Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Afu wewe ndo unajua umesababisha nimmidn jamaa? Nyie endeleeni mi nawaaangalia tu.
hahahahaha yamekuwa hayo tumefanyaje tena
Afu wewe ndo unajua umesababisha nimmidn jamaa? Nyie endeleeni mi nawaaangalia tu.
uumbaji wa herufi haujakaa sawa
Heeee!!!!! miss neddy
Umeona hiii
Usiogope.huyo n rafk tu.nltaka jua kaleta vulumai huko.. usiwaze Munkari
Android inamsumbua
nilidhani umembinaifsisha mume wangu
Aaagh wapi huyo wako peke yako..
Hebu achana nae bana asije akatuharibia swaumu yetu bure
Ila mlete hapa utuachie sie tumchambe, nitamwita na warumi mama wa michambo
Hii nafac naimezea mate kweli, abu ngoja tuone
Mmmmmmh
hahahahaha yamekuwa hayo tumefanyaje tena
hapo sawa nimekupenda bureeee
Naona mnajishaua tu, mi nawaangalia tu.