Ile story yetu, yamenikuta

Ile story yetu, yamenikuta

Mweeee.....

Na umbea wote huo, kumbe binamu wewe ni ME? Binamu umeniacha hoi, ila tutaomba utusaidi kumchamba huyu ndugu kama ataletwa hapa

Hihiii binamu, mimi sio KE ni ME, zile ni mbwe mbwe tu za kufuraisha jukwaa, ahaha haha una masihara unajua...
 
Atakuwa Excel
Tu huyo BTW nimekumis we binti had naumwa
slim5 hebu thibitisha! eti ni mimi ndo nimekuchimba biti bro?

halafu mi huwa sipigi biti bhana! ukisikia ntakupiga, ujue ushapigwa! hahahaaa!

karibu sana Tarime mkuu!

huku kwetu hatupigwi biti...! kila mtu ni mbabe dadeki!!!!
 
Last edited by a moderator:
pole sana ndugu slim5 kwa masahibu yaliyokukumba

hii ndio JF bana kuna watu wanagusika na topic wanapandisha mori
 
Last edited by a moderator:
Habari za Asubuhi wanaJAMII!
Siku yangu ya jana imeisha vibaya!

Kuna ile story yetu tulioianza tangu J'tatu, ambayo mpk jana imefika sehemu ya saba! kuna Mkuu kanicheck jana na vitisho kibao, katoa maneno ya kashfa ya kutosha, jamaa kani-dis, katukana sana, ukweli amenifedheesha sana!

Hajaweka wazi shutuma zake, nini shida, lkn kwa muelekeo wa kashfa zile, nahisi nimemboa kwa ile style ya vipande vipande vya ile story yetu, japokuwa kuna mstari mmoja katudis mimi na ID moja ya kike, sasa sijaweza kubaini amenihusishaje na ile ID ya bidada (hz ID za JF huwa siziamini jinsia zake za wamiliki), na sijui yy na yule mmiliki wa ID ya kike wapoje!

Binafsi, humu JF sina mtu wwt yule ambae nina phisical intact nae, sina mtu ambae tunajuana nje ya JF na ndani ya JF, hata hapa ofisini kwangu watu hawajui kitu chochote khs JF! Nimepanga kumjibu baadae nikiwa na mood nzuri! leo mida ya mchana nitarudi na kipande cha mwisho!

cc The Boss, watu8, muuza ubuyu, lad3, @miss neddy, Blessed, Heart, LIKUD, Kijana leo, Vaislay, lin, ikhwaan, mwekundu, g click, 1000GB, terasy, Munkari, Pretty, kakakuonana, The hammer, tutsi gal, @Justin demee, princetx, prospa, Mokoyo, Masonda., ram, Honey Faith, ZAMBI YANGU, KANDIRI, CEOgwamzy, Man Ngosha, miss ngatara, @Drama queen, dawa yenu, mtengwa, kan'tangaze, mizambwa, msabillah, Foundation, 64gb, City hunter j, @Moranga, Tarime one, mtvbase, tamuuuuu, wisu!

weka mtu katika tumshikishe adabu kaka na pole sana.
 
Achana nae huyo anakuonea gere kwa kipaji chako cha uandishi, kama hatak kusoma aache halazimishwi atuachie wasomaj
 
pole sana jamaa, muvi nzuri kama ile jamaa anakuchana live, ok leta kipande cha mwisho hiyo na sisi tutoe shukrani kwa wote waliofanikisha.
 
embu ashindwe,humu JF kuna watu wanajifanya wababe wa maneno eeeh
 
Habari za Asubuhi wanaJAMII!
Siku yangu ya jana imeisha vibaya!

Kuna ile story yetu tulioianza tangu J'tatu, ambayo mpk jana imefika sehemu ya saba! kuna Mkuu kanicheck jana na vitisho kibao, katoa maneno ya kashfa ya kutosha, jamaa kani-dis, katukana sana, ukweli amenifedheesha sana!

Hajaweka wazi shutuma zake, nini shida, lkn kwa muelekeo wa kashfa zile, nahisi nimemboa kwa ile style ya vipande vipande vya ile story yetu, japokuwa kuna mstari mmoja katudis mimi na ID moja ya kike, sasa sijaweza kubaini amenihusishaje na ile ID ya bidada (hz ID za JF huwa siziamini jinsia zake za wamiliki), na sijui yy na yule mmiliki wa ID ya kike wapoje!

Binafsi, humu JF sina mtu wwt yule ambae nina phisical intact nae, sina mtu ambae tunajuana nje ya JF na ndani ya JF, hata hapa ofisini kwangu watu hawajui kitu chochote khs JF! Nimepanga kumjibu baadae nikiwa na mood nzuri! leo mida ya mchana nitarudi na kipande cha mwisho!

cc The Boss, watu8, muuza ubuyu, lad3, @miss neddy, Blessed, Heart, LIKUD, Kijana leo, Vaislay, lin, ikhwaan, mwekundu, g click, 1000GB, terasy, Munkari, Pretty, kakakuonana, The hammer, tutsi gal, @Justin demee, princetx, prospa, Mokoyo, Masonda., ram, Honey Faith, ZAMBI YANGU, KANDIRI, CEOgwamzy, Man Ngosha, miss ngatara, @Drama queen, dawa yenu, mtengwa, kan'tangaze, mizambwa, msabillah, Foundation, 64gb, City hunter j, @Moranga, Tarime one, mtvbase, tamuuuuu, wisu!

Mhhhh umetishwa nini namna hiyo maana kimya mbona?
 
Back
Top Bottom