hasa?
Kuna ile story yetu tulioianza tangu J'tatu, ambayo mpk jana imefika sehemu ya saba! kuna Mkuu kanicheck jana na vitisho kibao, katoa maneno ya kashfa ya kutosha, jamaa kani-dis, katukana sana, ukweli amenifedheesha sana!
!
we na nani?
Hapo sasa.nahs angetajwa...pole sana ana bahati hajakukuta na akili zako za usiku
Oooohhh linani hilo???kwani lazima a some?ka hataki kusoma vipande si ajibebe !!!!mwaya mpotezee njoo utupe burudani!!!!
achana nae huyooo...hana la kufanya...
dawa ya mjinga ni kumpotezea tu..nakushauri
endelea kutugongea nyundo kama kawaidaaa liache litume pm litachoka lenyewe...kuna watu wanaakili za kuku humu...
Soma mwandko wangu utanijua..